Basi lazima una tako mng'ao tako la cream[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mm niwe mmoja wa madikteta?
Am a capitalist
Mkuu hebu tueleweshane kidogo.Umeandika maelezo mengi, lakini kitu kimoja tu naweza kukueleza, suala la Urusi kujitoa kwenye mkataba wa silaha za nyukria,hiyo inamaanisha uwoga alionao, maana ni ukweli ulio wazi kwamba urusi bila silaha za nyukria ni mwepesi kama pamba, ndio maana mnaambiwa siku zote kwamba urusi anaitaji silaha za nyukria Ili kumpinga marekani, lakini marekani Hana haja ya silaha za nyukria akitaka kumpiga urusi, of course aliyekuzidi akili kakuzidi tu, urusi hata akijitutumua na masiraha yake ya nyukria sidhani kwamba hiyo itamsaidia kumtiisha marekani Ili apige magoti kwake, marekani akili kubwa
Lako au langu?Basi lazima una tako mng'ao tako la cream[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijajijibu,nimepost kilichojiri na kuchangiaUna coment na
Hawajaanza kukimbia Leo shekhe, tangu mwezi June mwaka uliopita [emoji23]Wameanza kukimbia huko bakhamut
Mwamba Vladimir...Kokote Uliko Uishi sana..Eeh Mungu Libariki tumbo alilolala Vladimir Putin...Putin anasema mambo ya LGBTQ ni huko huko west. Family ni muunganiko wa male & female na sio vinginevyo.
Changanyia na ndizi ule ππππUmeandika utumbo mrefu kinoma[emoji1787][emoji1787]
Ni lako yaheee [emoji1787][emoji1787] weye lojo si unakula kwa pesa yakoLako au langu?
Usilazimishe mazoeaNi lako yaheee [emoji1787][emoji1787] weye lojo si unakula kwa oesa yako