LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Sasa wanajeshi 500 wanakua eneo moja? Umepita hata JKT ya kujitolea wewe? 500 eneo moja? Hao watakua ni mashabiki wa mpira.
 
Makampuni yaliyofunga ofisi zake Russia, assets zote zitakuwa state owned, hivyo wafanyakazi wataendelea kufanya kazi. Kama wamefunga makampuni na viwanda vyao temporarily, the Russian govt is working to make sure that all companies are owned by the Kremlin.
 
Bro hv mfumuko wa bei nchini kwako ni Raisi Samia anayeshinda Chamwino ndo hua anaumia au Raia wa chini aka mtumiaji wa mwisho... Mmm?

Zile tozo zilivopanda aliumia Raisi au mwananchi wa kawaida... Ikitokea njaa apo nchini Rais wako nae atashinda njaa?
We unavyoona wananchi wa Urusi wanaumia kwenye nini?
 
Lakini nimeona twitter hawa watu sio wachache kama serikali inavyoclaim.
Kuna picha Wameshare NATO ya womens day ikionesha mwanamke mjeshi. Lakini bila kujua au walijua ila walikosa picha nyingine, Yule dadada ana patch ya Black sun ambayo ni moja ya Nembo za Neo nazi au hata wanazi wakale.
Hii inaonesha wapo wengi sababu kuu ni 2.
1. Wanawake ni minority Jeshini, so kama wamesambaa mpaka kwa minorities means ni wengi sana.
2. Mpaka NATO wameipost means ndio picha walau inaficha ( kama lengo lao halikuwa kusapoti Neo nazi). Asa kama hiyo ndio inaficha nyingine zikoje? Sababu Ulaya ukijihusisha na hawa racist umeloose kwa jamii.

Ukizoom picha hiyo chini utaona ( kifuani kwenye rangi ya brown hapo).

View attachment 2143818
Madem jeshin ni wa sex tu
 
Russia is fulfilling all its obligations to supply energy resources to Europe and other regions of the world - Putin.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The United States has closed the import of Russian energy resources and is trying to blame the rise in prices on Russia, but the Russian Federation has absolutely nothing to do with it - Putin.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Prices there [in the US and EU] are rising, but not through our fault. This is the result of their own miscalculations, there is nothing to blame on us.”

Putin on Western countries that blame Russia for rising energy prices:

“They are calling on their citizens to tighten their belts, dress warmly and point to the sanctions they are imposing against us as the reason for their worsening situation. It all looks very strange. Moreover, we fulfill all our obligations.

Once again, I want to emphasize that we are fulfilling all our obligations in the field of energy supply. In full, everything that we have to supply, we supply to our main customers both in Europe and in other regions of the world.”
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Kuna defector mmoja wa Urusi niliwahi msoma nikapuuza alisema Russia haiondoi silaha zake za zamani kwenye matumizi. Kwenye pitapita zangu nikakutana na jamaa ame-paraphrase lile chapisho nikakumbuka.

Russia hadi sasa vifaru vyao vyote ni weak, wamebaki na T-14 Armata ambavyo tunaviona kwenye magwaride tu. Russia ilifanya modernization ya silaha zake ila inashangaza kuona nyingi zinazoonekana hapa ziko in poor condition na bad shape. Kama vifaru hivi unakuta vina explosive reactive armour mbovu mara zimefungwa na nyaya mara zimeninginia, kwingine unaona blocks za armour zimechomoka. Itakuwa either Russian military planners wanapuuza, au fedha zinazotolewa hazitoshi, au kuna rushwa kubwa na ubadhirifu kwenye majeshi. Wana silaha mbovu nyingi tu kwenye uwanja wa mapambano mfano kuona matairi yaliyoisha ni kawaida sana wakati Ukraine ni muda wa snow sasahivi ikiyeyuka ni bora ukutane na mvua.

Silaha nyingi kama vifaru, infrantry fighting vehicles (IFVs) na self propelled howitzer kama Msta na Akatsiya zinatunza ammunition kwenye weak compartment within the vehicle ambapo ikipigwa missile ikapenya kwenye armour ya nje inakuja kufanya ignition ya ammo. Hili tatizo Russia wamelikwepa kwenye T-14 Armata compartment ya crew iko very protected ila Marekani huwa wanaprotect ammo na hutumia mtu mmojawapo kwenye crew kama loader wa ammunition. Ammo iko kwenye compartment nyuma uko imefungwa vizuri yeye anatoa anafeed kwenye gun, hasara ni kufanya kifaru kuwa na crew ya watu wanne ila kwa Russia new designs wanatumia crew ya watatu na loading ni automatic. Hasara ya automatic loading ni kuweka ammo magazine karibu na feed na ikipigwa hapo kinalipuka hapo hata mfupa wa mtu huuoni.

Kupona anti tank missile ni kazi sana. Ile Javelin ya Marekani inaweza penetrate 800mm = mita 0.8 = futi 2.7 za steel. Na inabebwa na mtu mmoja alafu ni 'fire and forget' yani unalenga shabaha unafyatua alafu unaondoka zako na system nzima ina kilo 22 tu na urefu wa mita 1.2
unavozifafanua mdau huend wew ukawa upo pentagon kabisa yaaan.
kam upo nchin haraka upelekwe Sumy ukaokoe jahazi
 
Putin supported the government's idea of introducing external management of foreign enterprises that are leaving the Russian market
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Hii kama ni tuhuma au si kweli... kwanini Upande wa pili Pentagon hawajitokezi kuikana....

Hizo nyaraka zilizopo kwanini hawasimami kuzikanusha.

Na kwanini vile vile western media hazitoi hizi taarifa.
kama kweli upo seriously na swal lako bas huenda part ya propaganda sijui unaillewaje media ni tools
 
Back
Top Bottom