Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 616
- 984
Mkuu naomba kwa hisani yako unitoe tongotongo katika haya:-Pia kuna ishu ya hizi hypersonic missiles ambazo Russia anazitumia.
Kwanza zimeonyesha kwamba ni kweli ni hypersonic missiles kwa maana air defense systems zimeshindwa kuzitungua.
Pili, zimeonyesha kwamba ni precision guided missiles. Zinapiga palepale zilipotumwa.
Tatu, inaleta changamoto kubwa pale hizi hypersonic zinapokuwa na uwezo pia wa kubeba nuclear warheads. Ili ndio tatizo kubwa. Maana yake ni kwamba Russia wana uwezo wa kukupiga na nuclear na ukashindwa kuzuia hilo kombola.
Nikajua ubishi wa Su-57 vs F-35 ushaisha kumbe bado kuna watu hawakubali. Kwanini mnalinganisha ndege isiyo na injini yake dhidi ya true 5th generation aircraft.Alaf utarudi kudai hoja. Wewe unaweka vihoja alafu sisi unademand tukupe hoja. Hebu muite T14 Armata aje akusaidie. Su57 ina speed zaidi, payload kubwa zaidi, range na maneuverability zaidi. Tushaachana na hizo mambo nyuma huko
Njia ziko nyingi .......Mkuu naomba kwa hisani yako unitoe tongotongo katika haya:-
1. Kuna teknolojia gani ya kuhit the target?(Kwa mfano niko Yombo Dovya nataka kushambulia Keko)
2. Kwa namna gani jeshi la dubu au majeshi yote yanatambua pahala penye silaha au maadui zao bila kufika eneo la tukio ili kuwezesha kushambulia target?
Naomba nikujibu daktari Doctor NgaribaMkuu naomba kwa hisani yako unitoe tongotongo katika haya:-
1. Kuna teknolojia gani ya kuhit the target?(Kwa mfano niko Yombo Dovya nataka kushambulia Keko)
2. Kwa namna gani jeshi la dubu au majeshi yote yanatambua pahala penye silaha au maadui zao bila kufika eneo la tukio ili kuwezesha kushambulia target?
Ahsante mkuuNjia ziko nyingi .......
1. Hapa ujasusi ndio unapotumia .....kujua maendeleo ya adui
2. Kuna kipindi alikuwa anatuma missile feki ...then zile defense system zinapo react ... Russia anakuwa anajua position zipi za muhimu
Mkuu naomba kwa hisani yako unitoe tongotongo katika haya:-
1. Kuna teknolojia gani ya kuhit the target?(Kwa mfano niko Yombo Dovya nataka kushambulia Keko)
2. Kwa namna gani jeshi la dubu au majeshi yote yanatambua pahala penye silaha au maadui zao bila kufika eneo la tukio ili kuwezesha kushambulia target?
GPS/Glonass ni network ya geostationary satellites ambazo ziko uko anga la mbali. Ziko nyingi na zote zina mulika uso wa dunia. Kwa vile satelite ziko mbali mbali, kila moja inasema inaiona ghala la silaha katika angle flan. So ukipata feeds toka satelite 3 au zaidi, kila moja inakupa angle inapoliona ghala la silaha, then mfumo wa computer unatengeneza coordinates lilipo ghala usika based na angles zilizotolewa na satelites na kutuma chuma kwenye huo uelekeo.Naomba nikujibu daktari Doctor Ngariba
Turudi kwenye fizikia ya form 2. Ukiwa Dar es salaam, umesimama kuelekea kaskazini. Ukiulizwa Rwanda iko uwelekeo gani kwenye dira, utasema ni kaskazini magharibi.
Ila ili kuipata location ya Rwanda vizuri kwenye uso wa dunia, mnatakiwa muwe atleast wawili au watatu mkiwa mmesimama location tofauti tofauti.
Mmoja asimame lets say Morroco, mwingine Brazil yeye atasema . Wa morroco anaiona Rwanda Kusini Mashariki, na wa brazil ataiona Rwanda Mashariki. Wote wataiona Rwanda kwenye angle tofauti. So ukicombine visibility ya wote hawa, ndipo utajua eneo Rwanda ilipo.
Same kwenye Target systems. Mfumo unaotumika ni GPS ya mmarekani au Glonass ya Mrusi.
GPS/Glonass ni network ya geostationary satellites ambazo ziko uko anga la mbali. Ziko nyingi na zote zina mulika uso wa dunia. Kwa vile satelite ziko mbali mbali, kila moja inasema inaiona ghala la silaha katika angle flan. So ukipata feeds toka satelite 3 au zaidi, kila moja inakupa angle inapoliona ghala la silaha, then mfumo wa computer unatengeneza coordinates lilipo ghala usika based na angles zilizotolewa na satelites na kutuma chuma kwenye huo uelekeo.
Sasa chuma kinavyokuja, kina mifumo mingi ya kujua njia. Kuna ambayo inaongozwa na satelite, kuna ambayo inakuwa loaded na topographical maps, na kusafiri kwakulinganisha inachoona kwenye adhri na kilichopo kwenye map yake au kuna inayotumia laser beam.
Its very interesting technology ukizifuatilia. Nadhani nimekujibu mkuu....
Alaf utarudi kudai hoja. Wewe unaweka vihoja alafu sisi unademand tukupe hoja. Hebu muite T14 Armata aje akusaidie. Su57 ina speed zaidi, payload kubwa zaidi, range na maneuverability zaidi. Tushaachana na hizo mambo nyuma huko
GPS/Glonass ni network ya geostationary satellites ambazo ziko uko anga la mbali. Ziko nyingi na zote zina mulika uso wa dunia. Kwa vile satelite ziko mbali mbali, kila moja inasema inaiona ghala la silaha katika angle flan. So ukipata feeds toka satelite 3 au zaidi, kila moja inakupa angle inapoliona ghala la silaha, then mfumo wa computer unatengeneza coordinates lilipo ghala usika based na angles zilizotolewa na satelites na kutuma chuma kwenye huo uelekeo.
Ahsante,
Je, utambuzi wa kwamba lile ni ghala la silaha au kinu cha nyuklia ukoje? Kwa maana satelite zinatambua kabisa kwamba lile ni ghala la silaha au kuna ujasusi unafanyika kupitia human personnel kabla ya kushambulia?
Nimekusoma mkuu ubarikiweNaomba nijibu kwa ufahamu wangu
Point 1: Ili itokee hiyo, Makombora yanatakiwa yawe ni guided missile . Yaani GPS (or other methods) coordinates zinakuwa zinajulikana (kupitia satellites). Nchi nyingi zimeweza kutengeneza web of satellites, kwa ajili ya ku map hii dunia na kuwa na proper, exactly coordinates. Sasa, wakisha map hii dunia na kujua every points, ndio wanazi feed kwenye programs zao za kijeshi/ki vita. Na hapo ndio hayo makombora yanaweza kupiga at precisely place.
Point2: Wanajua kwa namna kama 3 hivi: 1. Kupitia satellites pictures, wanaweza ku monitor movements za zana za kijeshi na kujua kwamba hapa kuna shughuli zinaendelea, 2. pia kuna Intelligence Officer underground wanakusana Intelligence Information and report back to the centre and then satellites zinafanya kuangalia na ku confirm. 3. mwisho, mnapokuwa kweli live battle, adui anaweza kutuma decoys kama za drones hivi au makombora hivi, halafu kupitia satellites anakuwa ana monitor utajibu kutokea wapi, then ana pin point hapo hapo na kurusha sasa kombora la kweli la kuja kupiga hapo...
Mkuu kwa bahati mbaya umeshangaya mambo.In late 80s stealthy wasnt an issue. Na yet stealthy sio issue mpaka sasa kwa military doctrine ya baadhi ya nchi.
US amejikita kwenye stealthy technology ili aweze kuattack deep into enemy territory bila kuwa detected. Military doctrine yake inamtaka awe More offensive na kuproject power nje ya mipaka yake
Mrusi yeye mikitary doctrine yake iko tofauti. Imejikita kwenye defensive warfare, and attack enemy territory from a distance. Hii doctrine imemfanya awe mzuri sana kwenye kudevelop mifumo ya kulinda anga ambayo inauwezo wa kuona hata Kitenesi kikiwa kwenye anga lake 400km away. Hii inafanya stealthy aircrafts za mmarekani kuwa obsolete kwa mrusi.
Baada ya hapo akawekeza kwenye missiles ambazo zinaweza kuntungua mmarekani na aircraft carrier zake muda wowote anaotaka. In missile technology, mrusi yuko 10 years ahead ya Mmarekani.
Kwa iyo stealthy bado kwa mrusi sio a big deal, ameunda Su-57 kuonesha kwamba technology ya stealthy anayo. Na afterall..hata iyo stealthy technology mmarekani ameitoa Urusi.
For your reference.....pitia hii link toka kwenye vyanzo vyenu wenyewe vya kibeberu.
View attachment 2543940'Legally Copied' By Lockheed Martin - Was US Navy's F-35B, China's J-20 Derived From Soviet-Russian Aircraft?
As the F-35 stealth jets could confront Russian fighters at some point in Europe, the plane and its design were a direct derivative of a former Soviet Union project that could not be completed when the Communist superpower collapsed – the Yakovlev Yak-141. War In Ukraine Has ‘Dramatically...eurasiantimes.com
Mkuu naomba kwa hisani yako unitoe tongotongo katika haya:-
1. Kuna teknolojia gani ya kuhit the target?(Kwa mfano niko Yombo Dovya nataka kushambulia Keko)
2. Kwa namna gani jeshi la dubu au majeshi yote yanatambua pahala penye silaha au maadui zao bila kufika eneo la tukio ili kuwezesha kushambulia target?
Mkuu hakika si copy! Jielimishe kidogo kuhusu tofauti na uwezo, halafu urudi tujadili.ww mfuasi kindakindaki wa 'Collective West'...usitafute pakutokea...., tunakubaliana in principal kuwa F35 ni COPPY... ya Yak 141....period!.... kwa kiwango kipi...mimi na wewe kung'amua ni issue..!!!...naomba tuishi humo kwenye neno 'coppy'..
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Stealthy against what chief.....Wewe unahitaji stealthy fighter against Su-57 au against air defence raders. Kama its against Su-57 mmepotea. Maana we don't do dog fights in a modern warfare. Ila tukilazimika kufanya tutafanya na su 57 its better off kwenye manuvability kuliko anything from the west.Nikajua ubishi wa Su-57 vs F-35 ushaisha kumbe bado kuna watu hawakubali. Kwanini mnalinganisha ndege isiyo na injini yake dhidi ya true 5th generation aircraft.
F-35 haina haja ya kuwa na payload kubwa, kazi yake ni kufanya penetration within enemy airspace undetected, kuharibu au kupumbaza AD systems kisha ndege zenye payload kubwa kama F-15 zinaingia. Huwezi kuwa na jets zote kazi moja. Kazi ya jet fighters F-16, F-15, F-22, F/A-18 na F-35 zinatofautiana ila zinakamilishana. Bado EA-18 Glowler kwenye navy uko.
Sasa Russia ana air superiority fighter ni Su-35, hiyo ndio inatakiwa iwe na speed, manouvre, range na mbwembwe zote hizo. Alipoifanya Su-57 iwe na manouvre kubwa, rate of turn, speed na vitu kama hivyo sio lazima Marekani afanye hivyo. Tujue Marekani ana F-22 stealth ya kufanya hizo kazi. Kwahiyo Su-57 hata haishindani na F-35 bali inaelekeana na F-22.
Marekani ishaacha mambo ya kutegemea manouvre angani, you can't outrun the missile labda uwe na American SR-71 Blackbird, tofauti na hapo hizo manouvre hazitakusaidia kama stealth yako ni viwango duni na adui anakuona kabla hujamuona. Anayemuona mwenzake mapema ndio anamuua, F-35 imewekezwa kwenye radar, communication na sensors kwa sababu hiyo
Ha ha ha haa,bonge la analysis.!!Uzuri Proved ameelewa. Hapo ndo advantage yake ya kuwa mjinga ilipo. Kwamba hakuwa na maarifa , ila baada ya kueleweshwa mambo asioyajua, amekuwa mwerevu. Which is good.🤣🤣
Changamoto iko ukikutana na wapumbavu ...kipanya na wenzake
Sasa Vita ipo huko bungeni Georgia waende front line wakakutane na vyuma.[emoji1109][emoji1255]Tbilisi right now: "Slava Ukraine" projected on the Parliament of Georgia.
[emoji328]: Formula NewsView attachment 2544250
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nikujibu tu ndugu yangu umshana ili na wewe upate werevu. Usichanganye vitu viwili hapa.Mkuu kwa bahati mbaya umeshangaya mambo.
1) YAK 141 ilikuwa ndege yenye uwezo wa VSTOL inayomaanisha uwezo wa kuruka na kutua wima (vertical). Ila uwezo huu hauna uhusiano na stealth yaani uwezo wa kuficha ndege kwa macho ya rada. Ni kweli kwamba Lockheed walisaida Yakovlev kuendeleza Yak 141 wakati Urusi ilifilisika. KAtika ushirikiano huo walipata pia data walizotumia baadaye kwa ndege zao. Ila Yakovlev hawakuwa wa kwanza wa kufanya majaribio ya VSOL. Harrier ya Uingereza ilitangulia, na hata Boeing walianzisha ndege ya aina hiyo tayari. Lockheed walishirikiana na Yakovlev kwa sababu walitaka kushindana na Boeing.
2. kuhusu stealth: msingi wa kihisabati uliwekwa na mwanasayansi wa USSR Petr Ufimtsev. Lakini USSR hawakuendelea kutumia makadirio yake kwa tekinolojia. Mhandisi wa Lockheed alitambua umuhimu wa nadharia ya Ufimtsov na hivyo Lockheed walibuni ndege ya jaribio ya kwanza iliyotumia stealth. SOMA CHINI
3. Kudai stealth si "big deal" iko mbali sana na hali halisi. Haihusu ndege za kubeba mabomu (bomber) tu kwa umbali mkubwa, inatumika pia kwa ndege za kuwinda ndege nyingine (fighter aircraft). Katika mashindano kati ya ndege 2 kila moja inategema pia rada yake. Ikiwa moja ni vigumu kutambuliwa, itakuwa na faida juu ya nyingine.
Modern stealth aircraft first became possible when Denys Overholser, a mathematician working for Lockheed Aircraft during the 1970s, adopted a mathematical model developed by Petr Ufimtsev, a Soviet scientist, to develop a computer program called Echo 1. Echo made it possible to predict the radar signature of an aircraft made with flat panels, called facets. In 1975, engineers at Lockheed Skunk Works found that an aircraft made with faceted surfaces could have a very low radar signature because the surfaces would radiate almost all of the radar energy away from the receiver. Lockheed built a proof of concept demonstrator aircraft, the Lockheed Have Blue, nicknamed "the Hopeless Diamond", a reference to the famous Hope Diamond and the design's shape and predicted instability. Because advanced computers were available to control the flight of an aircraft that was designed for stealth but aerodynamically unstable such as the Have Blue, for the first time designers realized that it might be possible to make an aircraft that was virtually invisible to radar