kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Bado tu hujaficha upumbavu??Kipanya asaidiwe humu naona mzigo umemuelemea
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umesahau kwamba waliipeleka msafara wa vifaru na magari ya kivita wenye urefu wa km 64 lakini bado akaishia kufurushwa kama mbwa mwizi huko Kyiv [emoji28][emoji23]Yani Warusi watengeneze mradi kama huu wa maji alafu Dombass isiondoke.itakuwa utani uwo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nato hawana uwezo wa kupigana na Russia na hiyo "False Flag" hawawezi kuifanya.Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.
Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.
Hiyo itakuwa ni suicide mission.
Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.
Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Vita si lelemama.., jamaa alijaribu kutumia kila nyenzo aliyokuwa nayo lakini huwezi kuamini mpaka wa Leo amekwaa kisiki!!Tukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu[emoji3]
Bila shaka mkuu nimekubali uhahihisho.Mkuu nakusahihisha kwa heshima kubwa,umekosea sana,Tena sana.
Putin hatahutubia taifa,Bali atahutubia Dunia,ulimwengu.
Maelezo yako yanatosha kudhihilisha kwamba urusi anapigana na ukraine na si NATO kama bahadhi yetu wanavyodai hapa!Nato hawana uwezo wa kupigana na Russia na hiyo "False Flag" hawawezi kuifanya.
Hata wakiifanya itakuwa na maana gani kwa sababu hawawezi pigana na hiyo nchi.
Nato wanachoweza kufanya ni Proxy wars (Kama hii ya Ukraine au kule Syria)
Au na mambo ya kigaidi wanayofadhili (kama kulipua Nord Stream 2 pipeline, kufadhili ISIS, Al Qaeda etc).
Nato wanampa Ukraine kuni huku Irani yeye akipeleka moto wa gesi 🤣🤣Ndege vita ya mizigo ya Iran ikiwa inajiandaa kuruka kutoka Iran kwenda Russia kupeleka Shehena ya mizigo maalum kwa ajiri ya kuwachinja ma NAZI ya Ukraine
Wanasema ndege hizi zimekuwa zinaruka mara kwa mara Iran to Russia.
View attachment 2515962View attachment 2515963View attachment 2515964