LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Everyday task in ukraine more than 70 Russian are buried

FB_IMG_16469097855563015.jpg
 
Lavrov: "Our Deputy Prime Minister Alexander Novak ... said in detail that we will not persuade us to buy our oil and gas ... We will have markets for sales, and they already exist."
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Lavrov: “Those who pump weapons into Ukraine and send mercenaries there must understand the responsibility for their actions.”View attachment 2145589
Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.
 
Lavrov: “Now, of course, the reaction of the West to our actions is so completely frenzied, I would say ... It shows that the battle is not for life, but for death for Russia's right to be on the political map of the world with full respect for its legitimate interests.”
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.
Piganeni huku Africa Ndio utajua kama Demokrasia inafwata au last. Hao ni watu wametumwa tu, wengine kwenda kutafuta umarufu wakizani vita imeshakuwa kama maji.
 
West wanafiki wanataka kuitumia Ukraine kama chambo kuitangaza Urusi kama nchi isiyostaarabika. Ukraine nao kama wanaendeshwa na EU badala wacheze kama Francisco Franco aliyesaidiwa na Hitler na Mussolin kuingia madarakani ila WW2 ilivyoanza akala kona kama hawajui. Mwishowe Spain haikurusha hata risasi moja alafu washirika wake wakafia vitani. Inabidi uishi kijanja ukiwa kati ya mafahari wawili. Uturuki inazihitaji Ukraine na Russia nawaamini kwenye kutatua huu mgogoro.
Bora ako unayeziona pande zote mbili bila mahaba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa Ukraine kulalamika kila siku ni mbinu mojawapo ya kivita. NATO na USA wako nae bega kwa bega.

Wanachokifanyika NATO na USA ni kuitumia Ukraine kama chambo ya kuiangusha Russia kiuchumi ambapo matokeo yake haitatawalika na nguvu zake kijeshi zitapungua sana kwa siku zijazo.

Ukraine itapata hasara ya miundombinu ila NATO na USA watasaidia kuijenga upya.

Shughuli itakua kwa Russia maana itapata hasara kubwa kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Duuh kwahyo raia wa Ukraine bora wafe? Yaani kushuka kwa uchumi wa Russia ni issue kuliko uhai wa binadamu? Hii kali.
 
Endapo Ukraine watapata Ndege au mifumo ya Ulinzi Bila shaka huu mzozo utachukua sura Mpya...

Ukweli ni kwamba Jeshi la Russia la Infantry halina uzoefu Mzuri wa mapambano aisee leo Ukraine wamekomboa mji mwingine, Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
Acha kuongopea watu.taja uwo mji
 
Back
Top Bottom