Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Go and do your homework kuhusu politics za middle east. Especially proxy wars between Iran and Israel.

I am telling you with certain that Hezbollah is part of Iran Quads Forces.

Pia, nakuelewisha ishu nyingine.

Kuna blander kubwa sana US alifanya pale Iraq. Baada ya kumtoa Sadam, kilichotokea ni kwamba ile nchi ikaja kukamatwa na Shias. Sadam alikuwa anawa suppress wa Shia. US walishindwa kupata puppet leader, kwa sababu wa Shia wananguvu.

Tunaposea wa Shia, tuna maanisha ni Iran... ndio maana yule Gen. Qasim Suleman alikuwa ameweka makazi kabisa huko Iraq.

Lebanon
Yemen
Iraq

Hizi nchi zipo chini ya Influence ya Iran.
 
Na ndio maana hata mwanzoni mwa hii SMO kulikuwa na speculation kwamba Hezbollah wangekuja kupigana, ila haikuwa hivyo.

Ila kwenye vita vya Syria vya magaidi wa US wa ISIS, Hezbollah wamepigana sana.

Wagner walikuwepo ground
Hezbollah walikuwepo ground
Russians Air Force ilikuwa angani.
 
Ukrainian armed forces suffer from a deficit of artillery, ammunition, warplanes and tanks, Ukrainian President Vladimir Zelensky said Friday. Speaking during a joint press conference with his Latvian counterpart Egils Levits in Lvov, Zelensky claimed that, due to the shortage of weapons and ammunition, the West must speed up arms shipments to Ukraine.
"Zelensky claims lack of weapons, ammunition in Ukrainian forces - World - TASS" Zelensky claims lack of weapons, ammunition in Ukrainian forces
 
He claimed that Ukraine needs artillery not to strike Russian territory, but to take back regions, which Kiev still continues to consider its own. In addition, Zelensky stated a deficit of warplanes.

"We need planes. Not talks or promises, just to train our guys and hand over planes," he noted.
 
Wagner ni kampuni ya kijeshi ambayo inalinda maslahi Russia popote pale duniani!
Wagner ilianzishwa na Dmitry Utkin, aliyekuwa luteni kanali wa vikosi maalum vya GRU (majasusi wa kijeshi wa Urusi). Baada ya kutoka kwenye utumishi wa Jeshi mwaka 2013 alijiunga na biashara ya umamluki. Kwanza kwenye Slavonic Corps (kampuni ya mamluki iliyoandikishwa Hongkong),
Chini ya Slavonic Corps Utkin alienda Syria ambako walipigwa vibaya;
Baadaye alijitegemea kwa jina la Wagner. Alichagua jina la Wagner kwa sababu Richard Wagner alikuwa mtunzi muziki aliyependwa sana na Hitler. Utkin akiwa mfuasi wa upagani mpya wa Kirusi anasemekana ana heshima kubwa sana kwa Hitler na Unazi.
Kundi lake lilianza kugharamiwa na mfanyabiashara Prigozhin aliyekuwa wakati ule mpishi na mjasiriamali mwenye hoteli na mawasiliano mazuri na Kremlin na Putin.
Hapo chini taarifa ya 2017 ambako Utin alipata ajira na mshahara mzuri katika kampuni ya Progozhin; tangu siku zile ilionekana Prigozhin ni menye Wagner, alichokana hadi juzi alipokubali mara ya kwanza.
Maana kisheria kampuni ya mamluki ni halali kisheria huko Urusi, na mwaka 2013 mabaki ya Slavonic Corps bado walikamatwa waliporudi Urusi.
Ila inaonekana badaye walionekana kuwa na faida fuani, Maana kwa kutumia mamluki serikali inaweza kuingilia kijeshi katika nchi nyingine ila wanadai hawafanyi kitu.
Marekani na mamluki wa Blackwater walifanya hivihivi.


Media: Wagner Group commander becomes CEO of Putin’s friend’s catering business​

Thursday, November 16, 2017 10:00:42 AM
According to SPARK-Interfax, a person by the name of Dmitry Valeryevich Utkin became the CEO of LLC Concord Management and Consulting on November 14, replacing Anastasia Sautina. The new manager’s name and patronymic coincide exactly with those of the presumed commander of the Wagner Group private military company.

RBC news agency sent an official information request to Yevgeny Prigozhin’s representatives. An RBC source close to Prigozhin confirmed that the new CEO is in fact the Wagner Group commander.


According to information on the company’s official website, LLC Concord Management and Consulting belongs to the Concord company group, which is co-owned by St. Petersburg businessman Yevgeny Prigozhin. The company manages Prigozhin’s restaurant holdings, which include several restaurants in Moscow (the River Palace boat restaurant) and St. Petersburg (Russian Ampir, Russkiy Kitch, Polenta), as well as the network of Chocolate Museum boutiques. Additionally, Concord Management and Consulting is constructing the “North Versailles” village on the outskirts of St. Petersburg. “By design, this will be a palace-park ensemble in the spirit of the residences of the monarchs of previous centuries,” the company’s website states.


Prigozhin’s company Concord M supplies the food for the Russian Presidential Affairs Department. The businessman also supplies 90% of the lunches at Moscow schools, and organizations related to him have won tenders to clean the barracks and educational institutions of the Ministry of Defense.


The St. Petersburg-based news outlet Fontanka has repeatedly named Utkin as the commander of the Wagner Group. Sources told RBC that the private military company first appeared in the Middle East shortly after Russia officially opened its military bases in Syria. Roughly 2500 people have served in the group. The Wagner Group’s involvement in the Syria campaign was first reported by Fontanka in October 2015. Fontanka and The Wall Street Journal claimed that the group’s fighters had also taken part in fighting in South-Eastern Ukraine on the side of the self-declared Donetsk and Luhansk People’s Republics.


According to Fontanka, “Wagner” is Utkin’s call sign. The Group’s commander is a reserve officer and previously served in the Pskovsk Brigade of the GRU. In December 2016, Utkin was invited to a reception to celebrate Heroes of the Fatherland Day in the Georgievsk Hall of the Great Kremlin Palace. Kremlin Spokesperson Dmitry Peskov confirmed that Utkin was present at the reception. “He was really there. He was a cavalier of the Order of Courage, and was from the Novgorod province,” Peskov said.
 
Tanks zote zimekaangwa lazima waingie Chaka.
The reporter, who asked the question, disclosed that she talked to Ukrainian servicemen in Artyomovsk (Bakhmut). According to the reporter, the servicemen told her about shortage of weapons, ammunition, warplanes and helicopters.
"Zelensky claims lack of weapons, ammunition in Ukrainian forces - World - TASS" Zelensky claims lack of weapons, ammunition in Ukrainian forces
 
Zelensky anachekesha sana.
Sasa hapo anaomba au ana lazimisha (demand)

Yeye akae kwa kutulia, ameshalikoroga, na ndio alinywe sasa.
 
Huyu zuzu Kazi anayo Kutwa Kulialia tu
 
Putin alisema mwanzoni kwamba moja ya malengo ya hii SMO ni demilitarisation of Ukraine.

Sasa tunaona ili lengo limefikiwa. Hawana silaha na wamebakia kuwa ombaomba.
 
[emoji298]️The Prime Minister Denys Shmyhal informed that Ukraine will strengthen the protection of energy facilities by the next heating season. Some of them will be moved underground, he said during a press conference today.[emoji298][emoji298]
 
Zelensky anachekesha sana.
Sasa hapo anaomba au ana lazimisha (demand)

Yeye akae kwa kutulia, ameshalikoroga, na ndio alinywe sasa.
Huyu mtu Anaomba kwa Lazima Kitu ambacho hajui nikuwa Hao hawana Rafiki zaidi ya Maslah yao
Waki mchoka Analo
Anapaswa Ajue wao wenyewe Hawalali Usingizi Hauji
maana Awamu hii wamekutana na Kigingi Mwamba Waukweli
 
The Ministry for the Reintegration of the Temporarily Occupied Territories has drafted a resolution on the forced evacuation of children from war zones, the Ministry's press service reported.

[emoji328]: Ukrzaliznytsia
 
Huko underground ndio mabomu hayafiki?
Au hafahamu kuna mabomu ya kufumua mahandaki...?
 
Tutafika mpaka huku kwa Russia Ni sawa na kujificha pangoni bila chakula njaa inakutoa nduki.
 
Kichapo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji123]




[emoji298][emoji298]Soldiers of the National Guard destroyed several units of Russian military equipment, including Tor M1 air defense system, Grad MLRS, two Gvozdika howitzers, and an engineering system of remote minelaying.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298]President of #Ukraine Volodymyr #Zelensky and President of the Republic of #Latvia Egils #Levits discussed the priority needs of Ukrainian defense, the creation of an international tribunal, and European integration issues.[emoji298][emoji298]
 
Locals bring toilets and washing machines to the destroyed Russian tank that was installed in Vilnius, Lithuania [emoji23][emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…