Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Ni kwel wanao watumish wa kibongoNdugu yangu,naomba nikuhakikishie kua, USA Ina Hadi CIA wabongo,waswahili kama wewe wapo hapa bongo.
Mwachen apumzike kudil na Dubu kunachosha mno
Kipanya ana msongo wa mawazo...Kipanya data yake inasoma watu lakini 150k na anasema kila siku watu 500 wanakufa.
KijeshiKiukwel Russia yupo vzur sana kijeshi na silaha
Na Biden naye ana msongo wa mawazo anahitaji kupumzika na kipanya inatakiwa aombe likizo kwenye huu Uzi asije akazimia.Kipanya ana msongo wa mawazo...
Uko Sawa kabisa.Ni kwel wanao watumish wa kibongo
Lkn wakitaka kujua ya humu ndan hawahitaj kumuuliza yoyote yule km vp rejelea maelezo ya Snowden
Halafu akasemaje?[emoji298][emoji298]President of Ukraine Volodymyr Zelensky and President of the European Parliament Roberta Metsola talked to the student community of higher education institutions of Lviv region.[emoji298][emoji298]
Huyu jamaa kama mwandishi wa gazeti la 𝐑𝐈𝐒𝐀𝐒𝐈 habari hazina vichwa wala mabega[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Halafu akasemaje?
Hii Putin alishasema juzi hapa, akiwaamvia westerns kwamba:Hawa jamaa wakichelewa maridhiano, mrusi ataongeza maeneo mapya kabisa.
UK spy chief nae aliingia kwenye mkumbo huo huo, inaonekana taarifa za Russia hawakua nazo za uhakika walikua wanabet tu.Hapo ndio Unajiuliza NATO Generals ndio akili zao za kufanya assessments zipo za namna hiyo...
Russian artillery has bombarded the last routes out of Ukraine's Bakhmut, aiming to complete the encirclement of the city and bring Moscow closer to its first major victory in half a year.Warusi wa buza, naona BBC wanaendelea na propaganda zao,sio??[emoji23][emoji23][emoji28][emoji16][emoji1787]View attachment 2537261
Mpingane wenyewe sisi tupo buza huku tunaangalia tuWarusi wa buza, naona BBC wanaendelea na propaganda zao,sio??[emoji23][emoji23][emoji28][emoji16][emoji1787]View attachment 2537261