kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kumbe Crimea imeshashambuliwa tayari??Zilishindwa kuvunja kuta za daraja la Crimea.
Ndiyo..nikaona nije nisimulie Kama wewe hufanya kwa kutuletea Habari za The Sun na magazeti ya UkraineComent ya kujitia matumaini hii[emoji16]
Kwa hiyo baada ya kutazama ukaona uje mbio kuja kutusimulia huku[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo 'air force' ilikuwa na matatizo gani mpaka isitumike mwaka mzima wa Vita ?Dakika chache zilizopita nilikuwa nawaangalia na kuwasikiliza kupitia TV waziri wa ulinzi wa Marekani General Austin na Chairman of the joint chiefs of staff wa USA General Mark Milley wakiwa kwenye press conference pale Brussels, Ubelgiji ambako wako kwenye mkutano wa Contact group (Baraza la Vita la NATO) unaohudhuriwa na nchi 54 zinazopambana na Russia...
Ndugu zangu, Hali ni ngumu kwa Ukraine na NATO...
Jamani kumbe ni kweli Russia ilikuwa haijatumia air Force yake na Sasa inaonekana itaanza kuitumia...duh...akina 'ki-rat' kazi mnayo...
We ki rat ni wakupimwa akili. Mwandiko wako tu inaonyesha wewe ni mtu wa blabla nyingi. Hata marekani hawataki kupigana na russia, sembuse hao poland? Uwege unatumia hata akili kidogo basi. aaarrrrhhhgggLait mgejua Poland anavyommezea mate urusi wakutane kwenye uwanja wa vita,msingelikuwa mnalishana haya matangopoli [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia anafanya SMO sio vitaHiyo 'air force' ilikuwa na matatizo gani mpaka isitumike mwaka mzima wa Vita ?