Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji298]in Donetsk region, units of the State Border Guard Service of Ukraine prevented yet another attempt by Russian troops to storm their positions near Bakhmut[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298]Russia’s guided aerial bombs can fly tens of kilometers. Hence, Ukraine needs fighter jets, namely the F-16 aircraft, to counter Russian threats.[emoji298][emoji298]
 
Tunawachakaza mpaka akili ziwakae sawa,[emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]


[emoji298][emoji298]Ukraine’s missile and artillery units have destroyed a Russian artillery gun and multiple launch rocket system (MLRS) on the Kinburn Spit[emoji298][emoji298]
 
Pole Sana 'ki-rat'...
 
Mkuu naomba tutumie akili ya wastani. Safari hii uwezekano mkubwa West watampiga Mrusi (kama Ukraine inaweza kuendelea, tutaona jinsi itakavyoendelea baada ya anguko la Bakhmut). Hawatapiga China, China ni muhimu mno kiuchumi (tofauti na Urusi).
Hakika West haitatawala dunia yote. Mambo yanabadilika polepole. Nchi za kusini zinasogea mbele. Tazama Asia! Ni Afrika tu inayojikwamisha kwa sasa, kwa kuvumuilia viongozi hao. Muhimu kutokubali unyama mtupu, jinsi walivyofanya Marekani huko Iraki (mara ya pili) na Urusi sasa Ukraine (na Georgia miaka iliyopita).
Maana tukianza kukubali mwenye nguvu kumlazimisha jirani mdogo - sijui mambo yatafikia wapi?
 
😀 Watakuwa na hela ya kuwalipa Wagner kweli?
 
Mkuu kati ya nchi kama Urusi na Marekani sioni uwezekano wa vita ya kawaida; mara mmoja anapgwa vibaya anaweza kukimbilia silaha za nyuklia. Tishio hili ni sababu ya kutoona vita kati yao tangu 1945. - Kuhusu uwezo wa conventional: linganisha namba za budget ya kijeshi kila upande, na uwezo wa silaha zilizoonekana katika Ukraine hadi sasa. Tofauti ya uwezo ni sambamba na uwezo wa kiuchumi na kiteknolojia. Hadi leo tunaona watu wanaokaa foleni kwenye mipaka ya Marekani wakitaka kuingia, pamoja na vijana wasomi. Hatuoni foleni ya watu wanaojitahidi kuingia Urusi.
Nakubali kwamba athira ya Marekani itaendelea kupungua polepole. Ila si kwa sababu ya kupigwa katika vita hii. Hatuwezi kujua kama Ukraine ina uwezo kuendelea kwa muda mrefu. Ila kupungua kwa Marekani ni maendeleo ya nchi za kusini, China tayari, Uhindi inakuja sasa (wasipoanza kupigana kati yao). Amerika Kusini wako njiani pia. Afrika itafuata mara itaachana na viongozi wafisadi.
 
😀
Watakuwa na hela ya kuwalipa Wagner kweli?

Mpunga upo anakabidhi mlima mmoja unalipia kila kitu.

Ila hii ni operation ya muda mrefu sio chini ya miaka mitano kuanza kuona matokeo nikimaanisha anachukua damu changa (16-19yrs old) kama elfu mbili unawapa mafunzo na jinsi ya kuwa wazalendo njia yao n moja tuu kusafisha nchi,alafu hao wazee wa ndombolo unawabrash kimtindo maana washakua wakavu hawakunjiki unawachanganya mziki wake n balaa na ngai.
 
Safii [emoji122]
 
Noted!
 
Ni Mimi niliyetilia shaka panya hao wa kimagharibi but leo jf members wengi zaidi wanazidi kuwa na wasiwasi juu ya panya hao licha ya mwanzo wengi kubeza Jambo hili

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
hii dhana ya kulinganisha badget...haina mantiki kabisa...,kwa uwezo wangu mdogo wa kuona..nadhani ukubwa wa budget ya US unatokana na mambo mengi...moja wapo ni kuhudumia Military Bases zaidi ya 700(kama sijakosea) zilizotapaa duniani kote..., hii point moja tu inabeba dhana nzima ya ukubwa wa hiyo budget,,, kingine ni ktk kutafuta ushawishi wa kijeshi duniani..Marekani anatumia fedha nyingi sana kutoa misaada ya kijeshi kwa Washirika ili aendelee kushikilia uongozi...,Marekani pia anatumia hela nyingi sana ktk kufadhili vikundi vya kigaidi....machafuko yote tunayoyaona Duniani kwa asilimia kubwa yana mkono wa Marekani..., to some up the story ni kuwa hiyo bajeti kubwa tunayoiona ya Marekani haiendi yote jeshini (kwa maana ya Military Personel Trainnings, New Tech Research, Production ya Equips, Intelligency, and so forth..)....huge part of it inaenda kwenye hizo angle nilizotaja hapo juu..
Narudia tena .
Convetionaly US hawezi jaribu kusimama na Russia...unapoongelea silaha...hv ni vita ipi Marekani amepigana unayoweza kuifananisha na hii ya Russia vs. Ukrein...?..may be Vietnam war..ambayo Vietnamese walisaidiwa na Soviet....na Marekani alibondwa mbaya yaani..hata hivyo Vietnam War is not comparable na hii SMO...kataa kubali West yote wapo hapo Ukrein ... wanatoa Silaha za kila aina..kubwa na ndogo..tunazotajiwa na nyingi ambazo hatutajiwi zote zinaenda hapo Ukrein kupambana na Russia...Mashirika yote makubwa ya Intelijensia duniani...tunayo yafahamu na mengine ya siri...yapo hapo Ukrein...lakini pamoja na yote Russia anawakimbiza.... na la kushangaza sana hapa 80% of the Russian Army ( kwa maana ya vifaa, silaha na Wanajeshi) hawashiriki hii vita... sasa hebu niambie ... Marekani ana nn cha ziada anachoweza kufanya kumpiga Mrusi..., nafahamu Marekani atakuwa na silaha ambazo mm na ww hatuzijui wala kuwahi kuzisikia...lakini sio Marekani tu hata Urusi anazo silaha nyingi ambazo hajazitumia kwenye hii SMO...

namalizia kwa kukusisitizia...hakuna kitu kinamuumiza US kama hii SMO... anadhalilika mnoooo!... Mataifa kibao yameshamuona ni wa kawaida na yy ana mbabe wake...angekuwa na a slightly chance ya kusimama na kumdefeat Russia ...asingepoteza muda...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mabaki ya walioshindwa kutoroka mjini humo baada ya kutoroka lazima wasumbue. Kama walikuwemo humo zaidi ya 25000 elfu itakuwa hayo mabaki yao?
Muda na utasema encirclement tayari. Wote watakwisha.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…