LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hizi ni porojo.
 
Sasa unadhani wa wapi wale?njaa zinawauma Sana wacha wakachomechome wapunguze njaa mwenzao aliyewaamrisha anakunywa sharubati ya tender na biriani Wenyewe wako busy kuiba kuku za watu
Lete ushahidi kwamba wale walikuwa askari wa kirusi
 
Vikwazo alitishiwa kabla hajavamia.
Na akavamia na kuwapiga
Na hii sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo Urusi.
Urusi sio Zimbabwe
 
We bibi acha kuharibu uzi kwa mambo yako ya makobazi na pedo pusha
Ukweli huwa unawauma sana. Muulize Mrusi mbabe wake nani kama si Taliban? Muuliza US mbabe wake nani kama si Taliban?

Unakukasirisha ukweli?
 
Putin anamwaga ugali 😀
 
Ukweli huwa unawauma sana. Muulize Mrusi mbabe wake nani kama si Taliban? Muuliza US mbabe wake nani kama si Taliban?

Unakukasirisha ukweli?
Faiza foxy unatuzalilisha Waislamu wenzio.

Hivi unafikiri alianza kupigwa nani Afghanistan?
Kati ya Mataifa yafuatayo;
Great Britain
USSR
USA
Na sababu za kushindwa kwao zilikuwa nini?

Kafatilie kitu kinaitwa Great game
 
Vikwazo alitishiwa kabla hajavamia.
Na akavamia na kuwapiga
Na hii sio mara ya kwanza kuwekewa vikwazo Urusi.
Urusi sio Zimbabwe
Mwambie hivi, Russia kawekewa vikwazo alipompiga Georgia, alipoivamia Crimea na Chechnya. Huyo Zelencky ni version ya Saakashvili aliyekuwa rais wa Georgia. Putin anavyosema alijua watapewa vikwazo ni vile atambaua walishapewa sana tu, mtu anashangaa ruble kushuka hadi 120 kwa dola, kipindi cha Georgia ilishuka toka 19 hadi 55, they still survived, Russia sio Zimbabwe eti.
 
Shukrani mkuu
 
Fuvu la mwanadamu wa kale limepatikana Arusha
Yawezekana kabisa kizazi cha Adam waliishi Ngorongoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…