Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Gharama za uendeshaj wa hilo zoez zimekua kubwa mno kwa pande zote tatNa Urusi pia anataka apeleke operesheni madogomadogo mpaka wanaomfadhili huyo ushoga wachoke.
Sasa kuna anayechoka huku akipoteza kila siku na kuna anayechoka huku akiteka mateka ya ardhi yenye viwanda, madini na vyakula.
Unajua kwamba tangu Februari mwaka jana Urusi anazalisha nusu ya silaha zote duniani?Gharama za uendeshaj wa hilo zoez zimekua kubwa mno kwa pande zote tat
Sidhani Urusi ana uchumi wa kupigana vita hii kwa miaka 5Unajua kwamba tangu Februari mwaka jana Urusi anazalisha nusu ya silaha zote duniani?
Urusi sio Zimbabwe! Walijipanga wakawatangulia NATO mbele ya waketi
Putin anapigwa kila kona dadeq.Kila nchi Ina chuki na urusi [emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1045] Belgium has frozen Russian assets worth €58 billion. That is the highest amount of all European member states.
In addition, Russian financial transactions worth €191 billion also were blocked, Belgian Finance Ministry reported.[emoji298][emoji298]
FUSO ktk hili umechemka.........Sidhani Urusi ana uchumi wa kupigana vita hii kwa miaka 5
Ni kitu gani ambacho kitaichosha Russia bila kuwachosha West. Hii vita inawachosha wote. Kuanzia kwenye pesa, uharibifu wa silaha na rasilimali watuLengo la west si Ukraine ashinde isipokuwa wanataka op idumu kwa muda mrefu ili Dubu achoke.
Yaani ni balaaa Urusi anapigwa kachoka kachakaaaaa .....Kapoteza Mariupol, Kherson, LUHANSK, Zaporizhzhia, Donetsk , Soledar na sasa anakimbia ana retreat kuelekea Bakhmut .... Aseee Ukraine ni noma sana wanatoa kichapo kwelikweli...Putin anapigwa kila kona dadeq.
SahihNi kitu gani ambacho kitaichosha Russia bila kuwachosha West. Hii vita inawachosha wote. Kuanzia kwenye pesa, uharibifu wa silaha na rasilimali watu
We jamaa umeamua kua na majibu mazuri kweli yani majibu ya kibabeYaani ni balaaa Urusi anapigwa kachoka kachakaaaaa .....Kapoteza Mariupol, Kherson, LUHANSK, Zaporizhzhia, Donetsk , Soledar na sasa anakimbia ana retreat kuelekea Bakhmut .... Aseee Ukraine ni noma sana wanatoa kichapo kwelikweli...
Maneno yako ya kujifariji, vita si rahisi, vita ni ghaliChina kashajiweza sahizi hababaishwi na US.
Kutokana na Taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Ufaransa, hii ndyo ramani ya Ukraine siku ya leo ikionyesha maeneo ambayo tyari Urusi kashachukua toka UkraineYaani ni balaaa Urusi anapigwa kachoka kachakaaaaa .....Kapoteza Mariupol, Kherson, LUHANSK, Zaporizhzhia, Donetsk , Soledar na sasa anakimbia ana retreat kuelekea Bakhmut .... Aseee Ukraine ni noma sana wanatoa kichapo kwelikweli...
Sasa mtu anaona Hali halisi ilivyo anakwambia anachapika, haya sawa.... Anakuja mwenzake ProNato anasema wewe subiri tu ikifika May watafurushwa wakome... Hujakaa vizuri anakuja mwingine ... Wagner wameishiwa risasi .... Jambo la kufanya ni kujiliwaza nao na kuwatia moyo na morari wampige mrusi mpaka Lyviv ikiwezekana wampige Urusi mpaka Kiev kabisa.We jamaa umeamua kua na majibu mazuri kweli yani majibu ya kibabe
Kuna watu wanajizima Data ukimjibu hivyo tu Data inakua on Automatically
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni uongooooo huooo ni uongooooo eti HIMARS FUSO Proved et al .... SI Biden aliyakomboa alipozuru Ukrainye.... Hawa wafaransa ni waongo....Kutokana na Taarifa za Wizara ya Ulinzi ya Ufaransa, hii ndyo ramani ya Ukraine siku ya leo ikionyesha maeneo ambayo tyari Urusi kashachukua toka UkraineView attachment 2532342
Wenzako wamezungukwa Kila Kona halafu wewe sijui uko kinyererezi unabwabwaja maneno ya kujimwambafai...Asubuhi hii Zele mwenyewe ametangaza Hali ngumu Bakhmut...sijui Kama ulienda hata mgambo wewe Ndugu...wenzio huko Bakhmut wanaishi kwenye mahandaki Kama panya wewe uko kinyerezi ukiuza supu ya pweza...KAZI NI NGUMU BAKHMUT ILA TUTATOBOA - LAZIMA NDULI TUMTOE KWENYE ARDHI YETU.
China ni nchi tajiri weweManeno yako ya kujifariji, vita si rahisi, vita ni ghali
Yaani tuna chinja kenge za nato huku tuna tabasamuuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] PMC wagner.weka mbali na watotoView attachment 2532242