Lakini nimeona twitter hawa watu sio wachache kama serikali inavyoclaim.
Kuna picha Wameshare NATO ya womens day ikionesha mwanamke mjeshi. Lakini bila kujua au walijua ila walikosa picha nyingine, Yule dadada ana patch ya Black sun ambayo ni moja ya Nembo za Neo nazi au hata wanazi wakale.
Hii inaonesha wapo wengi sababu kuu ni 2.
1. Wanawake ni minority Jeshini, so kama wamesambaa mpaka kwa minorities means ni wengi sana.
2. Mpaka NATO wameipost means ndio picha walau inaficha ( kama lengo lao halikuwa kusapoti Neo nazi). Asa kama hiyo ndio inaficha nyingine zikoje? Sababu Ulaya ukijihusisha na hawa racist umeloose kwa jamii.
Ukizoom picha hiyo chini utaona ( kifuani kwenye rangi ya brown hapo).
View attachment 2143818