LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huu ni uongo mkuu
Wewe na watu wengi mnaopenda kujadili mambo mkiwa na upande.

Taarifa yoyote ambayo hujaishuhudia kwa Macho ni ukweli, hakuna Taarifa ambayo ni uwongo kama huwezi ukaonesha ukweli wake basi Kuna hatihati ya kupunguza IQ yako.

Russia wakionesha wameteka watu wewe kubali, Ukraine wakisema wameua watu wangapi wewe Kubali cause we can't independently verify the claims.

Vita sio tu mabomu na Idadi ya Askari, pia vita Ina vitu kama information Wars, hizi zinaweza kuwa hatari kuliko hata hizo risasi.

Imagine Askari wa Russia aliyejiandaa miezi 6 kuivamia Ukraine alafu akaambiwa tutashinda vita ndani ya siku 3 alafu aone Askari wenzake wanavokufa, atajisikiaje?

Imagine Askari wa Russia anaona vibibi vizee vya Ukraine vinashika bunduki atajisikiaje?

Imagine wewe uko Kharkiv na unasikia wenzako waliokuwa wanaenda Kiev wametawanyika na wanashambuliwa?

Vita ni zaidi ya mabomu na Risasi pokea Taarifa zote Bila kuchagua upande
 
Mkuu vitu vingine muwe mnakaa kimya, mtajidhalilisha bure. Nigeria itaipiku Russia uchumi?
Alafu muwe mnafanya research kidogo, je ukiachana na US aliyeban oil ya urusi kuna nchi nyingine ime ban? Uingereza wenyewe wamesema mpaka mwishoni mwa 22, napo hatuna uhakika.
Sasa niambie Germany na wenzie watapata wapi mbadala wa nishati ya urusi? USA bado anaendeleza ukoloni pale Ulaya, lakin wameanza kushtuka ndio maana wanakaza.

Poland kagoma kupeleka ndege vita kawaambia wapeleke wenyewe US, hakuna nchi ulaya ime ban uingizaji wa mafuta na gesi, achalia mbali Asia na Africa

Tukusaidie tu, uchumi hatuupimi kwa GDP peke yake pia tunaangalia factors zingine kama HDI (human development index) ambayo inaangalia vitu kama life expectancy, education systems, healthcare systems nk. Ndio maana US wana uchumi mkubwa lakini nchi kama Norway watu wanaishi kama peponi.
Vita ya uchumi haina mshindi, leo hii mafuta yanauzwa kwa bei juu zaid pale US anayeumia ni putin?

Balance of power is inevitable in our world, hakuna taifa askari la kuwasimamia wengine.
Na hata hyo GDP yenyewe sizan kama inafahamika kwa wengi... Au inaeleweka katika uhalisia wake au kimazoea.

Sasa na hyo HDI uloongeza ndo kaaabisa baadhi tutapoteana...

Nilichokiona binafs asilimia kubwa tuko low hasa kwenye wingi wa details za mambo tofauti tofauti katika uchumi siasa na mengineyo kiasi kwamba tunakuwa wepesi sana kuwa manipulated kwa kila jambo linalokuja mbele etu..

Msemo wa zaman ile mtu anasema uko "shallow"... Kias kwamba kwasabab hamna taarifa rejeshi kichwani au zilizopp sio sahihi bas kwa kila taarifa ni kupoteana tu.

Hisia ndo zinabaki zinatawala uwezo wa kufikiri.
 
Nakufatilia vyema... Kuna point unazitoa af kuna mahaba pia unayaingiza.

Ukitaka u'judge rationale kwanza uwe huru na hisia zako juu ya jambo lenyewe otherwise unaeza kua na point ya msingi af ukakosa mahala sahihi pa kuiweka.

Uhalisia ulivo nenda karudie kuhusu kuisoma taarifa ya "Nationalising Asset"... Kilichosemwa n tofauti na unachokielezea ila yote nahisi ni kwasabab ya hisia zako hasi kwa upande mmoja.

Sasa em nambie kwa usahihi mpk sasa walioongoza kwa "Seizure" mali tena ambazo sio za Putin bali watu tu walo na mahusiano na Putin n Western Europe kwa UK n US.

Mfano kilichotokea kwa Abrahmovic kinaleta picha gani kwa wageni waliowekeza UK ambao wana mahusiano na Politicians wa nchi walizopo.

Ko siku na wao wakitofautiana mali zao zitachukuliwa vile vile.

Haya hapo naona kuna screenshot umeiweka ikionesha namna wanavoanza kutoka Europe kwenda Dubai kuhifadh fedha zao na mali zao zisije ingizwa kwe sakata la Putin.

Je do you think this is healthy kwa Investors ambao wana mahusiano ya na wana siasa wa Nchi zao?....

Endeleq kupunguza hisia kwa kila upande hivo hivo naamin ntajifunza vitu kutoka kwako.
Umetoa mfano mzuri sana kwa upuuzi unaofanywa na pande zote.

Dunia inaenda kubaya sana, kosa la mtu mmoja wanaadhibiwa watu wengine kabisa.
Mambo yakienda hivi dunia itaingia kwenye vita mbaya sana.

Hungary President he has spoken the truth in details.
 
Wote waapuuzi tu, fateni Qur'an, ina mfumo wote wa Maisha. Hakuna situation ambayo haina sharia yake.

Baba akiwa hai, mali yake haikuhusu wewe mtoto, si yako. Ana haki ya kumpa yeyote amtazamie awe mwanawe asiwe mwanawe.
Naam Ila FaizaFoxy apo sijatolea mfano wa kumuita mjomba kimaana ya familia...

Nimetumia mjomba na Baba kama Viongozi.... Familia ndo kama Nchi husika... Na watoto ndo kama Wananchi au Raia wa Kawaida...

Ko rejelea tena utupe mawazo yako....
 
Usilete siasa kwenye uchumi. Haya twende kwenye vita pale Ukraine tubishane.
Naam uko sahihi... Wala ata uko kwenye vita sibishani mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo nimefanya kukamilisha ulichokizungumzia...

Kwe huu uzi wengi wana Mahabba y pande walizoshika... Ajab mahabba siku zote huwa yanafinya uwezo wa kufkiri...

So utaona mtu anazungumza jambo af unaliangaliaaaaaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kisha unasema "Daaaah haya bn"
 
Sitaki kukogambanisha itikadi zetu za imani kwa sababu mungu aliumba usiku na mchana na dini tofauti ili wote wamfahamu kupitia njia tofauti zinazofaa.

Asilimia kubwa na mwemuko mkubwa inaonyesha ushabiki mkubwa wa kufurahi au wengine kukaa kimya si tu bali uowaga au nini !

swala limekuwa ushabiki wa udini kushangilia kwa kuvamiwa urusi kisa kuna mataifa mengine yalisha vamiwa kwa sababu imani yao ikuangaliwa dunia nzima wala kukemewa ulimwenguni.

Ushabiki huu unataka kuona muhasimu wake naye afanyiwe .

kama mnabisha nyie chunguzeni tu
 
Wewe na watu wengi mnaopenda kujadili mambo mkiwa na upande.

Taarifa yoyote ambayo hujaishuhudia kwa Macho ni ukweli, hakuna Taarifa ambayo ni uwongo kama huwezi ukaonesha ukweli wake basi Kuna hatihati ya kupunguza IQ yako.

Russia wakionesha wameteka watu wewe kubali, Ukraine wakisema wameua watu wangapi wewe Kubali cause we can't independently verify the claims.

Vita sio tu mabomu na Idadi ya Askari, pia vita Ina vitu kama information Wars, hizi zinaweza kuwa hatari kuliko hata hizo risasi.

Imagine Askari wa Russia aliyejiandaa miezi 6 kuivamia Ukraine alafu akaambiwa tutashinda vita ndani ya siku 3 alafu aone Askari wenzake wanavokufa, atajisikiaje?

Imagine Askari wa Russia anaona vibibi vizee vya Ukraine vinashika bunduki atajisikiaje?

Imagine wewe uko Kharkiv na unasikia wenzako waliokuwa wanaenda Kiev wametawanyika na wanashambuliwa?

Vita ni zaidi ya mabomu na Risasi pokea Taarifa zote Bila kuchagua upande
Wewe mwenyewe umechagua upande
 
Naam uko sahihi... Wala ata uko kwenye vita sibishani mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo nimefanya kukamilisha ulichokizungumzia...

Kwe huu uzi wengi wana Mahabba y pande walizoshika... Ajab mahabba siku zote huwa yanafinya uwezo wa kufkiri...

So utaona mtu anazungumza jambo af unaliangaliaaaaaa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kisha unasema "Daaaah haya bn"
Bora uendelee kuandika kwa unafiki, maana watu wanakufa pale Ukraine, wakubwa wanapambana kwenye ardhi ya wenzao, yaliyo Syria ndio yanatokea Ukraine. Mimi na wewe tupo nyuma ya keyboards tunabishana. Nasubiri Nigeria kuipita urusi kiuchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Umetoa mfano mzuri sana kwa upuuzi unaofanywa na pande zote.

Dunia inaenda kubaya sana, kosa la mtu mmoja wanaadhibiwa watu wengine kabisa.
Mambo yakienda hivi dunia itaingia kwenye vita mbaya sana.

Hungary President he has spoken the truth in details.
Ndio Jomba...

That's why kila mda nasema katika watu siwaelewi kabisa yani KAAABISA... ni wana siasa.

Mwanasiasa asye mstaraab anaeza akaua au kudhuru mamilion wasio na hatia katika kumchafua mwenzake kisiasa.

Ajab huyo Hungarian President atapuuzwa kwasabab hajaizungumzia Hasi Urusi na Kuitetea Ukraine...

Na kwa kirefu zaidi taarif yake haitapewa kipaumbele kwenye Vyombo vya habari...
 
Bora uendelee kuandika kwa unafiki, maana watu wanakufa pale Ukraine, wakubwa wanapambana kwenye ardhi ya wenzao, yaliyo Syria ndio yanatokea Ukraine. Mimi na wewe tupo nyuma ya keyboards tunabishana. Nasubiri Nigeria kuipita urusi kiuchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ase nimecheka sana....

Na me nasubir TZ kupaa kimataifa kwenye gas asilia... Dunia yote itakuwa inategemea kwetu kwa asilimia milion nane na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sitaki kukogambanisha itikadi zetu za imani kwa sababu mungu aliumba usiku na mchana na dini tofauti ili wote wamfahamu kupitia njia tofauti zinazofaa.

Asilimia kubwa na mwemuko mkubwa inaonyesha ushabiki mkubwa wa kufurahi au wengine kukaa kimya si tu bali uowaga au nini !

swala limekuwa ushabiki wa udini kushangilia kwa kuvamiwa urusi kisa kuna mataifa mengine yalisha vamiwa kwa sababu imani yao ikuangaliwa dunia nzima wala kukemewa ulimwenguni.

Ushabiki huu unataka kuona muhasimu wake naye afanyiwe .

kama mnabisha nyie chunguzeni tu
MKUU MBONA KAMA UNAWASEMA MAAMUMA MKUU??? WAARABU WEUSI WA UMATUMBINI VIJUKUU VYA YULE JAMAA ALIEPEWA UTUME NA VATICAN😂😂😂
 
McDonald's plans to suspend the work of restaurants across Russia from March 14 - RIA Novosti.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The Prime Minister of Slovenia said that among the leaders of the EU countries there are disagreements about Ukraine's membership.

At the same time, the President of Lithuania stated that it is currently impossible to grant the status of an EU candidate to Ukraine.
Liwagu
Galip SV
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
In the British Basildon, a man was arrested who, in protest against the Russian special operation, tried to remove vodka from the supermarket shelves.

According to The Independent, the visitor quarreled with the staff of the Sainsbury's chain. According to the man, he went to the store for a cake, but noticed vodka on the shelves.

The citizen took all the bottles to the employees of the network, but they said that they needed to return the products to their place. As a result, a quarrel ensued. Galip SV Liwagu
IMG_20220311_133715_811.jpg
IMG_20220311_133715_497.jpg
 
Back
Top Bottom