jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
The Armed Forces of Ukraine have lost up to 130 servicemen and nine pieces of equipment in the Krasnolymansk direction over the past 24 hours. Subdivisions of the Russian Southern Group of Forces destroyed over 180 servicemen of the Armed Forces of Ukraine over the day during active operations in the Donetsk direction. Meanwhile, the Vostok grouping of the Russian Armed Forces in the Yuzhno-Donetsk and Zaporozhye directions destroyed over 65 Ukrainian military personnel, as well as a Msta-B howitzer over the past day.Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusi [emoji23][emoji2][emoji28]View attachment 2541910
Una habari kuwa mji wa kursik huko urusi umechakazwa vibaya Leo?? Zile s-300,. S_400. S-500. S-600 zilikuwa wapi [emoji16][emoji23]Air defence zinakuwa Kama chujio yaani mzigo unapita tu
Hyo habari unayo wewe peke yako?Una habari kuwa mji wa kursik huko urusi umechakazwa vibaya Leo?? Zile s-300,. S_400. S-500. S-600 zilikuwa wapi [emoji16][emoji23]
Pole sana, kunywa maji mengi, maumivu yatapungua!Hyo habari unayo wewe peke yako?
Haha unaambiwa ratio ya 1:7 askari wa wagner na urusi kwa ujumla wanakufa mara saba zaidi ya ukraine. Sasa hesabu mwenzetu ulisomea chini ya mwembe?Lengo la Wagner PMC ni ku grind jeshi la Ukraine.
Yaani kuwasaga saga, na hii ndio maana halisi ya demilitalization.
Kwa hiyo, ndio maana unaona wanawapiga taratibu.
Wanawakusana (encirclements) na kuwa grind (kuwasaga saga).
Yaani kila mara lazima wawa encircle.
Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.Huko ndipo kilipo kichinjio kwa askari wa urusi [emoji23][emoji2][emoji28]View attachment 2541910
Weka hizo video au picha za hivo vikundi na jinsi wanavyokula kichapo, otherwise endelea na wishful thinkingNimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.
Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
ThubutuuuMakao makuu ya Wagner ni Saint Petersburg,Russia!
Hao FBI si waende huko makao makuu wakamkamate!
Ha ha ha haa.Upo sahih
Wahusika wakuu wote wanajulikana walipo na namba zao za simu wanazo
Sasa kwa nin wanatutafutia zahma sis kwa kututamanisha na hilo donge nono ilhali wanajua fika kuwa wao wananyenzo zenye weled kuliko sisi
NATO Sasa hivi wamekua kama Kikundi Cha akina mama.
ww ungekuwa Muislam Muumini ungekunja ngumi na kupiga Takbirr Kubwa!Mwenye laana amwambia asie na laana kuwa ana laana, acha kujihusisha na uislam hali wew sio mwislam
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]NATO Sasa hivi wamekua kama Kikundi Cha akina mama.
Wingi wa vikao na matamko.
Watamfanya Nini china hawa?
China ya Leo sio ya Jana.
Umewaza vzr wanategwa kama panya .... Na kuamini kwamba Russia hawana maelewano na Wagner wanaingia kichwakichwaKuna kitu nmekugundua .hata CIA wameshindwa kujua......kuhusu huyu mwamba prigozhin [emoji23][emoji23] huyu jamaa ni jasusi
Anajifanya analalamika "oooh we're running out of ammunitions" vi Ukraine vinakimbia kushambulia ( kula kimasihara) ......kumbe ni mtego [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli vita ni akili + nguvu[emoji1][emoji1]
Duh!! Kwa tafsiri ya warusi wa buza hiyo ndio wanaita demilitarization [emoji23][emoji2][emoji28]Nimemueleza huyu dogo Nkuba25 anaesagwa ni Wagner na sio UA kama anavodai.
Hao wagner walikuja na tactic ya kuja vikundi vikundi wengi wanapigwa mpaka unachoka yani ni kama yale ma vietnam kwenye movie.
Ni kweli wanategwa na kuingia kichwa kichwa [emoji2][emoji28][emoji23]Umewaza vzr wanategwa kama panya .... Na kuamini kwamba Russia hawana maelewano na Wagner wanaingia kichwakichwa
Bonge moja la pointSasa yeye kakosea Nini?Yeye amepewa contract na kampuni yake ni ya kijeshi!
Kwanini wasitoke donge Hilo nono Kwa mtu ambaye atafanikisha kupatikana Kwa Putin?Maana yeye ndiye aliyesign waraka kuruhusu Wagner na majeshi ya Russia kuingia Ukraine!
Halafu makao makuu ya Wagner yanajulikana,pia Putin alipo panajulikana!
Zawadi nono hutolewa Kwa watu ambao wanatafutwa na hawajulikani walipo!