kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Sasa wanajeshi 500 wanakua eneo moja? Umepita hata JKT ya kujitolea wewe? 500 eneo moja? Hao watakua ni mashabiki wa mpira.Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?
Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Sasa hivi mapigano yame sitishwa.Wapo wengine siku mbili hizi walikuwa wamechachawa wanatuletea ramani ya jinsi Russia inavyosonga mbele kuelekea kyiv.Tangu jana naona ziiii sijui nini kimewakumba 🙂
😂😂😂We wapi Tena?Ilikuaga uzushi wa mwalimu nyerere kumchafua amini
We unavyoona wananchi wa Urusi wanaumia kwenye nini?Bro hv mfumuko wa bei nchini kwako ni Raisi Samia anayeshinda Chamwino ndo hua anaumia au Raia wa chini aka mtumiaji wa mwisho... Mmm?
Zile tozo zilivopanda aliumia Raisi au mwananchi wa kawaida... Ikitokea njaa apo nchini Rais wako nae atashinda njaa?
Madem jeshin ni wa sex tuLakini nimeona twitter hawa watu sio wachache kama serikali inavyoclaim.
Kuna picha Wameshare NATO ya womens day ikionesha mwanamke mjeshi. Lakini bila kujua au walijua ila walikosa picha nyingine, Yule dadada ana patch ya Black sun ambayo ni moja ya Nembo za Neo nazi au hata wanazi wakale.
Hii inaonesha wapo wengi sababu kuu ni 2.
1. Wanawake ni minority Jeshini, so kama wamesambaa mpaka kwa minorities means ni wengi sana.
2. Mpaka NATO wameipost means ndio picha walau inaficha ( kama lengo lao halikuwa kusapoti Neo nazi). Asa kama hiyo ndio inaficha nyingine zikoje? Sababu Ulaya ukijihusisha na hawa racist umeloose kwa jamii.
Ukizoom picha hiyo chini utaona ( kifuani kwenye rangi ya brown hapo).
View attachment 2143818
nikafanye nini?Mmmmh !ukute we jamaa hata hapo Nairobi hujawahi fika.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, sasa hivi nipo Goba hapa..nilivyosoma hivi nimecheka sana!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi kuna jamaa niliwahi mwambia hivyo, yaan askari 100 tu mnakaaje sehemu moja??Sasa wanajeshi 500 wanakua eneo moja? Umepita hata JKT ya kujitolea wewe? 500 eneo moja? Hao watakua ni mashabiki wa mpira.
unavozifafanua mdau huend wew ukawa upo pentagon kabisa yaaan.Kuna defector mmoja wa Urusi niliwahi msoma nikapuuza alisema Russia haiondoi silaha zake za zamani kwenye matumizi. Kwenye pitapita zangu nikakutana na jamaa ame-paraphrase lile chapisho nikakumbuka.
Russia hadi sasa vifaru vyao vyote ni weak, wamebaki na T-14 Armata ambavyo tunaviona kwenye magwaride tu. Russia ilifanya modernization ya silaha zake ila inashangaza kuona nyingi zinazoonekana hapa ziko in poor condition na bad shape. Kama vifaru hivi unakuta vina explosive reactive armour mbovu mara zimefungwa na nyaya mara zimeninginia, kwingine unaona blocks za armour zimechomoka. Itakuwa either Russian military planners wanapuuza, au fedha zinazotolewa hazitoshi, au kuna rushwa kubwa na ubadhirifu kwenye majeshi. Wana silaha mbovu nyingi tu kwenye uwanja wa mapambano mfano kuona matairi yaliyoisha ni kawaida sana wakati Ukraine ni muda wa snow sasahivi ikiyeyuka ni bora ukutane na mvua.
Silaha nyingi kama vifaru, infrantry fighting vehicles (IFVs) na self propelled howitzer kama Msta na Akatsiya zinatunza ammunition kwenye weak compartment within the vehicle ambapo ikipigwa missile ikapenya kwenye armour ya nje inakuja kufanya ignition ya ammo. Hili tatizo Russia wamelikwepa kwenye T-14 Armata compartment ya crew iko very protected ila Marekani huwa wanaprotect ammo na hutumia mtu mmojawapo kwenye crew kama loader wa ammunition. Ammo iko kwenye compartment nyuma uko imefungwa vizuri yeye anatoa anafeed kwenye gun, hasara ni kufanya kifaru kuwa na crew ya watu wanne ila kwa Russia new designs wanatumia crew ya watatu na loading ni automatic. Hasara ya automatic loading ni kuweka ammo magazine karibu na feed na ikipigwa hapo kinalipuka hapo hata mfupa wa mtu huuoni.
Kupona anti tank missile ni kazi sana. Ile Javelin ya Marekani inaweza penetrate 800mm = mita 0.8 = futi 2.7 za steel. Na inabebwa na mtu mmoja alafu ni 'fire and forget' yani unalenga shabaha unafyatua alafu unaondoka zako na system nzima ina kilo 22 tu na urefu wa mita 1.2
kama kweli upo seriously na swal lako bas huenda part ya propaganda sijui unaillewaje media ni toolsHii kama ni tuhuma au si kweli... kwanini Upande wa pili Pentagon hawajitokezi kuikana....
Hizo nyaraka zilizopo kwanini hawasimami kuzikanusha.
Na kwanini vile vile western media hazitoi hizi taarifa.