Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua

Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama

Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
Source ?...

3000 kwa usiku mmoja ?....hao wanajeshi wote 3000 walikuwa wanalinda hiyo miundombinu ?
 
Masikin Mabinti Wadogo Wakipelekwa Kwenye Kichinjio
Unaambiwa Ukrein Haiangalii Tena Una Miaka Mingapi Unakusanywa tu Na Kupelekwa



Your browser is not able to display this video.


Now the Ukrainian women are sent to the meat grinder!

Due to the colossal, irretrievable losses in the ranks of the Armed Forces of Ukraine, the criminal Kiev regime began to mobilize more and more young girls...
 
huku kwetu itaonyeshwa chanel gani? watatuwekea na SUBTITLE? link je? instagram, twitter, youtube
facebook etc
Hii mara nyingi urushwa na RT mubashara (live). Na wanaweka mkalimani wa kiingereza.
Link ya Live coverage ya RT huwa ni hii
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the committee of foreign affairs of the European parliament consider it possible and intends to raise the issue of starting negotiations on Ukraine's accession to EU already this year, provided that country fulfill the necessary condition s[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bakhumut ngoma bado nzito[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] "Russian troops will try to take control of bakhumut on anniversary of Russia's full scale invasion of Ukraine" NSDC secretary oleksy danilov said in an interview with BBC [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Fashisti Putin hii vita kauingia mkenge aisee [emoji1787][emoji16][emoji28]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] The Netherlands will supply Ukraine with 20,000 for German leopard 2 main battle tanks, de teregraaf reported , citing the country's defense minister [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naona sasa kipanya 44 ameamua kutusaidia kupata habari warusi safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lukashenko naona kamruka fashisti Putin kiaina.., kasema hawezi kuungana na urusi kupigana na Ukraine isipokuwa tu askari wa Ukraine watakapomshambulia..,Sasa wale waliokuwa wanasubiri lukashenko kuungana na dikiteta Putin dhidi ya Ukraine mtaendelea kusubir sana [emoji28][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…