LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Peskov about Washington's statement about the answer in the event of the confiscation of the assets of companies leaving Russia: "The consequences will be mutually negative."

 
'Ukraine itapata hasara ya miundombinu...
Vipi kuhusu hasara ya uhai wa watu? NATO itafanya nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ifafanue zaidi sasa tuelewe kama ni ngumu kueleweka.
Mkuu unajua sometimes nakosa muda kuandika maelezo marefu.

Ukraine ana MANPADS ila usiku hazifanyi kazi vizuri. Sijasoma popote kwanini ila nafanya assumption kwamba nyingi zina optical seekers ambayo inafanya kazi kwenye mwanga mchana. Infrared seekers ambazo husoma kitu kinachotoa joto angani itakuwa labda hazijaletwa au guidance system ya MANPADS zao nyingi haitumii infrared. Pia Urusi inawinda sana air defence system za Ukraine hasa zile medium na long range. Kwahiyo unakuta inaweka angani ndege ya AWACS kama ambazo tatu zimeonekana kwenye base kule Belarus hivyo zinazungukia kule, zina coverage range ya kutosha. Ikiwa uko inachunguza anga la Ukraine na kujua wapi kuna radar emmissions kisha wanatuma ndege zishambulia pale kwa kutumia anti radar missile.
Kama mtakumbuka kuna mwaka hivi karibuni ndege ya Urusi ilipigwa na missile ya Syria na crew ya watu 16 kama sikosei walikufa, hii ilikuwa friendly fire na Syria ilikuwa inashambulia ndege za Israel zilizokuwa kwenye anga lake ikatokea ndege moja ikatumia manouver ya kujificha kwenye radar cross section ya ndege ya Urusi, ndio ilikuwa inafanya surveillance.

Kwahiyo Ukraine wanatumia air defence system mchana kimachale kwa kuwasha na kuzima faster. Someni jinsi a Yugolav commander shot down a US F-117 Nighthawk 'stealth' aircraft, mbinu ni hizi hizi. Usiku kuna kitu kingine kinafanya Ukraine wasifanye vizuri air defence, sijajua ni nini.
 
The European Union has reached the limit of its ability in terms of financial sanctions against Russia, said EU diplomat Josep Borrell.

 
Nilikuuliza wewe ni mwanajeshi mstafu ukunijibu, wewe ni YouTube man, au ni mtekenolojia ya kijeshi.
 
The meeting between Lavrov and Kuleba is over. The negotiations lasted an hour and a half.

 
uturuki ishakutanaga kwenye battle na syria na uturuki akakalishwa ilifika stage uturuki ikaomba patroit kutoka marekani hata kwenye mgogoro drone tb2 hazijafanya kitu . Upande wa iran iran irgc wana uzoefu coz wametapakaa mashariki ya kati kuhusu drone iran historia inawabeba mjadara wa uturiki na syria upo humu humu
 
Ukrainian Foreign Minister Kuleba said that negotiations with Lavrov were difficult
 
Hivi Ukraine si ni nchi huru?
Sasa mbona kama Russia anawapangia wenzie? Kwani ye hofu yake nini km NATO wakiweka hizo silaha huko Ukraine? Ye si anasifiwa ana nguvu za kivita,na jeshi nk!

Basi km ni hivyo anawaogopa NATO
Mwaka 1962 Marekani alipinga vikali USSR kuweka silaha zake Cuba. Nusra ulimwengu uingie WW III kwa vita vya nuclear. Marekani huyo huyo leo anakenyua aweke silaha zake pembezoni mwa Urusi.
 
Ukrainian Foreign Minister Kuleba, after negotiations with Lavrov, said that the parties have not yet been able to reach a decision on a ceasefire.

 
Asante!Dah Sasa itabidi watoke humo kwenye hayo mantaki wakavamie nyumba za Wananchi wajifiche humo...unless watakufa kizembe...Ila Putin si wapeleke mafuta si wakisema Urusi chief producer wa mafuta huko ulaya Sasa anakwama wapi?
 
Lavrov, following a meeting with Kuleba, said that Russia is in favor of any contacts that can contribute to a way out of the crisis in Ukraine.

At the same time, he noted that the Russian-Ukrainian track in Belarus to resolve the crisis in Ukraine is uncontested.
 
Lavrov: At the talks, Russia confirmed that Moscow's initiative to open humanitarian corridors in Ukraine on a daily basis remains in force.
 
Russia does not plan to attack other countries, and Russia did not attack Ukraine either, Lavrov said at a press conference following talks with Kuleba.

 
The transfer of MANPADS to Ukraine creates a threat to civil aviation, it is not clear where the weapons will go next, Lavrov said.
 
The format of negotiations with Russia, which took place on March 10, will be continued, Kuleba said.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…