Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana halisi ya kwamba mwanzoni mwa vita Russia hua anakuwa weak ila muda unavozidi kwenda linageuka dude flani lisiloshindwa.
Subir second counteroffensive uone jinsi majeshi ya fashisti Putin yatakavyofurushwa kwenye ardhi tukufu ya ukraine..,msije mkasema sijawaambia[emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
😂😂 China ameona amchokonoe jamaa kwa maputo😂
China anamchanganya US na mapulizo ya kijasusi tu. Anasoma angle za kuanza nazo kumnyoosha mazima. Ukitazama kwa makini zote ni strategic areas anaangalia kama kuna kizingiti chochote.

Yani Russia akilianzisha tu China anammaliza US kabla hata hajarusha kombora hata moja. Anashushiwa vidude kama vimondo.
 
Unamzumguzia huyu china hambaye kila kukicha anapigwa mikwara na Taiwan..?,acha masihara basi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO ni kama CHADEMA tu, mwenyekiti ni USA na wanachama wote wako kama mazombi tu. Hamna ambaye anaweza akampinga na kugombea nafasi yake maana yeye ndio alfa na Omega when it comes to NATO.
 
Mbona hatuoni hata jiwe likirushwa kwenye ardhi ya hayo mataifa ya NATO Sasa[emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapigana Proxy war, hakuna ambaye anaharibu kwa mwenzie na wameamua ibakie hivyo hadi watakapoona imetosha watafungasha virago vyao ila Mrusi haachi kuwachinja.
 
NATO ni kama CHADEMA tu, mwenyekiti ni USA na wanachama wote wako kama mazombi tu. Hamna ambaye anaweza akampinga na kugombea nafasi yake maana yeye ndio alfa na Omega when it comes to NATO.
Ndio maana tunawaambia siku zote kuwa USA ndio super pawer haswa., unafikiri kuliweka kundi la mataifa zaidi ya 15 chini ya amri yako ni kazi nyepesi eeh??

Achana na zile takataka zinazojiita Russo..,eti na yeye anataka kuwa super pawer candidate [emoji28][emoji23]
Uchumi wenyewe wa kuchechemea

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…