kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Na usisahau pia Putin aliingia Ukraine Kwa mbwembe lakini kinachomkuta Sasa[emoji1787][emoji28][emoji1787] mpaka anaomba lakini maombi hayajibiwi[emoji28]Kipanya kabla hajaivamia Ukraine,alionekana kama picha ya kwanza,,,Kwa Sasa alivyo ,anafanana na picha ya pili.View attachment 2521404
Kwani upo Africa sehemu gani Kipanya44.jana tu Paraskoviivka imeanguka.warusi wanapigana kwa akili sana.wanazidi kuwajaza wanajeshi wa Ukraine Bakhmut ili wakifunga mlango basi majeneza zaidi ya elfu 10 yatarudishwa Kiev[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vip mzunguko wa bakhumut umefikia wapi? Askari wa Ukraine waliozungukwa bado tu hawajajisalisha??[emoji28][emoji1787][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawa kama nguchiro!!!Kipanya kabla hajaivamia Ukraine,alionekana kama picha ya kwanza,,,Kwa Sasa alivyo ,anafanana na picha ya pili.View attachment 2521404
Kama Hivi,sio??[emoji28][emoji1787][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawa kama nguchiro!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waonyeshe list ya hata wanajeshi 1000 tu[emoji1255][emoji298]Mamluki wa urusi zaidi ya 30000 wanaopigana nchini Ukraine Kwa niaba ya Moscow wameuwawa au kujeruhiwa tangu vita ya Ukraine kuanza,kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya marekani John kirby, kundi Hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni,wapiganaji 9000 wakiuwawa katika uwanja wa mapambano [emoji298][emoji1255]
Chanzo; RFI kiswahili on Facebook
View attachment 2521429
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ipo Siku Yatawarejea wao wenyeweArtillery anazotumia Ukraine kwa siku 5 kiwanda 1 cha Marekani huzitengeneza kwa mwezi 1
Hivyo Pentagon wamesema wanaongeza production kwa 500% ili kuweza kucover pcs walizotuma Ukraine ambazo ni zaidi ya 200000.
Pia wanaongeza production ili wawe na reserve ya artillery stock ya zaidi ya pcs 2mil.
Hii yote ni kwa ajili ya Taiwan, South Korea
Na wale laki moja na elfu 30 vipi Tena yaaani[emoji1255][emoji298]Mamluki wa urusi zaidi ya 30000 wanaopigana nchini Ukraine Kwa niaba ya Moscow wameuwawa au kujeruhiwa tangu vita ya Ukraine kuanza,kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya marekani John kirby, kundi Hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni,wapiganaji 9000 wakiuwawa katika uwanja wa mapambano [emoji298][emoji1255]
Chanzo; RFI kiswahili on Facebook
View attachment 2521429
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani Wakitrigger Hiyo Article 5 nini kitatokea moja kwa Moja Siku risasi yao moja tu ikielekea Russia hapo hapo Urusi itajibu Kwa nguvu ambayo wao wala hawaitarajii na ndio Mwanzo wa Vita Kuu ya Dunia na Vile vile Nwisho wa Dunia.Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.
Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.
Hiyo itakuwa ni suicide mission.
Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.
Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Kwa kufasiri Ni hiviNa wale laki moja na elfu 30 vipi Tena yaaani
Sawa kipanya tuendelee kula mtori tu bila nyamaSisi tunaendelea kuwachinja tu hata mkirusha hivyo vikombora uchwara.., habari njema ni kwamba Jana walichinjwa zaidi ya 1000🥱🥱🥱🥱View attachment 2521401
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo ni idadi ya mamluki wa Wagner tu.., ukitaka idadi ya askari rasmi wa urusi waliochinjwa nitakuletea pia!Na wale laki moja na elfu 30 vipi Tena yaaani
Shukrani sana comred..,umenisaidia kuverify hiyo taharifa!Sawa kipanya tuendelee kula mtori tu bila nyamaView attachment 2521558