Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ MELONI KNOWS TO ACT AGAINST THE WISH OF THE ITALIAN PEOPLE IN THE RUSSIAN-UKRAINIAN CONFLICT
He admitted it, they know very well that the priority is to keep Italy in line with the interests of the US masters, even at the cost of losing the next elections. The farce of Western democracies consists in making the people believe that they have the power to decide their own future in their own hands, when instead the important decisions are made in the heart of the empire, in Washington πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Mliishindwa Ukraine ambayo ilikuwa dhaifu kwenye kila kitu.
Hamtaiweza wakati ina kila kitu

Nyie njooni mtengeneze mafuta
UKraine ikirudi tena kuwa nchi basi unikate kichwa.pasipo kujisalimisha kwa Warusi basi sahau kabisa kuhusu Ukraine.

Ukraine kwa sasa hata ukiambiwa uwekeze bila kulipa kodi sizani kama kuna mtu atakubali.Ukraine haitorudi kuwa nchi kama wasipokaa mezani na Warusi.
 
Usiku wa kuamkia kesho hadi tarehe 24 tutapokea vipigo vya mabomu sana ila naamini tutasimama tu, kama walishindwa mwaka jana, hawataweza mwaka huu. Tumejipanga hata warushe mabomu na drone 1000

Imradi tu wasirushe kwa wakati 1
 
Hadi sasa Israel yahangaika kutaka kufahamu khasa vilipo viwanda vya silaha nchini Iran jambo ambalo ni gumu kwa kuzingatia kuwa Russia imewapatia Iran mitambo maalum ya anga na satelite kulinda usalama wake.
Sasa zile drone zilipenyaje kama Kuna hiyo mitambo ?... Au mitambo ilikuwa jammed ?
 
Usimwaze huyo wa bbc, kwa siku wanakufa wanajeshi raia wa ukraine 900-1,100 kwaiyo si ishu kama kwa siku zina angamizwa batalio 5-20 kwa siku si wazi. Sasa turudi kwenye watu 900-1,100 Yani batalion 1=5000 soldiers ikiwa batalion 20=100,000soldiers. Currently majerui ukraine wanakaribia 300,000 maafa karibia 250,000 na waliopotea zaidi ya 10,000 sasa kopanya buku asikurushe rohoπŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
 
[emoji95][emoji95][emoji95]Late January to early February satellite imagery: Russia has established military camps with a large troop concentration near Voronezh and Kursk, similar to the camps deployed on the eve of SMO[emoji95][emoji95][emoji95]


Mi niliwambia watu humu kuwa kumshinda Mrusi basi ni lazima ufanye kazi uwache kazi.Warusi ni watu wagumu sana kukubali kushindwa tena wajue wanapambana na west
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…