kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hawa wanapita wapi Ili kufika bakhumut [emoji23][emoji28].., ndoto za alinacha hizi[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]Cauldron in Bakhumt tayari. Jamaa washawekwa kwenye chungu sasa ni kupikwa tuu. Wataruka ruka mpaka waive lakini hawawezi kutoka tena
Ndio nini haiko?
Kumbe haiko City center. Nyumba kubwa bado. Pole kwao wote waliomo. Tutaona itaendeleaje.
Kivita Ukraine iko katika hali ngumu sana, ukiachana na propaganda zao za kutoa taarifa feki, ila hii SMO imeshawalemea sana kwa sasa.Hahahah huenda labda mbinu hii ikawasaidia maana kivita wamemshindwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna namnaKivita Ukraine iko katika hali ngumu sana, ukiachana na propaganda zao za kutoa taarifa feki, ila hii SMO imeshawalemea sana kwa sasa.
Nilikua napitia article ya pro Ukraine, The kyiv independent ya jana tarehe 5 march 2023, reporter alikua anahojiana na Ukrainian infantrymen. Jamaa waliongea mengi jinsi gani wanaletewa watu ambao wako poor trained, ndii hawa wanaofanyiwa mobilization na wanapewa mafunzo kwa wiki 2 then wanapelekwa vitani.
Jamaa anasema wanaomba support ya ammo wanaambiwa zinakuua baada ya nusu saa au saa 1 ila wanakaa mpaka masaa 7 bila support.
Jamaa anakwambia ammo zinapokuja basi zinakuja za zamani enzi ya WW 2, ambazo kumlenga adui inakua ni "muujiza"
Wajamaa wamefunguka mengi ukiangalia yote wanayoongea ndio yaliyoko front, demilitarization Putin aliyoongea kweli ishatimia jamaa wameishiwa silaha wanategemea za misaada nazo haziji kwa wakati.
View attachment 2539787View attachment 2539788View attachment 2539790Ukrainian soldiers in Bakhmut: ‘Our troops are not being protected’
KOSTIANTYNIVKA, Donetsk Oblast – Russia’s relentless assault on Bakhmut is sacrificing waves and waves of unprepared men being sent to their deaths. But multiple defenders of this embattled city in Donetsk Oblast feel that they are in a similar boat, according to interviews with more than a...kyivindependent.com
Hawa jamaa ni tatizo Kwa dunia wanatakiwa kuchapika na kuhakikisha wanaporomoka kwenye kila kitu ndiyo dunia itatuliaWao viongozi wa bara la Asia tena? Kwa maana China, Taiwan, Korea zote ni makoloni yao?
Hawa jamaa wanajiona nani kwani katika hii dunia? Wao ndo wapangie kila mtu namna ya maisha miaka yote tu... Hili lazma likomeshwe rasmi na wa kuchukua hatua ni China, North Korea na Urusi. Hawa ndio wana uwezo wa kubadili upepo wakidhamiria.
Unajua maana ya city center au unaropoka tu.tuonyeshe mpaka wa city center ulipo
Kumbe haiko City center. Nyumba kubwa bado. Pole kwao wote waliomo. Tutaona itaendeleaje.
Wewe sio mswahili.Uliandika hii kwa Kingereza halafu ukatumia App kutafsiri.Anyway karibu JF Umshana.Mkuu unaishi sayari tofauti? Hujajibu kimakini nilipouliza unapenda Urusi kupiga Marekani kijeshi au kiuchumi.
Uwezo wa Urusi kushindana na Marekani kijeshi haupo. Kwa silaha za nyuklia ndiyo, ila hii siiti kijeshi kwa sababu baadaye hakuna Urusi wala Marekani. Kwa hiyo hakuna anayeitaka pande zote.
Kushindana kiuchumi? Wapi???
Jeshi la Urusi lilihofiwa hadi Februari 2022. Baadaye uwezo wake ulikuwa hadharani.
Urusi ilikuwa na nafasi kupunguza athira ya Marekani kwa kushirikiana na nchi za Ulaya. Ilifanya hatua kadhaa mwanzoni, lakini sasa imeharibu yote.
Naona bado kwamba uchumi wake utaendelea kuporomoka na kurudi nyuma. Labda itapata nafasi kuwa sheli ya China na mdogo wake kwa miaka ijayo.
Tuone.