kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na ikizingatiwa Ukraine kifurushi kinachojumuhisha missiles zinazopiga km 150 Kiko tayari 🥱🥱🥱Marekani imesema imeruhusu na inaunga mkono mashambulizi ndani ya Crimea
Huyu jamaa alikuwa anazichambua silaha za west na urusi mpaka unahisi urusi anaenda battlefield na mikuki vs tanks za west ila sema anajitahidi sometimes kujitambua ukilinganisha na yule kipanya ambaye nahisi ni brain dead kabisa maana ni rahisi kumfundisha mbuzi kusoma na kiandika kuliko kujaribu ku refine ubongo wa yule jamaa that gay is broken beyond repair@T14 Armata hv zile tb za TURKEY ziliishia wapi sizisikii kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia!!!Marekani imesema imeruhusu na inaunga mkono mashambulizi ndani ya Crimea
Kupyansk muda si mrefu itakwenda na mma maana wanakimbia wenyewe kabla Warusi awajafika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu MPAKA nimeshangaa warusi wanayakaribia majiji ya kupyansk na LIMAN *****
Hapa wapo mji gani🤷♂️🤣Hawa hapa vijana wanaoyapelekea moto majeshi ya fashisti [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2520192
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani zele wa jfDuuu MPAKA nimeshangaa warusi wanayakaribia majiji ya kupyansk na LIMAN *****
Wanapeleka moto wakiwa uwanja wa vita sehemu gani?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa hapa vijana wanaoyapelekea moto majeshi ya fashisti [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2520192
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wapiga zumari wa meliniHaya twende kazi enyi wayukreiniView attachment 2520418
Hizi ndio habari ninazo penda kusikia[emoji95][emoji95][emoji95]Ukrainian sources report that the Russian Armed Forces have taken control of the village of Gryanikovka in the Kharkiv region[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2520561
Mkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.
Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.
Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.
North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
Kumbe NATO ndio ipo vitani na Urusi huko Ukraine ?...🙄🙄Ila wakuu tuache masihara, Urusi anabonda jamani, minato inabondwa huko mpaka huruma.
Jeshi legelege la machoko la US liende nalo likaaibishwe kama lilivyoaibishwa Syria. Minato iko hoiii kwa moto wanaopelekewa..
huko kharkiv naona warusi wanachotea tu miji[emoji95][emoji95][emoji95]Situation on Kharkov axis: Russian army entered the remaining parts of Hryanykivka, thus fully protecting the city[emoji95][emoji95][emoji95].
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2520556