Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

URUSI na UMASKINI wake wote alionao hio pesa kaipata wapi


Hao sio RUSSIA sababu RUSSIA nitaifa MASKINI haswaaaaa
Hicho ndicho kitu watu hawajui.Russia sio moja ya nchi tajiti sana duniani kwani bado kuna vitu hawajaweza kuvitimiza kwenye medani ya uchumi wa dunia.Hata currency yake sio ya kiivyo ,
 
Hicho ndicho kitu watu hawajui.Russia sio moja ya nchi tajiti sana duniani kwani bado kuna vitu hawajaweza kuvitimiza kwenye medani ya uchumi wa dunia.Hata currency yake sio ya kiivyo ,
Mataifa ya Magharibi na US watampeleka wee kwenye hii vita hadi atajikuta anatumia kila akiba aliyonayo - yaani kifupi ni killing softly.
Watu wa magharibi ni mafia.
 
Mataifa ya Magharibi na US watampeleka wee kwenye hii vita hadi atajikuta anatumia kila akiba aliyonayo - yaani kifupi ni killing softly.
Watu wa magharibi ni mafia.
Yaani RUSSIA mmafya kuliko unavyo waza

Kama munadhania anguko la DUBU litatokana na hii SMO mnajidanganya

Hii SMO ikiendelea kwa miaka miwili tutaanza kushuhudia EU na NATO wakivurugana


Tungojeeee
 
Kwan UCHUMI unapimwa kwa currency kua kihiivyo !!?
GDP - TOP 15 Contries - Gross Domestic Product
  1. United States: $20.89 trillion
  2. China: $14.72 trillion
  3. Japan: $5.06 trillion
  4. Germany: $3.85 trillion
  5. United Kingdom: $2.67 trillion
  6. India: $2.66 trillion
  7. France: $2.63 trillion
  8. Italy: $1.89 trillion
  9. Canada: $1.64 trillion
  10. South Korea: $1.63 trillion
  11. Russia: $1.48 trillion
  12. Brazil: $1.44 trillion
  13. Australia: $1.32 trillion
  14. Spain: $1.28 trillion
  15. Indonesia: $1.05 trillion
Tanzania - $167 billion
 
Mwendo wa kipara
"Marekani inasema makampuni ya China tayari yametoa "msaada usio na madhara kwa " Urusi, na kwamba ina habari mpya zinazopendekeza Beijing inaweza kutoa "msaada hatari" hivi karibuni.

 

Chinese has a largest economy next to US.

Kwa nini unahisi kwamba hawezi pigana vita?
Kama US anaweza pigana kwa nini Chinese washindwe?

Tatizo watu mnaleta perspective zenu ambazo ziko very limited kwenye mambo makubwa ya kidunia.

Ofcourse, vita sio jambo zuri, ila watu wakiamua kupigana wanapigana tu kama kawaida.
 
Hicho ndicho kitu watu hawajui.Russia sio moja ya nchi tajiti sana duniani kwani bado kuna vitu hawajaweza kuvitimiza kwenye medani ya uchumi wa dunia.Hata currency yake sio ya kiivyo ,
1. Vitu gani hivyo ambavyo bado hawajatimiza?
2. Utajiri wa nchi unaupima kwenye nini?
3. Currency ina uhusiano gani na utajiri wa nchi?
 
Hawa jamaa wapo kama vile wanaongozwa na remote
Kuna wakati nawaza au wamefanyiwa cloning hivyo wanawaza na kutenda kile tu LGBTQ wanachotaka wawaze 😊
Yaani siku kifaru Cha Urusi kikilipuliwa utawaona wamevamia jukwaa,Wana kiwango kidogo sana Cha furuha ktk smo hii.
Walizoea USA bomb Libya,

NATO bomb Belgrade,

USA bomb Baghdad,

USA bomb jalalabad.
 
Makadirio hayo yanahusisha ujenzi wa miji aliyojenga???
 
Hii ID mpya mmmmh,itakuwa Kuna mtu amepuyanga sana mpaka akaona aikimbie ID yake!
 
Wow!
Pumzika basi comrade,umefunguka sana,umepiga Kila engo.
Usichangie Tena Hadi Putin atakapomaliza hotuba yake,tunahitaji uchambuzi wako mahili.
 
Kwa nini unahisi kwamba hawezi pigana vita?
Kama US anaweza pigana kwa nini Chinese washindwe?
You will prove me wrong siku mchina atapeleka msaada Urusi tena kwa kutangaza kama wenzake wa magharibi wanavyofanya wanapoisaidia Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…