kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tuupe muda nafasi, lakini nakuhakikishia kwamba anguko la Urusi liko karibu kuliko wakati wowote ule!!Who can trust you?! Yaani hisia zako unazitanguliza mbele kuliko reality and facts on the ground halafu eti you ask people to trust you?! Duh...incredible...
ww umesha sahau puti aliposema atakae msaiia ukreine naye atapata kichapo cha mbwa mwizi??Yani wameungana nchi zote na Bado mwanaume anawakomesha.mpaka stock zimeanza kukauka, sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine hufahamu maana ya anguko...And into your mind you think Russia itaanguka?! Ungekuwa sober and objective in your thinking you should have been worried na fate ya dunia ....Think about the fate of our world and not about Russia.....Russia ikianguka, USA itaanguka, UK itaanguka...NATO itaanguka...dunia itaanguka...Tuupe muda nafasi, lakini nakuhakikishia kwamba anguko la Urusi liko karibu kuliko wakati wowote ule!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kauli hii,"serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO kuipa ndege vita Ukraine".Serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO au Nje ya NATO kuipa Ndege vita Ukraine..
Pamefikia utamu
Aloo Wewe ni mvita nini?Husifikiri kujiunga NATO na umoja wa ulaya ni process ya usiku kucha tu..,zile ni tahasisi imara haziwezi kufanya mambo yao kienyeji.., urusi aendelee kupambana huku akijua mpango wa kumjumuhisha Ukraine katika umoja wa ulaya na muungano wa NATO uko palepale!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri imepenya fresh tu.., Badala ya kujibu hoja unakimbilia kukosoa!Aloo Wewe ni mvita nini?
Tahasisi [emoji117] Taasisi
Husifikiri [emoji117]Usifikiri
Haziwezi [emoji117] Aziwezi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ulaya na mataifa mengine wamekubali kuwa " makoloni " ya marekani bila kushikiwa mtutu wa bunduki,Wala sioni tatizo!Kauli hii,"serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO kuipa ndege vita Ukraine".
Kwangu Mimi kauli hii naitafasiri kama NATO ni chombo binafsi Cha Marekani Cha kujilinda dhindi ya Urusi.
Kwa sababu inaonesha Marekani ndio muamuzi wa Kila kitu katika NATO,yeye ndio hupanga na yeye ndio hupanga.hakuna yoyote katika NATO zaidi yake.
Nazidi kujiuliza kua hakuna nchi nyingine katika NATO inayoweza kuruhusu ama kuzuia kama kauli hiyo hapo juu.sio Poland,sio UK ,France,German wala yeyote.
Ndani ya NATO hakuna uongozi wa mzunguko kama mfano baada ya miaka let say minne inakuja nchi nyingine inakua msemaji ,mtoa maamuzi Kam ilivyo Sasa USA.
Kama hivyo nidhaniavyo ndivyo basi NATO ni umoja unaoendeshwa kidikteta sana.
Leo hii tuanona Ukraine inapigwa sababu ya USA TU.kwa sababu Nia ya kujiunga na NATO ndio imepelekea kupigwa ingawa Kuna sababu nyingine.na NATO ndo kama Ninav yosema, ni Chaka la USA.
Ama kwa hakika ukoloni sio wa kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni TU,Bali Kuna ukoloni wa kijeshi.
Kwa kifupi nchi za ulaya ni koloni la kijeshi la USA,na hatimae ni koloni la kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni la USA.
Mpango unaopiganiwa na France,German,na wenzao kwa miaka mingi wa kua na European army.
Lengo la jeshi la EU Army ni kujiondoa katika makucha ya USA.
Lkn mpango huo umekua ukipingwa kwa nguvu na UK hawara wa USA na Poland kibaraka wa USA na USA mwenyewe mkoloni.
Kwa kifupi USA alitakiwa awe na oka wake wa kijeshi buko Amerika ya Kaskazini latin Erika na Amerika kusini.
Kwa kifupi USA hua halali anaiwaza sana Russia.
Hakuna ulicho andika chenye kueleweka pale, sio lazima ukajibiwa upuuzi kisa tu mtu ajibu ili angalau uone umeongea kitu cha maanaUzuri imepenya fresh tu.., Badala ya kujibu hoja unakimbilia kukosoa!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Amesikia Mchamba WimaNasikia kile kikundi cha magaidi kimesitisha kuajiri wafungwa
Wamefungwa wamegoma ? Au pesa zimeisha ?Nasikia kile kikundi cha magaidi kimesitisha kuajiri wafungwa
Dah aisee,unajua niliacha kujibizana na wewe kwa sababu tutaishia kupeana lugha za matusi kama ambavyo ulikwisha Anza.Kabisa...yaani wamepigana mwaka mzima kuteka majimbo mawili tu na mpaka sasa bado hawajafanikiwa asilimia 100.
Eti huyu nae ni Supa-pawa... Urusi wana jeshi zuri mno la gwaride ila battlefield bado wanajifunza.
Europe ni US sphere of influence zone..... isitoshe hawapishani Sana kiutamaduni.Kauli hii,"serikali ya Marekani yasema haitazuia nchi ya NATO kuipa ndege vita Ukraine".
Kwangu Mimi kauli hii naitafasiri kama NATO ni chombo binafsi Cha Marekani Cha kujilinda dhindi ya Urusi.
Kwa sababu inaonesha Marekani ndio muamuzi wa Kila kitu katika NATO,yeye ndio hupanga na yeye ndio hupanga.hakuna yoyote katika NATO zaidi yake.
Nazidi kujiuliza kua hakuna nchi nyingine katika NATO inayoweza kuruhusu ama kuzuia kama kauli hiyo hapo juu.sio Poland,sio UK ,France,German wala yeyote.
Ndani ya NATO hakuna uongozi wa mzunguko kama mfano baada ya miaka let say minne inakuja nchi nyingine inakua msemaji ,mtoa maamuzi Kam ilivyo Sasa USA.
Kama hivyo nidhaniavyo ndivyo basi NATO ni umoja unaoendeshwa kidikteta sana.
Leo hii tuanona Ukraine inapigwa sababu ya USA TU.kwa sababu Nia ya kujiunga na NATO ndio imepelekea kupigwa ingawa Kuna sababu nyingine.na NATO ndo kama Ninav yosema, ni Chaka la USA.
Ama kwa hakika ukoloni sio wa kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni TU,Bali Kuna ukoloni wa kijeshi.
Kwa kifupi nchi za ulaya ni koloni la kijeshi la USA,na hatimae ni koloni la kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni la USA.
Mpango unaopiganiwa na France,German,na wenzao kwa miaka mingi wa kua na European army.
Lengo la jeshi la EU Army ni kujiondoa katika makucha ya USA.
Lkn mpango huo umekua ukipingwa kwa nguvu na UK hawara wa USA na Poland kibaraka wa USA na USA mwenyewe mkoloni.
Kwa kifupi USA alitakiwa awe na oka wake wa kijeshi buko Amerika ya Kaskazini latin Erika na Amerika kusini.
Kwa kifupi USA hua halali anaiwaza sana Russia.
Dah Ni miujiza Kwamba taifa lililoundiwa ushirika wa mataifa 28 na mengine kadhaa yataka kujiunga wakihofu kitisho chake dhidi yao, eti Kwamba Ni taifa dhaifu na Lina be- overrated.Russia hana uwezo wa kupigana conventiona War na NATO ndio maana Uingereza amekuwa anajiamini sana mbele ya Russia.
Russia ni overated, imagine hii ni Ukraine, ndio imaplelekea moto hivi,
Imagine Typhoon, Rafale, F-16, F-35, F-22, Tanks zote za maifa ya ulaya ziwe Ukraine au Finland kwa ajili ya kuvuka mpaka kuingia Russia, naona why Russia anaogopa sana majirani zake kuwa na nguvu au Nchi za Kidemokrasia
Kakaa uingereza Wana ndege gani za kugawa? Typhoon? Hazifiki hata 200!Uingereza imeufyata mkia wake na kusema kuwa imesitisha mpango wake wa kupeleka ndegevita Ukraine baada ya Urusi kuahidi kuwa itaifuta nchi ya Uingereza na Ulaya kwa ujumla kwenye uso wa dunia kama UK itapeleka ndegevita [emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji56][emoji56]
View attachment 2512480
Huu mwaka mtaongea yote. I'la Russia wapo TU. Na wanasonga mbele!Hapa taarifa kuhusu mada ambayo ndugu zetu hawapendi kusikia: changamoto ya teknolojia ya kisasa upande wa jeshi la Urusi.
Hapa taarifa kuhusu darubinni za kulenga mizinga kwenye vifaru vya Kirusi.
Now Russia Is Adding Inferior Optics To Its T-80 Tanks, Too
David AxeForbes Staff
Feb 9, 2023,08:53pm EST
A T-80 with the 1PN96MT-02 sight.
View attachment 2512543
A T-80 with the 1PN96MT-02 sight.Russian defense ministry photo
We already knew that the Russian army—in a desperate effort to make good its losses in Ukraine—was pulling old T-72 tanks out of storage, adding 1970s-style optics and shipping them toward the front. Probably to get blown up.
Now it seems the Russians are giving their slightly-better T-80 tanks the same treatment. T-80s are starting to show up with the same outdated 1PN96MT-02 thermal gunner’s sights that could put “war-emergency” T-72s at a disadvantage in Ukraine.
Russia’s nearly yearlong wider war on Ukraine hasn’t been kind to the Russian armor corps. The Kremlin has lost around 1,600 tanks in Ukraine, including more than 500 that Russian troops abandoned—and which the Ukrainians then captured.
That’s three times as many tanks as the Ukrainian army has lost.
While it’s true that Russia has in storage some 10,000 old tanks—T-62s, T-72s and T-80s—many have been sitting outside, exposed to the elements and looters, for decades. Their rubber seals are brittle. Their electronics have corroded. Their optics are cloudy.
It’s not clear how many of the stored tanks are recoverable. It is clear that, when the Kremlin first dipped into its tank reserves last spring, it initially favored 1970s-vintage T-62s, which lack delicate subsystems and thus may have required less reconditioning than, say, a T-72 or T-80 from the late 1980s.
Which is not to say the 40-ton, four-person T-62 with its simple steel armor and 115-millimeter gun is a good tank. It’s not. There’s no evidence of any of the scores of T-62s that the Russian army shipped to southern Ukraine making any difference in last year’s brutal campaign in that region. And the Ukrainians captured enough T-62s to form their own battalion with the aging tanks.
The best thing anyone can say about the war-emergency T-62s is that they bought time for the Kremlin to restore surplus T-72s and T-80s. The latter tanks have better armor than the T-62 has, plus they’ve got 125-millimeter main guns and autoloaders that shrink their crews to three.
Clearly the optics were a problem with the stored T-72s and T-80s. After decades, the gunner’s sights needed replacing. But it’s evident that Russia is struggling to source modern optics.
Many of the emergency T-62s rolled into battle with analog 1PN96MT-02 thermal sights in the gunner’s position. To spot a 1PN96MT-02, look for a small, square window nearly flush with the top left of a tank’s turret.
The 1PN96MT-02 would’ve been state-of-the-art ... in the 1970s. It allows a skilled gunner to engage a target as far as two miles away. That’s just over the half the maximum range of the newer, digital Sonsa-U sight that equips the latest T-90 tanks, as well as a few upgraded T-80s and T-72s.
The problem with the Sosna-U is that it includes high-quality French components that Russian industry can’t seem to duplicate, and which Russia can’t legally import owing to sanctions France imposed after Russian troops invaded Ukraine’s Crimean Peninsula in 2014.
The Russian army seems to be saving most of its precious Sosna-Us for its best new T-90s. Yes, a few reconditioned, war-emergency T-80s and T-72s are getting the digital optics, too—but it seems many, perhaps most, of the long-stored tanks are getting much-less-capable 1PN96MT-02 optics, instead.
That’s a problem for Russian tankers. They’re trapped in a technological time-warp, traveling backward to the 1970s at the same time their foes—Ukrainian tankers—are re-equipping with Western tank models including the British Challenger 2, the German Leopard 2 and the American M-1.
All three of the Western tanks have excellent day and night optics that see farther, with greater precision, than the 1PN96MT-02 can do—and should at least match the specifications of the Sosna-U. A Ukrainian Challenger 2 should be able to shoot at a Russian war-reserve T-80 before the T-80’s crew even sees the Challenger 2.
Jibu swali kwa uwelewa mkuu au soma tena uielewe mitaa ielewe sanaaEurope ni US sphere of influence zone..... isitoshe hawapishani Sana kiutamaduni.
Hao EU wamekuwa tegemezi mno kwa Marekani kiulinzi toka kumalizika Vita vya pili vya dunia na NATO ndio umoja wa kujihami wenye nguvu duniani kwa Sasa.
US ndio mchangiaji mkubwa wa majeshi, silaha na bajeti ya NATO hivyo kuwa na sauti kubwa kuliko wote ni haki.