kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo elf 30 ni Kwa upande wa wapiganaji mamluki wa Wagner tu!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama nyie mnavyotuletea habari za bakhumut kuzungukwa kila uchao [emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Afufuke asifufuke..,hiyo haitabadilisha ukweli kwamba super pawer wa kwenye makaratasi kapoteza majenelali zaidi ya 22 Pamoja na elite soldiers kibao kwenye kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]Vipi na yule General aliyefufuka maana mmetulisha sana matangopori[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wewe ukisema wanajeshi wa Ukraine wapatao 100 wameuwawa huwa unaonesha au unaandika tu maelezo yako??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waonyeshe list ya hata wanajeshi 1000 tu
Kwamba japo kafufuka nyie bado mnahesabia kafaAfufuke asifufuke..,hiyo haitabadilisha ukweli kwamba super pawer wa kwenye makaratasi kapoteza majenelali zaidi ya 22 Pamoja na elite soldiers kibao kwenye kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Afufuke asifufuke..,hiyo haitabadilisha ukweli kwamba super pawer wa kwenye makaratasi kapoteza majenelali zaidi ya 22 Pamoja na elite soldiers kibao kwenye kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na hao wote wanakwenda kuwa mishikaki!! Duh! Vita isikie kwa jirani tu [emoji848]View attachment 2521751
Ukrainian sources report that 43 buses with employees of PMC Wagner ( k.k security)have been deployed to the Zaporozhye direction. That is, the total number of this group can be estimated at 1500-1700 people
Iyo rangi nyekundu ndio warusi wameteka hayo maeneo amaWanaume wanasongambele
After liberation of the locality ofParaskovievka, units of the Wagner PMCs began storming the northwestern suburb of Bakhmut Berkhovka.
Through this locality passes several highways important for the supply of the Bakhmut group of the AFU.
Wewe nawe chenga sana hao 30k ni wagner pekee ilie 130k nipamoja na jeshi la Russia waliokufaKipanya Kama kipanya haya wenzako wametoa majiibu sijui lile graph unalitoa wapi?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hakuna mtu muongo Kama kipanya.View attachment 2521655
Uwa tunaonyesha kama ivi.sisi sio watu wa maneno matupu.unaweza kuhesabu mwenyewe hapoKwani wewe ukisema wanajeshi wa Ukraine wapatao 100 wameuwawa huwa unaonesha au unaandika tu maelezo yako??
Baba ogopa Sana kiongozi wa
taifa Kama Russia kuuawa na yeyote anayeonekana kuwa na uhusiano wa namna yoyote na Wamagharibi. Dunia itaangamia. Mutual Assured Destruction itatokea hapa.
Warusi pia wanajua hawawezi kumuua Sunak, Blinken Wala Macron wakiwa mjini Kiev.
Nb.
Tahadhari Ni muhimu kufanywa ili kuepusha majanga
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app