kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kila siku vikao na makubaliano..[emoji298]EU defense ministers have agreed to a proposal to provide Ukraine with immediate military aid, including 155mm and 152mm artillery shells, with EUR 1 billion to be allocated from the European Peace Facility for the reimbursement of the delivery.[emoji298][emoji298]
Wanazidi kumneemesha Zelensky.[emoji298]EU defense ministers have agreed to a proposal to provide Ukraine with immediate military aid, including 155mm and 152mm artillery shells, with EUR 1 billion to be allocated from the European Peace Facility for the reimbursement of the delivery.[emoji298][emoji298]
Mkuu umeleta tena takwimu hizi zinazodaiwa kuwa na asili katika huduma ya ujasusi wa Israel. Tumeshaona mara kadhaa.Unaongeleaje hizo losses
We jamaa unafahamu tunachoongelea lakin?Unaongeleaje hizo losses
Tena...... Karibu mkuu upande wa haki...Hivi kweli Russia imeshindwa waondoa Ukraine hapo kwenye hicho kimtaa kidogo kuliko Sinza?
Sio kila siku vikaoKila siku vikao na makubaliano..
Funny enough,Kuna NATO soldiers!Unaongeleaje hizo losses
Huyo Prigo anatumia mbinu hiyo kuwaita wanamgambo wa Ukraine machinjioni.Tulio save ile habari za hao jamaa kwamba Russia wameishiwa silaha Leo wanariport Kama ifutavyo.View attachment 2541647
Prigozin sio Joseph KoniMakao makuu ya Wagner ni Saint Petersburg,Russia!
Hao FBI si waende huko makao makuu wakamkamate!
Huyo jamaa wa kwanza kushoto Ni jitu sio mtu.Katikati ya bakhumut [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2541875