Sasa Urusi ndio anaenda kuweka kambi ya kijeshi hapo halafu tuone huyo USA atafanya kitu gani cha maana sababu hata hivyo vikao vyao vya kikuda vya START Treaty Urusi haendi tena.Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.
Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.
Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Akiba ya mafuta US ya kumzidi urusi anayo toka lini? [emoji1787]
Sasa Urusi ndio anaenda kuweka kambi ya kijeshi hapo halafu tuone huyo USA atafanya kitu gani cha maana sababu hata hivyo vikao vyao vya kikuda vya START Treaty Urusi haendi tena.
Russia sio kuwa ni overrated ila Russia sio mpenda ugomvi japo anauweza yani ukianzisha moto wake sio wa kitoto na huwa hawaogopi kufa hadi malengo ya kukumaliza yatimie.Hii mada tungekuwa tuna shusha nondo wengi wangejifunza sana LKN imekua mada ya US vs udini sababu eti US inachukia uislam
Russia huyu was very overrated
Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.Hakuna nchi yyt iliyo karibu na USA itamkaribisha Russia aweke kituo cha kijeshi.
Yaliyo mpata Cuba 1960’s itakua mara 100.
Tuache porojo
Russia sio kuwa ni overrated ila Russia sio mpenda ugomvi japo anauweza yani ukianzisha moto wake sio wa kitoto na huwa hawaogopi kufa hadi malengo ya kukumaliza yatimie.
USA mnamshabikia kama bahasha wenu vile ila hana silaha za kumtisha Mrusi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaa kwa adabu abram anaogopa kupeleka na silaha alizopeleka ipi imemshinda Russia zote zimechomwa US Ni ubwabwa.Fanya tafiti hizi mbili pls:
US bajeti yake ya kijeshi ni % ngapi ya bajeti zote za majeshi duniani?
Kwenye vifaa vya kisasa kama ndege na vifaru na monowari,USA ana comprise % ngapi ya vifaa vyote duniani
Kuna manowari ngapi zilizo commissioned duniani na za US ni ngapi?
Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.
Kaa kwa adabu abram anaogopa kupeleka na silaha alizopeleka ipi imemshinda Russia zote zimechomwa US Ni ubwabwa.
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Hapana mkuu.
Wacuba wenyewe walimuambia Castro kama waondoe Russia tumechoka na dhahama!
‘Bay of Pigs invasion’ haikua kitu cha masihara hata kidogo
Mkuu Poland naona wapo kimya mda mrefu,kiliwatokea nini?"Hungarian Prime Minister Orban believes that the West is "very close" to seriously discussing the prospect of sending its forces to Ukraine"
Atapangaje wakati bado anapambana kumfikia mbabe, mbabe ndiye anaye wapangia majike bwasheeUrusi hapangiagi mtu maisha, tumekuwa na urafiki nao wa enzi na wametupa msaada wa kijeshi sana enzi za mwalimu. Ila sijawahi sikia mrusi akilichimba biti taifa hili kuwa msiponunua silaha kwangu tusijuane 🤣🤣🤣...
Ila ukilia msaada yupo tayari kukupa ndio utaratibu wa braza Urusi. Ila wale wa USA msaada unapewa ila sharti mlane viboga na kujitangaza kwenye mitandao.
Kwa trend inavokwenda mmmmhhhhUrusi anajitanua kibiashara sahizi, aki commercialize vizuri na mataifa mengine mengi mbona litakuwa taifa kubwa lenye ushawishi tu kama China
Hakuna anachokielewa kuhusu Cuba missile crisis.mwambie akasome alafu arudi tena.
Uwoni aibu hata kuandika.yani mataifa yote yameungana kwa sababu ya mtu mmoja ila bado anawatoa jasho.Mwaka unaenda wa pili sasa hujamaliza vita ambavyo hutakiwi usafiri sana?
Russia has been exposed bigtimes
Hamna kitu mule maneno tu