kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Hujajibu swali, hakuna nchi safi maana yake nini,? Ule ni ukoloniHakuna nchi safi ila Russia kuna kesi nyingi za hivyo kuliko Uingereza
Wewe na watu wengi mnaopenda kujadili mambo mkiwa na upande.Huu ni uongo mkuu
Usilete siasa kwenye uchumi. Haya twende kwenye vita pale Ukraine tubishane.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mahabba yakizidi yanafinya uwezo wa kufikiri... Ila hil hatutaki kukiri.
naleta habari kutoka reliable source ukajisomee mwenyewe huyu anadownload tupicha anatuwekea hapaVp kwani we huziokoti... Au hazjakufurahisha kuziona.
Na hata hyo GDP yenyewe sizan kama inafahamika kwa wengi... Au inaeleweka katika uhalisia wake au kimazoea.Mkuu vitu vingine muwe mnakaa kimya, mtajidhalilisha bure. Nigeria itaipiku Russia uchumi?
Alafu muwe mnafanya research kidogo, je ukiachana na US aliyeban oil ya urusi kuna nchi nyingine ime ban? Uingereza wenyewe wamesema mpaka mwishoni mwa 22, napo hatuna uhakika.
Sasa niambie Germany na wenzie watapata wapi mbadala wa nishati ya urusi? USA bado anaendeleza ukoloni pale Ulaya, lakin wameanza kushtuka ndio maana wanakaza.
Poland kagoma kupeleka ndege vita kawaambia wapeleke wenyewe US, hakuna nchi ulaya ime ban uingizaji wa mafuta na gesi, achalia mbali Asia na Africa
Tukusaidie tu, uchumi hatuupimi kwa GDP peke yake pia tunaangalia factors zingine kama HDI (human development index) ambayo inaangalia vitu kama life expectancy, education systems, healthcare systems nk. Ndio maana US wana uchumi mkubwa lakini nchi kama Norway watu wanaishi kama peponi.
Vita ya uchumi haina mshindi, leo hii mafuta yanauzwa kwa bei juu zaid pale US anayeumia ni putin?
Balance of power is inevitable in our world, hakuna taifa askari la kuwasimamia wengine.
Umetoa mfano mzuri sana kwa upuuzi unaofanywa na pande zote.Nakufatilia vyema... Kuna point unazitoa af kuna mahaba pia unayaingiza.
Ukitaka u'judge rationale kwanza uwe huru na hisia zako juu ya jambo lenyewe otherwise unaeza kua na point ya msingi af ukakosa mahala sahihi pa kuiweka.
Uhalisia ulivo nenda karudie kuhusu kuisoma taarifa ya "Nationalising Asset"... Kilichosemwa n tofauti na unachokielezea ila yote nahisi ni kwasabab ya hisia zako hasi kwa upande mmoja.
Sasa em nambie kwa usahihi mpk sasa walioongoza kwa "Seizure" mali tena ambazo sio za Putin bali watu tu walo na mahusiano na Putin n Western Europe kwa UK n US.
Mfano kilichotokea kwa Abrahmovic kinaleta picha gani kwa wageni waliowekeza UK ambao wana mahusiano na Politicians wa nchi walizopo.
Ko siku na wao wakitofautiana mali zao zitachukuliwa vile vile.
Haya hapo naona kuna screenshot umeiweka ikionesha namna wanavoanza kutoka Europe kwenda Dubai kuhifadh fedha zao na mali zao zisije ingizwa kwe sakata la Putin.
Je do you think this is healthy kwa Investors ambao wana mahusiano ya na wana siasa wa Nchi zao?....
Endeleq kupunguza hisia kwa kila upande hivo hivo naamin ntajifunza vitu kutoka kwako.
Naam Ila FaizaFoxy apo sijatolea mfano wa kumuita mjomba kimaana ya familia...Wote waapuuzi tu, fateni Qur'an, ina mfumo wote wa Maisha. Hakuna situation ambayo haina sharia yake.
Baba akiwa hai, mali yake haikuhusu wewe mtoto, si yako. Ana haki ya kumpa yeyote amtazamie awe mwanawe asiwe mwanawe.
Naam uko sahihi... Wala ata uko kwenye vita sibishani mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo nimefanya kukamilisha ulichokizungumzia...Usilete siasa kwenye uchumi. Haya twende kwenye vita pale Ukraine tubishane.
Wewe mwenyewe umechagua upandeWewe na watu wengi mnaopenda kujadili mambo mkiwa na upande.
Taarifa yoyote ambayo hujaishuhudia kwa Macho ni ukweli, hakuna Taarifa ambayo ni uwongo kama huwezi ukaonesha ukweli wake basi Kuna hatihati ya kupunguza IQ yako.
Russia wakionesha wameteka watu wewe kubali, Ukraine wakisema wameua watu wangapi wewe Kubali cause we can't independently verify the claims.
Vita sio tu mabomu na Idadi ya Askari, pia vita Ina vitu kama information Wars, hizi zinaweza kuwa hatari kuliko hata hizo risasi.
Imagine Askari wa Russia aliyejiandaa miezi 6 kuivamia Ukraine alafu akaambiwa tutashinda vita ndani ya siku 3 alafu aone Askari wenzake wanavokufa, atajisikiaje?
Imagine Askari wa Russia anaona vibibi vizee vya Ukraine vinashika bunduki atajisikiaje?
Imagine wewe uko Kharkiv na unasikia wenzako waliokuwa wanaenda Kiev wametawanyika na wanashambuliwa?
Vita ni zaidi ya mabomu na Risasi pokea Taarifa zote Bila kuchagua upande
Bora uendelee kuandika kwa unafiki, maana watu wanakufa pale Ukraine, wakubwa wanapambana kwenye ardhi ya wenzao, yaliyo Syria ndio yanatokea Ukraine. Mimi na wewe tupo nyuma ya keyboards tunabishana. Nasubiri Nigeria kuipita urusi kiuchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Naam uko sahihi... Wala ata uko kwenye vita sibishani mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo nimefanya kukamilisha ulichokizungumzia...
Kwe huu uzi wengi wana Mahabba y pande walizoshika... Ajab mahabba siku zote huwa yanafinya uwezo wa kufkiri...
So utaona mtu anazungumza jambo af unaliangaliaaaaaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kisha unasema "Daaaah haya bn"
Ndio Jomba...Umetoa mfano mzuri sana kwa upuuzi unaofanywa na pande zote.
Dunia inaenda kubaya sana, kosa la mtu mmoja wanaadhibiwa watu wengine kabisa.
Mambo yakienda hivi dunia itaingia kwenye vita mbaya sana.
Hungary President he has spoken the truth in details.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ase nimecheka sana....Bora uendelee kuandika kwa unafiki, maana watu wanakufa pale Ukraine, wakubwa wanapambana kwenye ardhi ya wenzao, yaliyo Syria ndio yanatokea Ukraine. Mimi na wewe tupo nyuma ya keyboards tunabishana. Nasubiri Nigeria kuipita urusi kiuchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Mimi ndio Nina upande ila linapokuja swala la Taarifa zote zinakuja nazipokea na kuzipa mudaWewe mwenyewe umechagua upande
MKUU MBONA KAMA UNAWASEMA MAAMUMA MKUU??? WAARABU WEUSI WA UMATUMBINI VIJUKUU VYA YULE JAMAA ALIEPEWA UTUME NA VATICAN😂😂😂Sitaki kukogambanisha itikadi zetu za imani kwa sababu mungu aliumba usiku na mchana na dini tofauti ili wote wamfahamu kupitia njia tofauti zinazofaa.
Asilimia kubwa na mwemuko mkubwa inaonyesha ushabiki mkubwa wa kufurahi au wengine kukaa kimya si tu bali uowaga au nini !
swala limekuwa ushabiki wa udini kushangilia kwa kuvamiwa urusi kisa kuna mataifa mengine yalisha vamiwa kwa sababu imani yao ikuangaliwa dunia nzima wala kukemewa ulimwenguni.
Ushabiki huu unataka kuona muhasimu wake naye afanyiwe .
kama mnabisha nyie chunguzeni tu
Wengi humu wanasema propaganda ila hawajui propaganda ni niniPropaganda zao ni zaidi ya bongo movie.