Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

German Foreign Minister Baerbock admitted that she made a mistake when she said that "we’re waging war against Russia."
“There is a proverb that says:
“Only he who does not live does not make mistakes,”
she said
Unaweza kuona viongozi waungwana jinsi wanavyobehave.., sidhani kama Yule dikiteta anaweza kusimama na kusema " kutangaza special military operation lilikuwa kosa la kimkamkati!"

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi umesahau mobilization ya wanajeshi laki 3 walivyokusanywa mtaani mpaka wengi walikimbilia nchi za jirani na kulikuwa na maandamano
 
Wewe ndio utumie akili kenge kwani huko Ukraine uliona wanajeshi wa mataifa ya west au unaongelea wale wanaojitolea wenyewe.
 
Ni Raia gani anaweza thubutu kumzomea Putin akitoa hutuma huyo atakuwa maisha ameyachoka US ni kawaida hiyo uhuru mkubwa sana
 
Wewe ndio utumie akili kenge kwani huko Ukraine uliona wanajeshi wa mataifa ya west au unaongelea wale wanaojitolea wenyewe.
Tumia akili Yako vema,bila msaada wa 30+ countries Kwa Ukraine,SMO isingechukua zaidi ya mwezi!
Intelejensia ni kitu kikubwa sana kwenye vita,fikiria mtu anatumia satellites zake kubaini movement za adui Yako Kisha anakwambia piga kwenye coordinates hizi na hizi,Bado anakupa silaha,anakupa na fedha za kendeshea vita pamoja na serikali Yako!Bado anaweka na vikwazo Kwa adui Yako Ili ushinde vita!
Halafu unakuja kufananisha na Congo anavyopambana na waasi,utakuwa na nati zimelegea!
 
Hivi umesahau mobilization ya wanajeshi laki 3 walivyokusanywa mtaani mpaka wengi walikimbilia nchi za jirani na kulikuwa na maandamano
Umedandia treni Kwa mbele,Kuna raia wa Russia walikusanyika kupinga vita,baadae Kuna wengine waliibuka kupinga mobilization!Hao ndio Russia alideal nao kufagia mitaa!Ila ukiona wapi Russia ameenda kuzuia mipaka kuzuia raia wa Russia kutoka nchini?Si tuliona mpaka ule msururu wa mahali watu wakiondoka Russia,nani aliwazuia?Ilifikia mpaka nchi jirani wakawa wanazuia raia wa Russia kuingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…