Wee chalii unarusha stimu kinoma unaleta mambo ya taarabu humu....Mkuu kama huwezi kujadili hoja unapendelea vioja?
"Hichi" na "hli" ni Kiswahili chako bora??
Mi mwenyewe ni mkristo tena mlokole ila nailaani sana marekani na west kwa ujumla kwa uovu walioufanya na wanaondelea kuufanya duniani koteNi kweli Mimi naichukia mno USA na hasa kuhusu vitendo vyake viovu vya kuua watu wasio na hatia na uvamizi wa nchi m alimbali duniani...lakini Mimi siyo mwislamu na wala sijawahi hata siku moja kuwachukia waislamu..
Nadhani putin anakata na kuondoa nyama yenye kansa kwenye huu ilimwengu. Yes wahusika lazima msikie maumivu ila ni kwa ajili ya usalama wenu na watoto wenuAnachokifanya puti kuuwa Viumbe Ambavyo Mungu Amevipenda ni Wema??[emoji101][emoji101]
Weka ushahidi Allah katoa Adhabu gani kwa mashoga![emoji56][emoji101]
Very nobleVIDEO
View attachment 2531909
Mwanzo Nilijiuliza Kwanini Wagner wanatumia Ghalama Kuhifadh Miili ya Wanajeshi wa Ukrein Kisha Kupeleka Kwa Wahusika Wa Ukrein
Kumbe lengo kuu ni Kuhakikisha Serikali ya Ukrein Inawapa Familia ya Wanajeshi hao Haki zao yaani Wasizingishie kuwa Wame Miss nakutotoa Stahiki zao kwa Familia
"Here are the bodies of the AFU soldiers,who were destroyed during assault,being prepared to be given to the Ukraine side"
P.S. "Wagner" is sending the bodies to Ukraine so Ukraine can't deny that someone is missing and not paying the family of the "missing soldier" compensation...
Kufa vitani ni sehemu ya kazi.Hata wanapata makaburi ya Wagner (kama inawezakana kuwatambua baadaye)
ww umejiajiri kuwa mc wa Mungu sio?!Nadhani putin anakata na kuondoa nyama yenye kansa kwenye huu ilimwengu. Yes wahusika lazima msikie maumivu ila ni kwa ajili ya usalama wenu na watoto wenu
Kinaandikwaje??Kiswahili hakiandikwi hivyo.
Hichi ni kiswahili cha Dochivelle(DW)
HIi account ni kwa ajili ya uzii huu pekee? Maana hujawahi post pengine.
Yeye alijiona ameandika usahihi kumbe hajui kama keyboard inachangia kutype makosa.Mkuu kama huwezi kujadili hoja unapendelea vioja?
"Hichi" na "hli" ni Kiswahili chako bora??
Lakini yeye wala si makosa ya keyboard bali nikutokujua anachokiandika.Mkuu kama huwezi kujadili hoja unapendelea vioja?
"Hichi" na "hli" ni Kiswahili chako bora??
The founder of Wagner Evgeny Prigozhin announced the liberation of the entire eastern part of Bakhmut. Everything to the east of the Bakhmutka River is under their control.Warusi wa nyamanolo bado tu hamjachukua bakhmut? Ni wiki ya pili sasa tangu muanze kusema mmezingira mji wote.