NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Peskov about Washington's statement about the answer in the event of the confiscation of the assets of companies leaving Russia: "The consequences will be mutually negative."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Ukraine itapata hasara ya miundombinu...Rais wa Ukraine kulalamika kila siku ni mbinu mojawapo ya kivita. NATO na USA wako nae bega kwa bega.
Wanachokifanyika NATO na USA ni kuitumia Ukraine kama chambo ya kuiangusha Russia kiuchumi ambapo matokeo yake haitatawalika na nguvu zake kijeshi zitapungua sana kwa siku zijazo.
Ukraine itapata hasara ya miundombinu ila NATO na USA watasaidia kuijenga upya.
Shughuli itakua kwa Russia maana itapata hasara kubwa kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Mkuu unajua sometimes nakosa muda kuandika maelezo marefu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ifafanue zaidi sasa tuelewe kama ni ngumu kueleweka.
wanawaua kama nguruweView attachment 2144767
Askari wa Russia wakiiba Kuku 😂😂😂😂
Hawa mwezi wa nne wataanza kufa kwa njaae
Nilikuuliza wewe ni mwanajeshi mstafu ukunijibu, wewe ni YouTube man, au ni mtekenolojia ya kijeshi.Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.
Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana
Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
uturuki ishakutanaga kwenye battle na syria na uturuki akakalishwa ilifika stage uturuki ikaomba patroit kutoka marekani hata kwenye mgogoro drone tb2 hazijafanya kitu . Upande wa iran iran irgc wana uzoefu coz wametapakaa mashariki ya kati kuhusu drone iran historia inawabeba mjadara wa uturiki na syria upo humu humuMwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.
Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana
Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
Mwaka 1962 Marekani alipinga vikali USSR kuweka silaha zake Cuba. Nusra ulimwengu uingie WW III kwa vita vya nuclear. Marekani huyo huyo leo anakenyua aweke silaha zake pembezoni mwa Urusi.Hivi Ukraine si ni nchi huru?
Sasa mbona kama Russia anawapangia wenzie? Kwani ye hofu yake nini km NATO wakiweka hizo silaha huko Ukraine? Ye si anasifiwa ana nguvu za kivita,na jeshi nk!
Basi km ni hivyo anawaogopa NATO
Asante!Dah Sasa itabidi watoke humo kwenye hayo mantaki wakavamie nyumba za Wananchi wajifiche humo...unless watakufa kizembe...Ila Putin si wapeleke mafuta si wakisema Urusi chief producer wa mafuta huko ulaya Sasa anakwama wapi?Tanks ni vifaru. Makala inaeleza uwezekano wanajeshi kuzidiwa na baridi ndani ya vifaru kuanzia wiki ijayo kutokana na kuchanganya msimu wa barafu. Njia pekee kuepuka hili ni kuicha engine ikinguruma muda wote ,jambo ambalo haliwezekani kutokana na upungufu mkubwa wa mafuta unaokabili jeshi la uvamizi. Vladimir Putin is a terrible war strategist.