Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sorry sana - tupo pamoja - Cheers.
 
Kudadeki; watu wanakula kipigo tu
 
Mkuu kama huwezi kujadili hoja unapendelea vioja?
"Hichi" na "hli" ni Kiswahili chako bora??
Asa hivyo ndio wazawa tunaandika, hatutumii kiswahili fasaha kamwe.
Hiki_
Hichi_
Hii_haya maneno yanakaa hapo uliposhangaa mimi kutumia Hichi.
Ni rahisi kukubaini "unatumia lahaja za kale"

Naona saiv unaingizia na neno "mkuu" ili uendane na wazawa?
Vipi unafanya kazi balozi ipi? British, US au Germany?
Aliyekupa kazi hajakosea unaweza kujichanganya.
Ila mumuongezee Kipanya posho aseee anapambana sana.
 
Wakati wenzako wanasoma, we ulikuwa wapara miwa
Kwamba nilikua napara miwa, hio evacuation from combat zone , nikupara miwa?. Je hujaona picha za watoto under 16 years, wakiwa wako combat zone?, Na wameshika silaha?. Au huko nikupara miwa?. Wewe ndio ulikua hupari miwa lakini unashindwa kusoma kilicho nyuma ya hio sentence.
 
Hii picha tuliipost juzi ukasema wako mariupol mnazidi propaganda mpaka mnajiongopea wenyewe



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
It is obvious that, at least in The West, the U.S. side has already overwhelmingly won the propaganda-war part of the war against Russia in the battlefields of Ukraine; however, what about the ultimate military and diplomatic sides of that war — what will be the war’s outcome, in fact (even if not in myth)?

Among the great geostrateic analysts I’ve seen on the war in Ukraine, all of whom have been way ahead of the mainstream-media commentators in predictions that have subsequently been demonstrated by events to have been true on this war, have been especially Alexander Mercouris, Gonzalo Lira, Brian Berletic, Scott Ritter, and Douglas Macgregor. Three of these five — Mercouris, Lira, and Berletic — appeared together on March 7th in a 130-minute discussion of the war; and, as always before, they explained and referenced undisputed facts about what has been happening there, and argued on that factual basis that America’s chances for winning that war (the real war) against Russia, are now clearly close to zero, if not already there: already inevitable defeat of the United States, in its war against Russia, in the battlefields of Ukraine.

 
Hapa umetafsiri vizuri mzungu ila kipigo kiko palepale
 
Karibu na Bakhmut, kiongozi mashuhuri wa Wanazi, shujaa wa Ukraine, auwawa. Wakili Masi Nayem na naibu wa zamani Borislav Bereza watoa taarifa juu ya kufutwa kwa mmoja wa viongozi wa "Sekta ya Kulia" Dmitry Kotsyubailo, mwenye jina la utani la "Da Vinci".
 
[emoji187]Those responsible for suppressing protests in Georgia could be subject to US sanctions, State Department spokesman Ned Price said, CBS News reported.
 
[emoji1109]In an official address, Georgian President Salome Zurabishvili supported the protesters in Tbilisi, saying she would veto the controversial "foreign agents" law.
 
[emoji1109] Large-scale protests are taking place in Georgia right now against the "foreign agents" law, which was adopted today by MPs in its first reading.

Thousands of people gathered in front of the Parliament building in Tbilisi to oppose the Russian-style law.

[emoji329]: Formula NEWS
 
New York Times says new intelligence seen by US officials suggests opponents of Vladimir Putin behind pipeline attacks.
 
Georgia na Russia vinahusiana nn?
 
Russian forces take control of eastern part of Artyomovsk — Prigozhin

MOSCOW, March 8. /TASS/. Russian forces have taken full control over the eastern part of Artyomovsk (known as Bakhmut in Ukraine), founder of the Wagner PMC Evgeny Prigozhin said on Wednesday.

"Wagner PMC units have occupied the entire eastern part of Bakhmut. Everything east of the Bakhmutka River is completely under the control of the Wagner PMC," Prigozhin was quoted as saying by his press service on his Telegram channel.
 
New York Times says new intelligence seen by US officials suggests opponents of Vladimir Putin behind pipeline attacks.
Hivi ina ingia akilini kwamba Urusi inaweza kweli kujihujumu yenyewe - taarifa nyingine ni vizuri kuwa makini nazo - kuna video clip ya Biden akionya adhalani kwamba kama patatokea vita baina ya Ukraine na Urusi basi USA itahakikisha nord1&2 hazifanyi kazi -mkuu, hapo unafikiri Biden alikuwa anamaanisha nini?? Na si Biden tu hata Trump alijaribu sana kuhakikisha mradi huu unakwama kwa kuwekea vikwazo Mataifa yaliyo kuwa yanakodi meli za kutandaza mabomba ya gesi, lakini Urusi ikatumia meli zake wakishirikiana na makampuni ya Ujerumani na Italy kukamilisha mradi - nikiwambieni jamaa hawa roho mbaya sana na wivu wa kike mnaniona mbaya, je wanafikiri Urusi ikitaka kuhujumu bomba la mafuta linalo toka Alaska kwenda Merikani watashindwa au Russia divers na submarine drones watashindwa kuhujumu/kata/lipua marine communication cables zinazo unganisha Merikani na Ulaya wakakosa mawasiliano kwa muda mrefu - bahati nzuri Putin ana busara sana, hana akili za kiwenda wazimu na wala hakurupuki kama viongozi wenzake wa mataifa ya magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…