Takriban wakimbizi elfu 10 wa Ukraini nchini Marekani huenda wakawa wahamiaji haramu kuanzia Aprili, gazeti la Wall Street Journal linaripoti.
Sababu waliingia nchini kwa muda mfupi, wakati ambapo serikali ya Marekani haikuwa na mpango wa muda mrefu wa kuingia kwao
Wanapaswa Kujua Marekani ni Taifa la Hovyo Halina Rafiki Wakudumu ni Wapuuzi kwelikweli Yaani Anawaingiza kwenye Moto kwa maslah yake Na Waukrein Wanashindwa tambua Sio kwamba Anawapenda Rahasha
Ndio wakome
About 10 thousand Ukrainian refugees in the United States may become illegal migrants from April, the Wall Street Journal reports.
The reason is simple - they entered the country in a short period of time, during which the US government did not have a long-term plan for their admission. Last year, in the first weeks after Russia invaded Ukraine, tens of thousands of Ukrainians with families or friends in the United States flew to Mexico, hoping that they would be allowed to enter the United States from there. About 10 thousand of them entered the States through the Mexican border from April 11 to April 30, 2022.
This is the essence of the legal conflict. Refugees who entered the United States before April 11 fell under the protected status program, and after April 30, Ukrainians arrived in the United States already under the Uniting for Ukraine program. People who entered the country in between these two programs may have to leave America if the authorities do not change the laws, writes WSJ.