Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,464
- 7,080
kp kipanya44 wale mageneral uliokuwa unatuambia wamekufa ishirini mmoja kafufuka huku 😃,,, naona wadau kila wakikwambia unajifanya unajikausha kama huoni coment hivi,,😅😅Tunahangaika kwa manabii haliyakuwa putin anayo dawa ya ufufuo wa mwili na roho.
Huyu bwana amefariki miezi 11 iliopita, ila jana kapewa nyadhifa na vladimir
View attachment 2520956
Kwa nini unauliza kama nimeelewa maana?? Marekani hata akitamka kwamba zelensiky ni fisadi hiyo habari nitaileta hapa maana huyu ni mshirika wa kweli wa Ukraine anayeijua Ukraine nje ndani.., kuhusu masuala ya wizi na ufisadi hayo umesema wewe..,hakuna popote nilipoandika kitu kama hichoUnaelewa maana yake lakini?! Maana yake ni kuwa Ukraine na jeshi lake wametopea kwa wizi, ufisadi na rushwa...fedha na vifaa au silaha kwa ajili ya Vita nyingi zinaibiwa hivyo ukaguzi ni muhimu Hadi mstari wa mbele..
Ili umpate kp kipanya 44 katika hilo mqoute mjanja sana yule habari hiyo haioni kabisakp kipanya44 wale mageneral oliokuwa unatuambia wamekufa ishirini mmoja kafufuka huku [emoji2],,, naona wadau kila wakikwambia unajifanya unajikausha kama huoni coment hivi,,[emoji28][emoji28]
Kuna Uzi umeanzishwa tangu juzi kwamba bakhumut is completely incicled, lakini mpaka Leo ni blabla tu hakuna updates..,ndio maana nimeacha kujibu uzushi wenu[emoji28]Ili umpate kp kipanya 44 katika hilo mqoute mjanja sana yule habari hiyo haioni kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521150
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Teyari PUTIN kasha mfufua general mmojaKuna Uzi umeanzishwa tangu juzi kwamba bakhumut is completely incicled, lakini mpaka Leo ni blabla tu hakuna updates..,ndio maana nimeacha kujibu uzushi wenu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa,asiishie tu kumfufua jenelali,awafufue pia askari wake zaidi ya laki Moja na nusu waliochinjwa [emoji28]
Naona Marekani wameanza fufua viwanda upyaCNN waonyesha kiwanda cha kutengeneza risasi na mabomu kwa ajili ya Ukraine,huko Pennsylvania,Marekani!
...........
CNN gets a rare look inside a Pennsylvania factory making ammunition for Ukraine
https://www.facebook.com/
Mnajua kafa kwasababu mnasikiliza vyanzo vya habari vinavyo sambaza propaganda kuwapa sifa Anglo saxonsTunahangaika kwa manabii haliyakuwa putin anayo dawa ya ufufuo wa mwili na roho.
Huyu bwana amefariki miezi 11 iliopita, ila jana kapewa nyadhifa na vladimir
View attachment 2520956
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums
Wacha kufuatilia propaganda na habari za udaku tumia vyanzo sahihi huyu amejiuwa sio kaanguka dirishani Ila ilijirusha kutoka gorofani kupitia dirishani
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums
Wacha kufuatilia propaganda na habari za udaku tumia vyanzo sahihi huyu amejiuwa sio k
Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1
TUTAONA YETU MACHO🤣🤣Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521150
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya miezi kadhaa atateuliwa mda utakuja tu.[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hao laki tatu wenu labda mtafuteni yesu wa tongeleni Kenya awafufue yaani mwaka huu tutajionea Mengi sanaSawa,asiishie tu kumfufua jenelali,awafufue pia askari wake zaidi ya laki Moja na nusu waliochinjwa [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa,asiishie tu kumfufua jenelali,awafufue pia askari wake zaidi ya laki Moja na nusu waliochinjwa [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app