Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila MAURIOPOL kama haikuwahi kua na mapigano na kuharibiwa

Kuna jambo kubwa RUSSIA wanalo KISIASA KIUCHUMI na KIJESHI

PROJECT yakuijenga upya MAURIOPOL haikua ama sio yakitoto kama taifa maskini kama RUSSIA isingeweza kuimudu

Nanna hakika punde SOLEDAR itaanza kujengwa upya


Anaejua MAURIOPOL inajengwa nanani anijuze maana RUSSIA na UMASKINI walionao hawawezi kuijenga MAURIOPOL ile project yakuu rebuild ule mji sio yakitoto inahitajika pesa na uwekezaji mwingi sanaaa


Anaedhania kwamba RUSSIA atapigwa hapo UKRAINE pole na anaedhania kwamba UKRAINE anaweza kushinda nakuregesha ardhi zake pole zaidi labda baada ya miaka mia kadhaa ila sio kupitia kaunta offesnsive

Mwisho :-RUSSIA mafukara sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hao jamaa kipanya 44 wana mjua nini naona wanampa HI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeshaambiwa Ukraine Wana defend tu Wala hawafanyi offensive..,au mwenzetu kichwa kina minyoo [emoji56][emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa mtu anayeshambulia na mtu anayezuia asipigwe nani uwa anaumia hapo
 
Kumekucha sasa
 
Russia mida hii yaizunguka Bakhmut.

Ni kweli wanajeshi wengi wa Russia wafa na hiyo ni kwasababu maandalizi duni na ni kwasababu pia kwamba wote ni wale wa kikosi cha Wagner.

Wanajeshi wa Ukraine nao wamekuwa wakianza kurudi nyuma na kukimbilia mji wa Kramatorsk ambayo ndo yasemwa itaja kuwa sehemu ya vita kamili yaani "The battle of Kramatorsk".

Kama ambavyo imethibitishwa na katibu mkuu wa NATO bwana Stoltenberg kwamba Russia imeanza vita kamili ya kuichukua sehemu yote ya Donbas kabla ya tarehe 24 februari ambayo ni siku itayotimiza mwaka mmoja tangu opersheni maalum ya kuondoa unazi na silaha Ukraine ianze.
 
Mkuu Ni unajidhalilisha tu kujibizana na huyo mtu. Anayekwambia Soledar iko chini ya vijana shupavu wa Rais Zelensky.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni battle of ARTEMOVISKY/BAKHMUT

Na hiyo unayosema itakuwa battle of Kramatorsk- Slovyiansk.

Kule nyuma tulitoka kwenye battle of Severodonetsk.

Kifupi hizi battle ndio Zina kamilisha op inayoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…