Wanao record waanze na muasisi wa hizo war crimes ambaye ni USA[emoji298][emoji298]Over 70,000 Russian war crimes have already been recorded in Ukraine. However, we do not know about all crimes at the moment.[emoji298][emoji1255]
Habari kutoka kyie independent. Hii ndio ile wanasema sensa utajifanyia mwenyeweWaliokufa wengi ni wanajeshi wa Ukraine mpaka German intel ikawa shocked
Three digit number of soldiers daily
Hiyo ni 100+ dailyView attachment 2536052
Nitajie koloni hata moja la Urusi mkuu?Bado. Kwenye kura iliyopita huko UN mwakilishi wa TZ aliamua kujificha, hakuonekana.
Naona viongozi wengi Afrika wanakumbuka usaidizi wa Umoja wa Kisovyeti wakati wa kupambana ukoloni, ilhali Uingereza, Ufaransa ziliendesha ukoloni na Marekani ilijaribu kuathiri mwelekeo wa baadaye.
Isipokuwa
- hawajui au hawakumbuki kwamba Ukraine ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti sawa na Urusi
- hawajui au hawakumbuki kwamba Urusi ilikuwa mkoloni mkubwa, aliyeshindana na Uingereza tu duniani, na ameendelea na ukoloni wakati Uingereza umeshaacha
- hawajui au hawataki kutafakari kwamba si upendo wa Afrika uliyosababisha usaidizi wa USSR dhidi ya ukoloni wa Ulaya Magharibi, lakini nia ya kuleta matatizo kwa mataifa mengine iliyoshindana nayo na kujenga athira yake . . . (kwa mafanikio kiasi, tunavyoona)
Haya yanatembea kwenye lami tu sio mashambani ni mazito mnoLeopard Tanks Arrive in Ukraine - Get stuck in the mud!
03 MARCH 2023
The much vaunted Leopard Tanks from NATO countries are arriving in Ukraine. They're getting stuck in the mud.See image below.
Some great training those Ukrainians got . . .
Sensa utajifanyia mwenyeweI see hii ni hatari.
[emoji1258][emoji1255] CNN, citing its sources in the Ukrainian General Staff, reports that on February 28, 2023, the losses of the Armed Forces of Ukraine amounted to:
[emoji3502] 259,085 people killed, died from wounds, diseases;
[emoji3502]wounded, crippled 246,904;
[emoji3502]deserted, as well as missing - 83,952;
[emoji3502] captured - 28 393.
Hii vita anatafutwa marekani NABII alitabili marekani itageuzwa majivu na Russia kwa atomic bombWaliokufa wengi ni wanajeshi wa Ukraine mpaka German intel ikawa shocked
Three digit number of soldiers daily
Hiyo ni 100+ dailyView attachment 2536052
Una double standards za hovyo sanaje unajua maana na tofauti za Ufalme wa Uingereza, Ufalme wa Maungano, Taji la Britania (British Crown), Commonwealth?
Wala Kanada wala Australia ziko sehemu za Uingereza wala hazitaliwi na Uingereza. Charles kuwa Mkuu wa Dola haina uhusiano na utawala. Charles hatawali kitu chochote na hana mamlaka yoyote (hata Uingereza hana mamlaka). Nchi zinazoendelea kumtumia kama mkuu wa Dola zinafanya vile kwa hiari yao, zinaweza kuacha kila saa. Juzi tu Barbados ilimpumzisha mfalme na kuwa Jamhuri.
Ila Putin anatawala Chechnya (kwa sasa anamwachia kibarua wake, lakini alimweka huko baada ya kuvamia nchi vitani, Checnya ilijaribu kutetea uhuru wake ikashindikana, vifo vielfu), Tatarstan, Siberia yote, Udmurtia, Tuva, na... na... na... Zote koloni zilizovamiwa na Urusi katika karne zilizopita, ambako walipeleka walowezi na ambako mamlaka iko Moscow. Hata wanapenda kuchukua hasa huko wanajeshi maana maeneo yale ni maskini zaidi na mazishi yanatokea mbali na Moscow...
Emotions cannot save the Nazis, West, NATO and UkraineLocals bring toilets and washing machines to the destroyed Russian tank that was installed in Vilnius, Lithuania [emoji23][emoji3059]View attachment 2536176
Huyu Scott Ritter ndiye aliikagua Iraq kama Ina nuclear,na aliiambia UN security council kwamba Haina,ila Marekani akalazimisha kuivamia lraq bila kosaMike Adams interviews former UN weapons inspector Scott Ritter with regards to Ukraine, Russia, NATO and Nord Stream
Thursday, March 02, 2023
Former UN weapons inspector Scott Ritter, also a former United States Marine Corps officer, joins Mike Adams in a far reaching interview that covers Ukraine, Russia, NATO and Nord Stream.
Ritter is heavily censored on mainstream platforms and is widely condemned by officials in the US government, including those in the State Dept. That’s because his analysis doesn’t coincide with the official propaganda being catapulted into the info war by the mainstream media.
Ritter’s take on the current situation is that Ukraine’s leadership (Zelensky) is hopelessly corrupt and deeply infested with Nazis and murderers who issue hit lists of journalists to execute. Ritter himself has now achieved the No. 1 top position on one such list that’s run by the Zelensky government. (Yes, the Zelensky regime quite literally runs a kill list that targets journalists.)
During the interview, I ask Ritter if he is “anti-war,” and he disagrees, stating that he wants peace for everyone, but is also trained on how to defeat enemies and is willing to go to battle to halt those who are aggressors against innocent people or nations. Ritter explains that NATO is the aggressor in this conflict, and that NATO has broken every promise, violated every treaty and incessantly lied its way into transforming Ukraine into a proxy state for NATO, from which the West plans to completely destroy Russia and its people.
Hear the full details in the interview, below. Scott Ritter’s website is www.ScottRitterExtra.com
I also ask Ritter about Russia’s nuclear weapons capabilities, hypersonic missiles, hyperglide vehicles and anti-air systems. He reiterates that Russia is far ahead of the West in weapons technology — both offensive and defensive — and that if Russia were to decide to launch nuclear weapons against western cities, there’s nothing in the US military defensive arsenal that could stop those missiles from reaching their intended targets.
Even worse, he explains that Russia has the Sarmat-II missile systems already deployed, and these missiles — which carry up to 15 nuclear re-entry vehicles each — can be launched on a trajectory over the South Pole, bringing them into the United States from a direction for which US national defense forces are not prepared. He explains that the US focuses its missile tracking and interdiction systems on the North Pole region, since that’s obviously the shortest distance between Russia and the continental United States. But Russia’s missiles have the range to go the other way and travel over the south pole of the planet.
Watch the full interview with Scott Ritter here, via Brighteon.com:
The interview with Ritter also begins at around minute 42 in today’s Situation Update podcast. Here’s a short overview of what’s in the podcast:
– Full interview with Scott Ritter about Ukraine, Russia, Nord Stream and NATO
– Details on Russia’s nuclear missile systems and hyperglide re-entry vehicles
– Blackrock to acquire Ancestry.com, giving them ownership over all your DNA
– Six signs your neighbor will become a LOOTER when SHTF
– Uponor (ProPex / expansion fitting) plumbing repair demonstration
– Ohio group issues list of DEMANDS from Norfolk Southern train wreck catastrophe
– EPA declares it REFUSES to test for #dioxin contamination
– The EPA is waging a chemical WAR against the American people while protecting corporate profits
– Every federal agency – EPA, USDA, FDA, ATF, etc. – is actively working to destroy the people
– Prepare to survive an off-grid / grid down scenario
Brighteon: Brighteon.com/6875c812-2f95-42c6-b71c-ca139d230475
Rumble: Rumble.com/v2bh9b4-situation-update-3223-world-war-grows-closer-by-the-day….html
Bitchute: Bitchute.com/video/uGkqlGxMxBJA/
Banned.Video: Banned.video/watch?id=6400cce285d91c3d2eae269f
UraaaaaaaaaPale PUTIN anaposema Uuraa [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ujue msosi umeiva [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DaaahWARUSI wanafanya mashambulizi mazito sana kwenye mji wa Lyman.sizani kama hata panya atabaki kwa mashambulizi haya.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Huo utakata siku moja tuMzigo unazidi kuwekwa [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255]
[emoji298]️The US has allocated a new package of military aid to Ukraine in the amount of $400 million.
It included additional ammunition for HIMARS, howitzers and Bradleys, as well as armoured bridge layers and demolition munitions, the US State Department said.[emoji298][emoji298]
Hakuna kitu Hapo kipigo kinawasubiri.[emoji298][emoji298]View attachment 2536713