Kila siku una post misaada tu[emoji1189]Norway will provide Ukraine with two more complete NASAMS fire installations in cooperation with the USA, Norwegian Defence Minister Bjorn Arild Gram said.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝕀𝔹𝔸ℝ𝕀𝕂𝕀 𝕌ℝ𝕌𝕊𝕀Kipigo cha Juzi ilikuwa Majibu Kwa Kitendo cha Kufanyika Ugaidi Ndani ya Urusi
Sasa Jiulize Kama Ukrein Atapewa Silaha yakupiga Moscow
Nini Kitamkuta ? Yaani Suala la Ugaidi Majibuyake Wamejinyea Hali ni Tete je Kupiga Moscow?
Tulidanganywa Sana Kuhusu uwezo wa Urusi kijeshi
Huyu ni Habari Nyingine Hafai
MUNGU IBARIKI URUSI
HeheeeView attachment 2542138
Swiss wamedapia mtumbwi wa vibwengo
That is a million dollar question, only God knows anafikiria nini na atakuja kusema nini eventually??Kwani 'ki-rat' wa JF anasemaje???
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa iyo mrishindwa kuzigeuza ziangalie huko Moldova
So painful Biden akioma silaha zake zinavyoharibiwa huko wakati yeye katumia cost kubwa kutengeneza[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kwenye kipengele cha maangamizi Wagner hawana huruma kabisaView attachment 2546196View attachment 2546197View attachment 2546198
RUSSOThe Tupolev Tu-160 (Russian: Туполев Ту-160 Белый лебедь, romanized: Belyj Lebeď, lit. 'White Swan';[1] NATO reporting name: Blackjack) is a supersonic, variable-sweep wing heavy strategic bomber designed by the Tupolev Design Bureau in the Soviet Union in the 1970s. It is the largest and heaviest Mach 2+ supersonic military aircraft ever built and second to the experimental XB-70 Valkyrie in overall length and top speed. As of 2022, it is the largest and heaviest combat aircraft, the fastest bomber in use and the largest and heaviest variable-sweep wing airplane ever flown.[2]
Entering service in 1987, the Tu-160 was the last strategic bomber designed for the Soviet Union. Following the dissolution of the Soviet Union, the newly independent Ukraine inherited a fleet of 19 Tu-160s, over half of all aircraft in existence at that time. Following protracted negotiations, 11 Ukrainian Tu-160s were purchased by the Russian Federation while the remainder were scrapped in the late 1990s under the Nunn–Lugar Cooperative Threat Reduction agreement. Following these actions, the sole operator of the type is the Russian Air Force's Long Range Aviation branch, which had 16 Tu-160s in service by 2016.[3] The type had its combat debut in November 2015 during the Russian military intervention in the Syrian Civil War, conducting numerous airstrikes using Kh-101 air-launched cruise missiles. Various overseas deployments have been conducted, including to distant nations such as Venezuela and South Africa.
Tu-160 Belyy Lebed Tupolev Tu-160 Aleksandr Novikov in flight over Russia, May 2014 Role Supersonic strategic heavy bomber National origin Soviet Union / Russia Design group Tupolev Built by Kazan Aircraft Production Association First flight 18 December 1981 Introduction April 1987 Status In service Primary users Russian Aerospace Forces
Soviet Air Forces (historical)
Ukrainian Air Force (historical)Produced 1984–1992, 2002, 2008, 2017, 2021– Number built 36 (9 test and 27 serial)
Since the early 2000s, the active fleet has been subject to several upgrades, largely focusing on various electronics systems. The Tu-160M modernization program of existing models begun with the first updated aircraft delivered in December 2014. Plans announced in 2015 called for the delivery of 50 new-build Tu-160Ms as well as the upgrading of 16 existing aircraft.[4][full citation needed] In January 2022, the first serial-built TU-160M made a test flight,[5] with two planned for delivery in 2022[6] from 10 on order.[7][4]
Hahah haha kwa njaa zao dau kubwa lileUkute Ukraine Soldiers wamekiuza...
Wanamuuliza naniWalikua wanajifariji tu, Putin akiwaeleza kwamba hii ni SMO sio vita kamili wanakaza vichwa wanasema ni vita kamili, sherehe ya vita kamili ni mfano wa makombora yaliyotumwa jana.
Baada ya kuona silaha za Russia haziishi Pro Ukraine wakaanza kuulizana kwamba Russia ana missiles ngapi zimebaki?
Reporter anasema West walisema Russia anaishiwa high precision missiles lakini zaidi ya miezi 10 mvua ya makombora still inashuka kwenye majiji ya Ukraine.
View attachment 2543318View attachment 2543319
Heheee daahModerator nashauri kwa hivi sasa huu uzi wa mgogoro wa Ukraine na Russia uwekwe ktk thread mbili, uzi wa kwanza uwe wa kulipia na uzi wa pili uwe free kwa wote . Kwa kufanya hivyo itasaidia Thread moja kubaki na vichwa vinavyojua kufanya uchambuzi wa vita na siasa za west na Far East , Yaani Great Thinkers. Na Thread ya pili ibaki na watu wa kawaidi kama kina Proved , MK254 na Kipanya , Yaani Normal Thinkers