Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian Lancet kamikaze UAV strike on British-supplied Ukrainian Stormer HVM Air-Defense Missile System in Donetsk.https://twitter.com/clashreport/status/1634448994939068418?s=20
Na Lancet kamikaze drones ndio zitakomesha air-defense systems za NATO na silaha zao nyingine including vifaru, kumbukeni tukio la juzi - nina uhakika Ujerumani,Merikani na Uingereza watafikiria mara mbili kupeleka tena eti "air defense system game changer" huko Ukraine baada ya kuona zilizo kuwa zinapigiwa debe na pro NATO kila siku juzi hapa zimetiwa kibereti na no nosense Russian missiles mpaka kulipua hidden NATO/Ukraine under ground command and control center walizo fikiria hazijulikani na wala haziwezi kushambuliwa kirahisi na jeshi Urusi - sina shaka juzi NATO/US kuna kitu wamejifunza kwamba mwenzao hana mchezo, wakiingia kumi na nane zake kichwa kichwa they wont even have enough time to repent their sins before joining their maker huko Mbinguni.
 

Haha, hyo command na control center ilikuwa ni ya siri sana, Warusi wamejaza mashushu kinoma[emoji1787], Dooh

NATO wamejaribu kuficha hili tukio, ila vyombo vya habari vya kujitegemea walifumbua.
 
Anataka damu kama marekani kule Libya na Iraq?
 
Kuna kipindi Poland walikua wanawashinikiza German kupeleka Patriot AD Ukraine, German wakakaza
 
Amekufa akiwa Dogo sana
 
Sahizi ni kuwachinja makamanda tu.
 
Urusi sio Zimbabwe mzee baba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wajifunze sasa kuwa ukijua vya hivi na mwenzio anajua vya vile. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Akili kumkichwa sio kukurupuka kumuingilia mwanaume kama Mrusi ukadhania utabakia salama.
 
🀣🀣🀣🀣🀣Vijana wanafanya kazi nzuri sana kule mstari wa mbele, wanapokea taarifa nzuri kabisa juu ya vichwa vya makamanda vinavyoshushwa kama migomba. 🀣🀣🀣🀣 Na command centre kukaangwa barabara kabisa.

Wacha wazee wapunge upepo tu. Wamewagusa wanapopataka maana Urusi kwa michezo ya vita ndio hobby yake kubwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sahizi vita inapigwa tambarare tu, wachoma nyama wa Wagner PMC hawana hiyana wao wana attack tu na kufyeka vichwa vya mashosti wa NATO.
 
Hawa si masikini, Hela za kujenga wamepata wapi??

Halafu uchumi wa Jimbo moja la Us ni sawa na uchumi wa urusi, lakini utashangaa huko US watu wanalala nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kakuambia Urusi ni maskini mkuu,mbona sio.Urusi wana resources nyingi sana,na ndio maana kila sector yao ni strong sana.Uzuri wa Urusi pia ni kwamba resources zao wanazigawa vizuri kwa Wananchi wao.Marekani on the other hand,hakuna jambo kama hilo,utajijua mwenyewe,na mabwenyenye kama akina Rockefeller,George Soros,Bill Gates, Bloomberg nk.wanatumia kila mbinu chafu kuwanyang'anya wenzangu na mimi hata kile kidogo walicho nacho kwa kutumia kila mbinu chafu.System ya America ni ya hovyo kweli kweli,yaani ni usawa wa kutafunana tu,unyama ni unyama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…