Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Punguza utotoKama ukraine ameweza kumchakaza urusi akiwa peke yake unataka NATO waingilie kufanya kazi gani Tena [emoji16][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe utoto siku hizi ni kusema ukweli,sio?[emoji28]Punguza utoto
👎Kumbe utoto siku hizi ni kusema ukweli,sio?[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata Biden akifa Leo hakuna chochote kitakachoyumba hapo America. ,Hii ndio Raha ya kuongozwa na tahasisi imara kuliko amri ya kichaa mmoja!![emoji779]️US President Biden Has Departed for his Medical Check at Walter Reed Medical Center
A written summary of the results will be released later on Thursday.
Subscribe to RT
BakaLabda kachafuka huko Twitter, kwenye battle front vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanaendelea kumtoa kamasi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
any progress in the front 🤣😂Tutazidi kuwachinja tu mpaka waombe poo[emoji16]..,hii ni Jana wamechinjwa mia sita themanini na Tisa kuongeza mmoja!!View attachment 2519143
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anaprogress hapa jamiiforum tu ,huko field tangu mwezi wa 5 mwaka Jana yupo anapigana bakhumut [emoji23][emoji28]Baka
any progress in the front [emoji1787][emoji23]
I luve OdessaUshindi wa Ukraine ni lazima.., lazima Crimea irudi nyumbani [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] most Europeans believe in the victory of Ukraine in the war
According to the results of eupinions ,61% of EU citizens believe that the war will end in favor of Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kweli kirat 😅 ,,kwa hiyo ndo itarudisha maeneo kama soledar, Crimea etc.[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji91][emoji91]View attachment 2519663
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Rejea utawala wa obamaHata Biden akifa Leo hakuna chochote kitakachoyumba hapo America. ,Hii ndio Raha ya kuongozwa na tahasisi imara kuliko amri ya kichaa mmoja!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu,hebu fikiria,unajua satellite ndio zinawapa taarifa maadui juu ya movement ya askari na vifaa vyao,walipo,wanakokwenda na wanachokifanya.Hali hii inawapa maadui nafasi ya kushambulia.
Urusi wanauwezo mkubwa kabisa wa kuharibu satellite ya nchi yoyote hapa duniani,na hasa za Ukraine kwa sababu wako vitani nae,lkn Cha ajabu hawaziharibu.ila Leo ndio wanatoa onyo kua wataziharibu wakitaka.
Baada ya kusoma hapo ndio nikajua kua kumbe Urusi anaipiga Ukraine kwa huruma,kiungwana na kistaarabu sana.
nlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi
Mashoga walaini wa Zelensky wanaendelea kutubu katika uwanja wa mapambano, ni kipigo tu. 😀European commission's sanctions to Russia [emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298] sanctions against 4 Russian banks and cutting them off from SWIFT [emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mwache aendelee kujiongopeaMkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.
Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.
Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.
North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.