Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii sio move nzuri. Russia huwa ni washiriki wazuri wa Olympics ingawa wanapenda kufanya doping. Nitamiss moments zao za kuna michezo huwa wanatawala hasa ya asili ya kwao. Hapa ndipo athletes hubadilisha uraia.
Huwa sipendi michezo iingiliwe na siasa.

Umenikumbusha FSB walivyoiba vipimo vya mkojo wa wanariadha wao kwenye maabara.
 
Hata Leopard na abram nazo tutaziwasha Moto tu
"Russian forces also wiped out two Ukrainian tanks, two armored combat vehicles, a Grad multiple rocket launcher and a D-20 howitzer in the southern Donetsk and Zaporozhye areas, Lieutenant-General Igor Konashenkov reported"
 
Hii hasara ambayo Rusia amesababishia dunia. Haya mauaji yanayoendeshwa na Rusia na uharibifu Ukraine.
Eti aruhusiwe kushiriki michezo na dunia. HAPANA

Huyu Putin na Rusia wake sio ndugu ya Dunia tena katika jambo lolote
 
Naona warusi wanaendelea kuchinjwa, hotuba ya Putin haijabadilisha kitu..,Jana walichinjwa zaidi ya mia Saba 🥱🥱🥱
 
Hii hasara ambayo Rusia amesababishia dunia. Haya mauaji yanayoendeshwa na Rusia na uharibifu Ukraine.
Eti aruhusiwe kushiriki michezo na dunia. HAPANA

Huyu Putin na Rusia wake sio ndugu ya Dunia tena katika jambo lolote
Umenena vyema [emoji119][emoji119][emoji119]
 
We unalinganisha msaada wa chandarua na leopard au abram hivi we unafikiria kwenye kichwa au kisigino?
Chandarua anapewa bibi yako uko kijijini, ARVs wanapewa ndugu zako ambao bahati mbaya ni waathirika. Ndivyo vitu wanahitaji.
Kisha Ukraine inapewa Lepard na Abrams.

Kila mtu anapewa anachostahili. Sisi tupewe Abrams za nini wakati hatuna vyumba vya madarasa 4,000 kwa form one walioanza?

Hiyo yote ni misaada. Na huyohuyo Russia aliwahi pewa misaada na Marekani ambayo ni dola ngapi kwa hela ya sasa? Soma hapo mwenyewe kisha nambie dunia hii ni wapi Urusi iliwahi kupata msaada angalau 1/10 ya huo

Hivi ulipokuwa unasikia "ujumbe huu umeletwa kwa hisani ya watu wa Marekani" ukadhani Marekani inakupa kondomu tu wewe na haijawahi saidia wengine duniani?
Ningekuwa najua ulizaliwa hospitali gani, lini na huduma gani ulipata kuna uwezekano Marekani ndio ilifanya uwepo hapa.
 
Mtoto wa kiume unataka kupakuliwa na kulishwa huwezi fatilia??
Ukitukanwa useme umeonewa wakati hujatukanwa.

Uliulizwa ukiona huwezi jibu kaa kimya.

Hayo yakupakuliwa kama ndio kazi unayofanyiwa ni shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…