LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
nahisi niwakati mzuri sasa wa NATO kuishambulia RUSSIA sababu imekua dhaifu sanaaa
pia wangeruhusu na television za RUSSIA nazo kupewa airtime tukapata kuona na huko
 
Tena angepata makalio yako laini na kachumbari ya pilipili na ndizi choma dah angeyafaidi sana
Nakuelewa!baba yenu kule anatapatapa na nyuklia,wafuasi wake huku mmeacha hoja mnakimbilia matusi,wanajeshi wenu wameacha mitutu wamebeba mafimbo wanateka kuku wa watu....usijali tutawavumilia tu matusi yenu sio nyinyi..Aibu yetu aibu yenuu
 
Ke unasema mzee baba aisee mmeo anakazi ndo maana upo kwenye nyuzi za vita. Ingekuwa tanks zinauzwa buku buku ungekuwa ushanunua
Tutawavumilia tu!!hamjielewi tena...wafuasi wake silaha mliyobaki nayo Ni matusi mmeacha zile mbwembwe....nasemaje tunaelewa situation yenu mzee baba kawaangusha sana
 
mkumbushe tu kwanini kaagiza majeshi yake yaliopo kongo yarejee nyumbani
pia mwambi niwakati sahihi sasa wa UKRAINE kupiga MOSCOW
 
Huyu nae atulie Africa tunataka amani
Kwako wewe amani ni pamoja kukubali kaka yako awe SHOGA?KUPANGIWA VIONGOZI, KUPANGIWA MAISHA NK??
Acha ujinga kwa kuangalia huu mgogoro katika angle moja. Russia wako sahihi sana, we unadhani hizo silaha za nini kaka hakuna vita? Kama vipi tusiwe na jeshi basi kama kweli tunataka amani ya kweli.
Huu unafiki ndio URUSI anakomesha sasa. Yaani una silaha afu unaambiwa tusiuane how??
Jiongeze kidogo.
 
Aibu nchi inajitangaza superpower kuonekana na udhaifu wa kivita kiasi hiki- hadi leo Urusi inadhibiti mji mmoja tu Ukraine.
aibu kubwa kweli kweli
ila inashangaza UKRAINE hajarusha haa jiwe st petersburg Moscow nk
inashangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…