Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Lol! Michezo hatari sana hii. Wengine wataiga na mzozo utadumu kwa miaka mingi.Nyingine hii hapa ila wamesema walio enda vitani bila idhini wata funguliwa mashitaka.View attachment 2145414
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.Lavrov: “Those who pump weapons into Ukraine and send mercenaries there must understand the responsibility for their actions.”View attachment 2145589
Piganeni huku Africa Ndio utajua kama Demokrasia inafwata au last. Hao ni watu wametumwa tu, wengine kwenda kutafuta umarufu wakizani vita imeshakuwa kama maji.Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.
Ukraine itajipatia silaha nyinyi sana za bure na inaweza kuzitumia kuwashambulia wanajeshi wa urusi, lakini siwezi kuwalaumu kwa sababu nao wanasema hawauoni umuhinu wa vita
Mkuu hii dinia kuna watu wa ajabu sana, inashangaza baadhi ya watu kuiunga mkono Russia kuivamia nchi huru kwa sababu ambazo kimsingi hakuna nchi huru inaweza kubali.Kutumia kichwa vizuri ni kuongoza nchi kwa kufuata matakwa ya Moscow?!
Bora ako unayeziona pande zote mbili bila mahaba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]West wanafiki wanataka kuitumia Ukraine kama chambo kuitangaza Urusi kama nchi isiyostaarabika. Ukraine nao kama wanaendeshwa na EU badala wacheze kama Francisco Franco aliyesaidiwa na Hitler na Mussolin kuingia madarakani ila WW2 ilivyoanza akala kona kama hawajui. Mwishowe Spain haikurusha hata risasi moja alafu washirika wake wakafia vitani. Inabidi uishi kijanja ukiwa kati ya mafahari wawili. Uturuki inazihitaji Ukraine na Russia nawaamini kwenye kutatua huu mgogoro.
Tupo tunakula vidali vya kuku kwanza ndio tuje tushushe madiniIla jamani pro Russia wamekimbia Uzi zile tambo na mbwembwe zao kwishney.
Duuh kwahyo raia wa Ukraine bora wafe? Yaani kushuka kwa uchumi wa Russia ni issue kuliko uhai wa binadamu? Hii kali.Rais wa Ukraine kulalamika kila siku ni mbinu mojawapo ya kivita. NATO na USA wako nae bega kwa bega.
Wanachokifanyika NATO na USA ni kuitumia Ukraine kama chambo ya kuiangusha Russia kiuchumi ambapo matokeo yake haitatawalika na nguvu zake kijeshi zitapungua sana kwa siku zijazo.
Ukraine itapata hasara ya miundombinu ila NATO na USA watasaidia kuijenga upya.
Shughuli itakua kwa Russia maana itapata hasara kubwa kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Russia says cheap oil for sale.China says how much? Russia says $70 a barrel ,less than half market price Bro. China says $ 18 a barrel take it or leave it.
Duh Ukraine wameminywa mpaka wameenda kufungua makumbusho ya WII wameondoka na ScrepaView attachment 2145536View attachment 2145528ukraine imezidiwa kiasi kwamba inatumia bunduki za vita ya pili ya duniaView attachment 2145534
Acha kuongopea watu.taja uwo mjiEndapo Ukraine watapata Ndege au mifumo ya Ulinzi Bila shaka huu mzozo utachukua sura Mpya...
Ukweli ni kwamba Jeshi la Russia la Infantry halina uzoefu Mzuri wa mapambano aisee leo Ukraine wamekomboa mji mwingine, Taarifa zaidi zitawajia hivi punde