Tupo pamoja,safi,
angalau upo wewe unayekuja na fact kuliko huyo jamaa niliye m'quote'. Kaja na taarifa ya uwongo kutetea na wenzake wenye mahaba mbele wamemsapoti.
binafsi hufuatilia taarifa toka vyanzo vyote west na east. Most of russian media ni state-owned.
Media huru zililazimika kufunga shughuli baada ya ile sheria ya march.
je uliwahi kusikia maandamano ya ndani ya urusi kupitia rt au tass?
uchumi wa urusi ume decline, je umesikia cost of living crisis kupitia hizo media kama unavyosikia crisis ndani ya western?
kulikuwa na anti war protest ndani ya urusi,je ulipata habari hizo via rt or tass?
Je hii inamaanisha hali ndani ya urusi ni shwari kabisa?
hiyo ya kutoa resource kutoka sector nyingine ni nadharia kweli kwa sababu hatujui kabisa yanayoendelea ndani ya urusi kwa sababu hakuna uhuru wa media.
-sawa mfumo wa swift umezuiwa lakini kama bado unaweza kuendelea kufanya biashara kama anavyouza mbolea afrika kwa nini asiuze na mafuta?
Sawa tumekubali, basi tunaomba ututajie vyombo huru vya habari kutoka West.safi,

China ana vingi vya kupoteza ikiwemo Taiwan kutambuliwa kama Nchi[emoji1255]as of now, there are no signs that #China will agree to send any #weapons to the #RussianFederation.[emoji298]View attachment 2532998
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 Mwamba katuliza akili anakuja na Kristapen kwa ajili ya Gaidi namba moja ulimwenguni.Russia wamesema wanakuja na Sanctions ambazo zitaharibu uchumi wa US & Canada. Russia soon itatangaza sanctions, ameacha warukeruke yeye atatupa jiwe gizani. Uzuri wa Russia huwa hatabiriki kila kete anayogusa ni yamoto. Tuendelee kunywa soup nyama ziko chini.
Wale LGBTQ Uganda sio sehemu salama tena.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zele anasema Russia anapiga kipigo kibaya sana bhakmut kwamba wanajeshi wake kukaza ni swala ambalo ameliita la kishujaa sana. Hii ina maanisha hata angekuwa ni yeye angekimbiza kipele chake fasta sana nje ya uwanja wa mapambano.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nitumie hio video mzee nishushie na Guiness SmoothYaani Kuna Video moja Mpaka Niliwaonea Huruma
Yaani Jamaa wamezungukwa Kwenye Pango Lipo chini ya Jengo lililo Fumuliwa Sasa Kila Upande Vitu Vinalia Juu Ndege
Mjeda Anarekodi Huku Kamasi Zinamtoka Anasema Hali nimbaya
Adui Yupo kila Kona Anakuja kwa Kasi
Mashambulizi Mwanzo Mwisho Hajamaliza Kitu Kikatua Puuu .
Nadhani Simu waliokota Wagner
Na isingekuwa hivyo angekuwa anmeshatuma zamani,sema hii vita ya Ukraine na urusi imemfanya china kuwa makini sana katika nyendo zake!!China ana vingi vya kupoteza ikiwemo Taiwan kutambuliwa kama Nchi
Hamna shambulio lililofanyika.Naona kichapo kinatembezwa mpaka Moscow [emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2]View attachment 2533002
Hizi billion ni za mchongo kama za Mo Dewji tu pale Simba 🤣🤣🤣Hizo fedha kama moto wa mabua dk zero kwisha,wazilete Tena zingine hizo hazitoshi .URUSI shida silaha analamba na hata fedha pia, kesho Tena utasikia US katoa $8bilion
Wanaouawa pale ni machoko ya Nato yanayopambana kwa kivuli cha Ukraine.Urus na ukrain ni ndugu wale inashangaza kuona wanauana wenyewe kwa wenyewe