Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaana Japan ni zaidi ya mwanamke malaya.

Ona sasa ameanza ku import mafuta ya Russia kwa wingi...

View attachment 2536109
Af kuna kenge wanasema eti watu wanaweza kuishi bila kutumia mafuta au gas ya mrusi. Hivi ni akili ukanunue soda ya Coca Mwanza eti kisa kumkomoa meneja wa kiwanda cha Mikocheni 🤣🤣🤣???

Matokeo yake mtu anayenunua soda kwa 500 Mikocheni anakuuzia wewe kwa 800 wakati ungeweza kununua direct kwa meneja ungeipata kwa ile ile 500. Hizo ndio akili za Mmarekani.
 
Zelensky anapata kiburi Cha kuomba Kwa nguvu silaha na misaada kutoka west Kwa sababu wakati wa negotiations na Russia, Ukraine walikaribia kusaini suluhu.

West wakamkataza Zelensky asisaini Kwa ahadi ya kumpa misaada ya aina yote Ili kubaki kwenye vita.

Wakimzingua ana-capitulate!
 
SIvyo nilisema ni mamluki wa Kirusi? (ila wanamajiri yeyote, jinsi ilivyo kawaida kwa makampuni ya mamluki)
Mamluki maana yake Nini?Hivi mfano Tanzania,ni nchi ya mamluki kisa watu kutoka mataifa mbalimbali wanafanya kazi nchini Tanzania?Kampuni zilizoajiri watu kutoka mataifa mbalimbali zinaitwa kampuni za mamluki?
Hebu tuambie tafsiri hasa ya mamluki!
 
Mzee vita vinamatokea matatu..umepigwa mpaks umesalimu amri, umepiga mpaka opponent kasalimu amri au mmeshindwana..hakuna anayeshinda..mnakaa mezani mnazungumza..na ndio matokeo yanasubiriwa hapa...hayo mengine nafikiri hayana maana sana

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Russia wanakupiga kimya kimya.
Wewe mwenyewe ndio utatoa mlio wa maumivu ya kipigo.

Sasa tunaona Zelensky anatoa mlio wa kuishiwa silaha.

Wakati kila siku uwaga anasema kwamba Russia anapiga civilian infrastructures. Sasa mtu anapiga civilian infrastructures inakuwaje tena unaishiwa na silaha...?

Himars, howitzer, stinger etc hatuzisikii tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…