Upo wakati mlisema anaumwa....mkawa mnaleta humu picha za mchongo akiwa ameshikilia meza...kile kibabu chenu, Joe Biden, kinadondoka kiukweli Kila wakati lakini hamkisemi...juzi kimedondoka kwenye ngazi za ndege...halafu kinapotembea kimenyooka Kama msumari, hakiwezi kuinama...duh...kitakuja kudondoka moja kwa moja mkutanoni, nyie subirini mtaona...Huyu dikiteta atakuja kukimbia mpaka kivuli chake [emoji28][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji298]️A Pantsir missile system was spotted opposite Moscow’s Luzhniki Stadium, where Vladimir Putin is expected to speak today, as part of a patriotic rally. [emoji298]
[emoji329]: Telegram / tvrain
Waambie haoHuu ujinga ndio Urusi hautaku.... Mbona Marekani/NATO walipovunja mkataba wa kutokusogea east kuelekea Urusi mlikaa kimya!!!!
Nipange ndugu yangu,[emoji298]A destroyed Russian tank placed opposite the Russian embassy in Berlin.
[emoji328]: Enno LenzeView attachment 2528353
Huo ni ubalozi wa urusi nchini ujerumani.., hicho ni kifaru Cha urusi kilichoharibiwa kwenye mapigano huko Ukraine.., hivyo kitendo Cha kuweka hicho kifaru nje ya jengo la Urusi,hiyo inamaanisha kulaani uvamizi wa urusi nchini UkraineNipange ndugu yangu,
ilikuaje hiyo mashine ikawekwa hapo mbele ya mjengo???
Atakayeingilia kwa kupeleka silaha au kupeleka majeshi ndio atashughulikiwa ?Plan ya kushughulikia kwa yeyote atakaye ingilia demilitarization na denazification operation huko Ukraine ipo tayari!!! Sidhani kama Russia alikuwa anafanya utani katika hilo. Sidhani.
Baada ya mwaka mmoja wa uvamizi bado Ukraine wanapambana.Kuhusu analysis ya uvamizi ilifanyika mapema, definitely! Hata intelligence za US na UK zilisema wazi kabisa kuhusu kuanza kwa uvamizi siku chache zilizopita.
Spirit ya Ukraine katika mapambano ni kubwa sana, so far. Nadhani dunia imeona, hivyo misaada ya kijeshi inayoongezeka si jambo la kushangaza. Silaha za kivita kama anti-tank missiles: British NLAW pamoja na Javelins kutoka Marekani zimesaidia kwa kiasi kikubwa sana kwa sasa dhidi ya vifaru vya Urusi pamoja na helicopters, kulingana na taarifa zilizopo.
Mizinga pamoja na stinger missiles kutoka Czech pamoja na Baltic states pia vimekuwa msaada mkubwa kwao, bila kusahau TB2 drones kutoka Uturuki. Kuna taarifa ya muda si mrefu kuwa nchi takribani 28 zimeridhia na zinapanga kupeleka misaada zaidi zikiwemo silaha.
Kuna taarifa pia kuwa Ukraine imeomba msaada kwa shirika la kimataifa la Msalaba Mwekundu kusaidia kuondoa maelfu ya miili ya wanajeshi wa Urusi kuirudisha nchini Urusi. Kama ni sahihi (kulingana na taarifa ya Naibu Waziri Mkuu), inaonesha resistance iliyofanyika ni kubwa sana.
Hata hivyo, bado ni mapema. Tusubiri tuone kile ambacho kitajiri hapo baadaye!
Wamebakiza hatua chache tu wauvuke huo mstari, ila Supa-pawa naona kaamua kuwapuuza.Huku mapigano ya majeshi ya Russia yakipamba moto nchini Ukraine, rais Putin kaionya Sweden na Finland wasije kujaribu kuvuka mstari wake mwekundu kwa kujiunga NATO. Ikumbukwe kuwa nchi hizo zote mbili za Nordic countries, zinashea mpaka na Russia kama ilivyo Ukraine.
Ile biti watu wengi waliogopa sana, ila UK, Poland wakasema aaah wapAtakayeingilia kwa kupeleka silaha au kupeleka majeshi ndio atashughulikiwa ?
Russia angeweza dhibiti Ukraine, hao wengine wasingejaribu kufanya lolote.Wamebakiza hatua chache tu wauvuke huo mstari, ila Supa-pawa naona kaamua kuwapuuza.
Kissinger alitahadharisha kitambo kuwa Urusi na China hawapaswi kuwa washirika