Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Nawakumbusha tu pro NATO hii Azov imevunwa huko MAURIOPOLWe will develop the ports of the Black and Azov Seas, the North-South corridor, and increase the capabilities of the Northern Sea Route, - Putin
De dolarization.....[emoji635][emoji273][emoji777][emoji385]Russia will continue to work with partners to make system of international settlement independent of the dollar and other Western currencies, dollar will lose its universal role. - Putin
Putin: inflation in Russia will approach the target level of 4% by the middle of the year, and in the EU inflation is already 12% or more
The image of the West as a safe haven turned out to be fake. Those who considered Russia only as a source of income have lost a lot. In the West they were simply robbed.
At least ni propaganda kuhusu West, mengi hata pale aliposema West inataka kushirikiana na Ukraine kuharibu airbases za Urusi na pale anasema West imeiba forex na gold reserve ya Russia. Hotuba haikuwapa Warusi fake sense of superiority, hawa huwa na demand ukiwaambia vitu huna uwezo navyo.Propaganda kidogo kaingiza mkuu..,hasa pale aliposema kwamba west wameshatumia dollar [emoji385][emoji385] billions 150 kwenye vita inayoendelea huko Ukraine
Putin amelaumu West Countries kwa kuanzisha hii VITA na siyo SMORUSSIA hawezi kupigana muda mrefu
SMO itaendelea mpaka malengo jumla ya SMO yafikiwe
SMO iendeleeee.....!!
Mkuu huchoki tu, tangu malengo uanze kuyasema hadi leo hayatimii na yanabadilika. Mashabiki wenzako tunaowaamini kabisa wako wanalalamika hukuRUSSIA hawezi kupigana muda mrefu
SMO itaendelea mpaka malengo jumla ya SMO yafikiwe
SMO iendeleeee.....!!
Mambo yamekuwa magumu kaamua kutupa lawama. Yuko serious kabisa anasema West ilianzisha vita alafu Russia ndio ikaingia, na anasema ilitoa silaha za hii vita kabla. Hapo nilichekaπPutin amelaumu West Countries kwa kuanzisha hii VITA na siyo SMO
Mimi pia nilicheka na nikawakumbuka Members wa JF Pro Russia wanaong'ang'ana siku zote kuwa hii ni SMO na siyo Vita.Mambo yamekuwa magumu kaamua kutupa lawama. Yuko serious kabisa anasema West ilianzisha vita alafu Russia ndio ikaingia, na anasema ilitoa silaha za hii vita kabla. Hapo nilicheka[emoji23]
aisee...ww Mwamba hapa ndio huwa unazingua...!!!..hv kwa kutumia akili za kawaida tu unaweza vipi kubisha kwamba West ndio walioanzisha hii vita...!!!Mambo yamekuwa magumu kaamua kutupa lawama. Yuko serious kabisa anasema West ilianzisha vita alafu Russia ndio ikaingia, na anasema ilitoa silaha za hii vita kabla. Hapo nilicheka[emoji23]
Kwahiyo West ndio inapigana na Ukraine au sio. Hizi akili mnazitoa wapi hivi. Tarehe 24 mtafanya maadhimisho ya Russia kuivamia Ukraineaisee...ww Mwamba hapa ndio huwa unazingua...!!!..hv kwa kutumia akili za kawaida tu unaweza vipi kubisha kwamba West ndio walioanzisha hii vita...!!!
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Amelaumu west kuanzisha vita huko Donbas!Hiyo vita si hii SMO,alichosema ni kuwa Russia inatumia force kusimamisha vita iliyoanzishwa na West!Hiyo force ndio hii SMO Kwa mujibu wa maelezo yake!Putin amelaumu West Countries kwa kuanzisha hii VITA na siyo SMO
Demilitarization & denazification..Lengo la hii vita ni lipi ?
Elewa kwa west Ni Vita Ila kwa Russia Ni SMO au leo hajasema hayo maneno kwenye hotuba yake?Mimi pia nilicheka na nikawakumbuka Members wa JF Pro Russia wanaong'ang'ana siku zote kuwa hii ni SMO na siyo Vita.
Huoni kuwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Ukraine inaendelea kupukutika,hiyo sio demilitarization?Au mwisho wa siku jeshi la Ukraine likifyekwa,NATO itaingiza majeshi yake rasmi?Demilitarization & denazification..
'Demilitarization of Ukraine' haiwezekani maana bado Ukraine anapokea silaha za magharibi kila kukicha.
Na kuhusu 'denazification' ingetakiwa ianzie ndani ya Urusi kwenyewe maana hata huko manazi wapo.