Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2535381EU Bankruptcy Declarations Surged in Q4 of 2022, Data Reveals

It is the highest level since data collection started in 2015.

Subscribe to RT
Angalau RT inasubscribe kwa Eurostat na kuiamini. Wanafanya vizuri!
(na kuongezeka kwa kufilisika si ajabu - tukizingatia mlipuko wa bei za nishati! HAta hivyo, sasa ni mwezi wa MAchi na kwa jumla nchi za EU zimepita vizuri miezi ya baridi. Vitisho (au: matumaini) vya Urusi vya kugandisha Ulaya kwenye baridi havikufika.

Sasa tulete data za Urusi! Karibu sana!! (mfano: data za tasnia ya magari, ndege . . na pia biashara ndogondogo!)
 
Mkuu, ulisoma wapi? tafadhali tupe chanzo chako!
Menginevyo unaonekana wewe unapenda hadithi za Abunuwasi (zikitolewa na Halmashauri ya Ushairi ya Urusi...)
Look ' am not an average Joe. Mwenye kutaka kuelewa anajulikana, vile vle na ambaye ni mbishi by default - uliza yake speaks volume.

Kutaka kukusaidia kama una nai njema ya kutaka kujua - Mbona kuna search engines chungu mzima mtandaoni unashindwa nini ku search kama intel angecies za Uncle SAM wana wa recruit magaidi waliyekuwepo huko Syria na kwengineko kwenda huko Ukraine kupewa mafunzo na wakufunzi wa kigaidi, baada ya mafunzo wapeyezwe kwenye njia za panya kwenda kufanya ugaidi ndani ya aridhi/miji ya Urusi au hata kutumia magari na pikipiki katika harakati zao.
 
wewe ndiye uliyeongea kinadharia ukiwa hujui kuwa NATO ni democratic organization ambayo haina hata veto power kama ilivyo UNA Ingekuwa USA inapanga nani awe mwanchama wa NATO na ni nani asiwe mwanachama, basi Uturuki leo hii ingekuwa nje ya NATO kwa sababu nyingi tu za kupishana na USA.
 
Umeandika maelezo mengi, lakini kitu kimoja tu naweza kukueleza, suala la Urusi kujitoa kwenye mkataba wa silaha za nyukria,hiyo inamaanisha uwoga alionao, maana ni ukweli ulio wazi kwamba urusi bila silaha za nyukria ni mwepesi kama pamba, ndio maana mnaambiwa siku zote kwamba urusi anaitaji silaha za nyukria Ili kumpinga marekani, lakini marekani Hana haja ya silaha za nyukria akitaka kumpiga urusi, of course aliyekuzidi akili kakuzidi tu, urusi hata akijitutumua na masiraha yake ya nyukria sidhani kwamba hiyo itamsaidia kumtiisha marekani Ili apige magoti kwake, marekani akili kubwa
 
Wazungu wameanza kusema ukweli

🇺🇸 US will be humiliated after Russian victory in Donbas: Global Times

📝 “The US and the West found it much harder to defeat Russia than they expected. Russia alone can already confront the entire West in Ukraine. If they force China and Russia to unite, what changes will occur in the world military situation, ” the Global Times columnist is interested.

Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

#source
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
The Ukrainian TG channel "Resident" writes

The problem of the defense of Bahmut is that the OSU artillery practically does not take part in the battle, and the soldiers are forced to hold the front from 3 sides.
You don't need to be a military expert to notice the difficulties with the logistics of the Armed Forces of Ukraine and the problems with the morale component, when several companies die a day, while the defense of Bakhmut makes no strategic sense.
It was much easier to align the front along Chasov Yar and repulse attacks from one side instead of three at once, while artillery would help our army, but politicians have their own view of the situation...
 
Kama mpaka sasa nchi za Ulaya zinanunua gesi nchini Urusi hiyo hoja ya kuganda unaitoa wap?
 
Ni Bora Mara Mia kuliko wepesi wa US bila NATO na anapewa kipigo akiambatana na hao NATO wenzake Sasa ajichanganye peke yake[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Na hao Ni JKT?
 
Mpaka sasa wanajeshi 150,000 wa Urusi, vita na ukraine , waelekezwa jongomeo 🤔
...................
Glory to Ukraine! Glory to the Heroes!
Hawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohicho🤣
 
Hawa warusi wasipotafuta amani au kumuondoa Putin mapema,vifo vya wanajeshi wao vinaweza fikia milioni na ushee.....Amakweli warusi hawana tofauti na wanachama wa CCM,anachosema mwenyekiti ndio hichohicho[emoji1787]
Kwa mantiki yako Ni kwamba wanajeshi wa Ukraine hawafi kwenye hii Vita Ila mwisho itajulikana tu Nani amekufa na nai ajafa.
 
"Orban apendekeza kuunda NATO ya Ulaya bila Marekani. Waziri Mkuu wa Hungary abainisha Nchi za EU zinapaswa kuunda muungano wao wa ulinzi, bila Marekani, kwa kuwa mara nyingi hufuata maslahi ya kibinafsi katika kutatua masuala ya usalama wa kimataifa. Maoni haya yametolewa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…