LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
@T14 Armata
 
Tutawavumilia tu!!hamjielewi tena...wafuasi wake silaha mliyobaki nayo Ni matusi mmeacha zile mbwembwe....nasemaje tunaelewa situation yenu mzee baba kawaangusha sana
Samahani Joannah naomba nikuulize swali?
 
huu mgogoro unautabiria utaishaje MKUU
 
Na mimi nimeona ila kiukweli vifaru haviwezi kusafiri kihivyo kama siafu...fake news....definitely fake news....Wewe fikira uandishi wa ajabu kabisa...issue inayochukuliwa na vyombo vya habari vya magharibi ni kile kinachoitwa kubomoa maeneo ya raia tu...kamwe huwezi kuwaona waandishi wa habari hao wakiwahoji watu wa Donbas na maeneo mengine ya Ukraine yanayokaliwa na warusi na ambao walikuwa wanauawa kama panya na neo-nazis wa Ukraine...mipicha inayooneshwa kwenye TV ni ile ile inajirudia rudia kwa siku tatu....Zelensky mwenyewe alitangaza raia wapewe silaha sasa kwanini wasitwangwe???
 
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
hatujakataa kuhusiana na kuweza ila unahisi hao askari 500 wote watakaa sehem moja?
nawakati wanajua wapo vitani hapo kwaharaka haraka tu unajua kama kunajambo halipo sawa
ila acha tuone
 
hili halina ubishi
kwamba zelensky ataondoshwa je kwamba RUSSIA wataweza kuitawala UKRAINE baada ya kuivamia ama ndio itakua failled state
maana nahisi western wanapeleka silaha kwawingi kwamalengo yao
Kwani lengo la Urusi ni kuitawala Ukraine kisiasa na kiutawala?

Au Wana lengo jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…