kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mfano mfu kabisa,Russia na Ukraine Wana uhasama wao wa muda mrefu!Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
Hawa ni waukraineImepostiwa na Prigozhin wa Wagner
Anaomba silaha maana watu wake wanakufa
Hapa ni BakhmutView attachment 2526273
Safi sanaNchi inaendeshwa kwa mkono wa chuma!!View attachment 2526511
Pole mkuu,inauma, lakini ndio Hali halisi [emoji24][emoji24]Hawa ni waukraine
Sijaona mkataba hapa...nimeona issues tatu hivi zilizomo kwenye mkatabaMkataba wa START “Strategic Arms Reduction Treaty" aliouvunja Putin jana huu hapa... Huu ulisainiwa mwaka 2010 na pande zote mbili.
- Deploying no more than 1,550 strategic nuclear warheads and a maximum of 700 long-range missiles and bombers.
- A limit of 800 intercontinental ballistic missiles in deployment.
- Each side can conduct up to 18 inspections of strategic nuclear weapons sites yearly to ensure the other has not breached the treaty’s limits.
Ukisema hana akili sawasawa au ukasema ni haki yake nini tofauti!? Vyovyote utavyosema yeye atakupiga! Ukijihakiki mwenyewe inaweza kusaidia. Je kweli wewe si adui na hatari kwake!?Mkuu unaamini kweli kama jirai yako siku moja anaanza kukuangalia na kusema: Wewe ni hatari kwangu! halafu anaanza kukupiga - je unaamini hana akili sawasawa au utasema "Haya, ni haki yake!"?
Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.Mfano mfu kabisa,Russia na Ukraine Wana uhasama wao wa muda mrefu!
Sio kwamba Russia kakurupuka tu Leo na kuamua kumchapa Ukraine!
Putin mwenyewe kaeleza taarifa za kiintelejensia zilizokuwa zikiwafikia ni kuwa Ukraine alijiandaa Kwa offensive Donbas region na baadae mpaka Crimea!
Ndio maana baada ya hii SMO,akaja na kauli ya vilianzia Crimea na vitaishia Crimea!
Hii imethibitisha kuwa intelejensia ya Russia Ilikuwa sahihi!
Noma sanaUkraine wameishiwa Bunduki,
Tatizo la watu hapa wanayachukua ya upande wao kama ndio absolute truth. Yaani Putin anasema kbs wana migogoro na ugomvi wa maeneo na Ukraine mtu anakuja na kusema hakuna shida yeyote iliyokuwepo ni urusi tu kaamua kuivamia Ukraine.Mfano mfu kabisa,Russia na Ukraine Wana uhasama wao wa muda mrefu!
Sio kwamba Russia kakurupuka tu Leo na kuamua kumchapa Ukraine!
Putin mwenyewe kaeleza taarifa za kiintelejensia zilizokuwa zikiwafikia ni kuwa Ukraine alijiandaa Kwa offensive Donbas region na baadae mpaka Crimea!
Ndio maana baada ya hii SMO,akaja na kauli ya vilianzia Crimea na vitaishia Crimea!
Hii imethibitisha kuwa intelejensia ya Russia Ilikuwa sahihi!
The memoranda, signed in Patria Hall at the Budapest Convention Center with US Ambassador Donald M. Blinken amongst others in attendance,[2] prohibited the Russian Federation, the United Kingdom and the United States from threatening or using military force or economic coercion against Ukraine, Belarus, and Kazakhstan, "except in self-defence or otherwise in accordance with the Charter of the United Nations." As a result of other agreements and the memorandum, between 1993 and 1996, Belarus, Kazakhstan and Ukraine gave up their nuclear weapons.[3][4]Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .
Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
Haina maana kama aliahidiwa kuheahimiwa mipaka yake basi ndio afanye lolote analotaka kisa ana ahadi ya kutokuguswa.Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
Sasa kama jirani yako alifanya mktaba nawe na kupokea malipo (=Ukraine kukabidhi silaha za nyuklia kwa hiari yake kabisa, Urusi haikudai, zilikuwa pamoja na nchi za magharibi zilizoshawishi Ukraine kukabidhi silaha Urusi) na sasa jirani yako anaanza kukipiga akidau unakalia ardhi yake, au wewe unapaswa kumtii . . . . .
Katika dunia ya kawaida kuna polisi na huduma ya afya ya kiakili itakayomchukua yule babu jirani yako maana ni dhahiri amechanganyikiwa na hatari kwake mwenyewe na kwa wengine . . .
Nato kuwa mpakani mwenu hapo Finland sio tatizo ila mpakani mwenu hapo Ukraine ndio tatizoWe do not have such problems with Sweden and Finland, which, unfortunately, we have with Ukraine. We have no territorial issues… no disputes… we have nothing that could bother us from the point of view of Finland's or Sweden's membership in NATO.
Mambo ya sizitaki mbichi hizi [emoji57][emoji42]Nato kuwa mpakani mwenu hapo Finland sio tatizo ila mpakani mwenu hapo Ukraine ndio tatizo
Hapo Finland punde tutawaona askari wa nato wakivinjari mpakani hilo halitakuwa tatizo kwenu ?....kwa hiyo hoja ya nato kujitanua inakuwa tishio kwa Ukraine tu ?
Putin alitamani Ukraine iwe kibaraka kwake kama Belarus ila hesabu zake kazipiga vibaya.