Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
SMO ya Urusi inaniachaga hoi hapo tu,[emoji298][emoji298]President Zelensky and the First Lady together with the President of the Republic of Latvia Egils Levits honored the memory of fallen Ukrainian soldiers in Lviv.
[emoji328]: Office of the President of Ukraine
Hizbollah ipo chini ya Iran???Wagner Group ni taasisi yenye kufanana kama Hezbullah (Hezbullah ipo chini ya Iran).
They have Political Agenda, Millitaly, Social and Financial Agendas to fulfil on behalf of Russia.
Vita si nzuri hata chembe,Yani Wagner ni wastaarabu sana hivi mfano kile kibabu kinaweza hata kurusha kofi kumpiga kajukuu kake alaf ndio amekua mobilized
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hyo asome kipanyaSMO ya Urusi inaniachaga hoi hapo tu,
Jamaa wanapewa nafas ya kufanya matukio bila ya kuwa na mashaka kuwa labda watashambuliwa,
Wagner ilianza 1913 au taipin era???Mkuu Wagner si taasisi. Ni kampuni ya mamluki.
Ziko nyingi za aina hii. MAra nyingi zinashirikiana na serikali mbalimbali zikitumiwa nazo, wakati mwingine wanafanya tu biashara yao.
Katika miaka iliyopita (ukiacha maharamia wa zamani) kampuni ya kwanza ilikuwa WatchGuard International wa Uingereza tangu 1965. Mwanzoni makampuni hayo yalianzishwa Marekani, Israeli, Afrika Kusini na Uingereza.
Wagner alianza 1913, wametuma vikosi Syria, Libya, Ukraine (Donbass) na nchi mbalimbali za Afrika.
Wagner tuliona ugomvi baina yake na jeshi rasmi la Urusi. Si taasisi ya serikali.
Yule jamaa sijui ana moyo wa aina gani yani inafikia wakati mpaka mpinzani anakuonea huruma lakini bado anakaza fuvuVita si nzuri hata chembe,
Na ndio maana mara zote tunamsihi Zele aachane na USA akae mezan na Dubu wayamalize kwa sabab asilimia kubwa wanaoteseka ni watu wa kipato cha chin.
Awaumize mara ngap???Yule jamaa sijui ana moyo wa aina gani yani inafikia wakati mpaka mpinzani anakuonea huruma lakini bado anakaza fuvu
Atawaumiza wa Ukrainian na taifa kwa ujumla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848] Hadi hurumaAwaumize mara ngap???
Mamilion ya waukrain ni wakimbiz wanaish makambin misos ya kupanga folen na kila uchwao anamsikia Zele akitoa kaul za kishujaa kwenye vyombo vya habar huku miji inazid kuondoka unadhan hilo haliwaumiz
Mkuu
IRGC ni pure regular army of Iran.
Ila sasa, IRGC wana special unit inaitwa Quads Forces.
Quads Forces kazi yao ni kulinda influence ya Iran nje ya nchi ya Iran.
Ndio sasa hawa Quads Forces wanamiliki Vikundi kama Hezbollah - Lebanon, Houthi - Yemen, Popular Mobilisation - Iraq etc.
Sasa hivi vikundi, vinakuwa na Military, Financial, Political and Social Agendas.
Naomba nikupe mfano wa Wager Group kwenye Political
Wager Group kwa sasa wamefanikiwa ku reduce influence ya France kwa nchi za Africa. They are pushing away France from Africa in favour of Russia and China.
Unapeleka underage and elder persons kwenye battlefield unatarajia nini...?Waliokufa wengi ni wanajeshi wa Ukraine mpaka German intel ikawa shocked
Three digit number of soldiers daily
Hiyo ni 100+ dailyView attachment 2536052
Kijana BAKHMUT ipi hii mlio peleka wazee na vitoto auHuko bakhumut warusi wanazidi kuchinjwa tu [emoji848]
[emoji298][emoji298]Ukrainian Military Claims Russian Forces Suffering Massively Disproportionate Causalities in Bakhmut
According to Ukraine's officials, while the situation in the Bakhmut area remains difficult, the Kyiv's defenders are eliminating hundreds of Russians in this sector every day.
Read more on our website.[emoji298][emoji298]
Yeah, Hezbollah is part of Iran Quads Forces.Hizbollah ipo chini ya Iran???
Au unamaanisha kuwa sponsa wao mkubwa ni Iran???
Unatuletea picha za maliupol unataka tuamini hapo ni bakhumut [emoji23][emoji28]Kijana BAKHMUT ipi hii mlio peleka wazee auView attachment 2536106
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app